Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SPIKA NDUGAI: KUTOKANA NA MAZOEA YA WAGOGO KUDHARAULIKA NDIO KINACHOSABABISHA MIMI KUSHAMBULIWA MITANDAONI "Mengi mnayoyasikia wakati mwingine sio kweli kihivyo, nchi yetu ina upotoshaji mkubwa...
8 Reactions
146 Replies
11K Views
Naona wapiganaji maarufu huwa wanajikita katika mambo ya CCM, mpaka wafuasi tunapata khofu juu yao,inakuwaje hawa viongozi tunaowategemea wanaingilia mambo ya Chama Cha Mashetani (CCM), mpaka...
2 Reactions
3 Replies
739 Views
Baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, wiki iliyopita - akiweka historia ya kuwa wa kwanza kujiuzulu nafasi hiyo, kipyenga kimepulizwa kuashiria kuanza kwa...
1 Reactions
3 Replies
910 Views
Amani ya bwana iwe nanyi. Mimi kama mfanyabiashara wa kimachinga tangu awamu ya mzee Mkapa, naomba nichukue nafasi hii kuipongeza sana serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Jukumu la elimu bora ni la Mzazi mwenyewe kuchagua aina ya elimu. kuendeleza elimu hii ya kikoloni ya kusoma kumaliza miaka au kubadilika kuwekeza kwenye elimu ya utambuzi na uvumbuzi yenye...
12 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwenye nchi za watu waliostaarabika, ukiwa kiongozi, maana yake unatakiwa uwe mfano wa kufuata na kutii sheria. Kwa Tanzania, ukiwa kiongozi maana yake umepewa ruhusa ya kuvunja sheria. Nadhani...
2 Reactions
5 Replies
678 Views
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kuwa katika uchaguzi mkuu wa Octoba 2020 CCM itatumia mbinu, mikakati na ubunifu ule ule uliotumika kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za...
6 Reactions
73 Replies
7K Views
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan amesema wakati Mapinduzu matukufu ya Zanzibar yanafanyika 1964 alikuwa na umri wa miaka 4 na hakufikiria kama leo atakuwa Rais wa JMT. Rais Samia amesema hayo...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi ni kweli badiliko hili la Mawaziri lililenga kuondoa wanaojipanga kwa urais 2025? Unawaonyesha Watanzania ya kwamba Kitila Mkumbo na Waitara ndio waliokuwa wanautaka urais? Ukweli ni kwamba...
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Kampeni za kuwania kiti cha spika wa bunge la Tanganyika zimepamba moto. Kuna nyuso kongwe chakavu zinatajwatajwa na kujitokeza sana hasa huko vijiweni na mitandaoni baada ya spika mtangulizi...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Benki ya dunia imeitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya ukubwa wa deni lake lililofikia trillion 47+ kwa rekodi mpaka mwezi Mei mwaka huu. Imetaja japo deni bado ni himilivu lakini Tanzania...
25 Reactions
344 Replies
35K Views
Nashangaa watu wanavyomsifu Pole pole but me sion kazi waliyofanya kwenye chama chetu hiki ye na mwemzake Nape na Kinana waliipambania CCM 2015 kabla ya uchaguzi walizunguka nchi nzima...
12 Reactions
36 Replies
3K Views
KATIKA MAISHA YAKO YA SIASA EPUKA MAMBO HAYA; Kwa Mkono wa Robert Heriel. Endapo utapenda uongozi na utawala, mpaka ikakubidi kujiingiza kwenye mapito ya kisiasa, basi nakusihi Epuka mambo haya...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
KUNA RESEARCH IMEHUSISHA VYAMA VINAVYOTAWALA DUNIANI NA KUVI-RANK, KUHUSU VYAMA TAWALA Katika vyama hivyo CCM ya tanzania imehusishwa pia katika reseach, maeneo ya research yamehusisha yafuatayo...
7 Reactions
52 Replies
8K Views
Katiba ya Tanzania Ibara ya 84(1)(2) inatamka kuwa Spika wa Bunge anaweza kuwa mtu yoyote ambaye ana sifa za kuwa mbunge(sio lazima awe mbunge). Watu wenye madaraka kama mawaziri, Naibu Waziri na...
3 Reactions
2 Replies
4K Views
Wanajamvi, Hii nchi yetu mambo yake ni kama tamthiliya! Baada ya kufuatilia kuhusu maisha ya Ruge kutokana na tetesi kuhusiana na kifo chake, pamoja na wale wanaosemekana kuwa “maadui zake”...
18 Reactions
89 Replies
16K Views
WALIOSHINDWA KUMSHAURI VIZURI HAYATTI MAGUFULI WAONDOLEWE KWENYE UONGOZI Na, Robert Heriel. Katika makala yangu niliyoandika mwaka juzi, niliyoipa kichwa kisemacho "Njama za Ikulu, hata Rais...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Baada ya waziri wa habari kudai wanasubiri ripoti ya uchunguzi wa uvamizi wa kituo cha runinga cha clouds dhidi ya aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam bw. Paul Makonda imenikumbusha...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Natanguliza ombi la msamaha kama ilitokea nimemsikia vibaya Mhe. Waziri mkuu wakati akitoa salamu za serikali wakati wa uapisho wa viongozi, ikulu Dodoma leo. Mhe. Waziri Mkuu amesema leo ni siku...
5 Reactions
109 Replies
10K Views
Rais Samia anatumia mbinu za Kikwete kuangamiza vipaji vya watu katika uongozi Kikwete alipoona Mwandosya ni President material alichofanya ni kusingizia eti kumpa kazi maalumu Ikulu akamzika...
24 Reactions
79 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…