Hayati BABA wa TAIFA na TANU yake Walidai UHURU wa NCHI kutoka kwa Watawala wa KIKOLONI Watawala ambao Walikuwa ni KATILI na Wangeweza kumkamata na Kumpa KESI ya UHAINI lakini HAWAKUFANYA hivyo...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 13/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe leo Januari 11, 2022. SP...
Leo nimekuja na swali mahususi kwa wapinzani lakini pia linaweza kuulizwa hata kwa CCM ikiwa nao wataanza kurithi tabia hii ya wapinzani ya kususa.
Watu wana ndoto na mipango wanapojiunga na...
IWAPO MIMI #JOSEPH #YONA NIKICHAGULIWA KUWA SPIKA WA BUNGE LETU TUKUFU.....MANIFESTO YANGU MAMBO 14
Iwapo nikiukosa Uspika wa Bunge letu tukufu, Naibu Spika #Tulia #Ackson Naibu SPIKA Anafaa kuwa...
Mama Samia Mtumbue A, Hapi atakuharibia na kutoa imani kwa Watanzania waliyonayo kwako. Alionyesha dhalau kubwa Sana kwa wazee wetu ambao ni Maraisi wasitafu, kumbuka hata wewe ni msitafu...
Sote tunakumbuka ulivyotukana Wazee wetu tena kwa kiburi majivuno ukifoka kama unawafokea watoto wadogo. Hilo halikuwahi kufanyika na kiongozi mwingine yeyote.
Kitendo cha kuhamishiwa Mkoa...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri na manaibu Waziri wahakikishe siri za serikali hazivuji kufika katika mitandao ya kijamii kama ambavyo imeendelea kuwa
Nukuu
'Imekuwa kama maradhi...
BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA-KIKWETE AMEJITAHIDI KATIKA KIPINDI CHAKE JAMANI-TAKWIMU HIZI
Na mpombe mtalika.
Wakati tukikaribia kumaliza mwaka 2014 na kuingia mwaka 2015 pia kama taifa...
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema kuna tatizo kubwa kwenye umiliki wa mali katika makanisa kiasi cha kuleta changamoto kwenye ulipaji wa kodi.
Simbachawene amesema kuna mali...
Hakuna chama ambacho kimewahi kuumizwa, kuteswa na kutoa gharama kubwa kwaajili ya ustawi wa Tanzania kama CHADEMA.
Sikuwahi kusikia kama Mwingereza aliwahi kuua viongozi wa TANU wakati wa...
Rais Samia,
Ukweli ni kwamba kama kiongozi hajiheshimu hastahili kuheshimiwa hata kama kiongozi huyo ni wewe.
Kila kiongozi kwa nafasi yake ni Taasisi. Kama anadharaulika basi hata taasisi...
Aman iwe nanyi wakuu
Kwa kweli inchi yetu inaelekea shimoni aisee
Rais anapewa sifa za Kimungu na hakemei
Hakuna hata kiongozi mmoja wa dini ambaye kajitokeza na kukemea
Ni kweli Rais anachapa...
Mustakabali wa madikteta unazidi kufifia hata hivyo viongozi wa kidemokrasia wanapaswa kuchukua hatua bora zaidi ili kuzikabili changamoto za dunia amesema Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la...
Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
Mkuu wa mkoa wa Mara Salum Happi amesema serikali haijarejesha Ada katika shule zake.
Happi amewataka wananchi kupuuza uzushi huo.
===
Mkuu wa mkoa wa Mara Bw. Ally Hapi amewataka wananchi...
Hii tunarudia kumwambia raisi Samia na washauri wake (ambao katika hili sioni kama walimshauri) kuwa kama ulishaamua kuwatema hawa watu basi endelea na msimamo wako. Ni hiari ya raisi kuteua na...
Jana katika mkutano wako na wateule wa uwaziri na manaibu, mojawapo ya mambo uliyoyakazia ni kuheshimu taasisi ya Urais.
Umekwenda mbali na kusema kama anayeikalia taasisi hiyo humpendi/...
Bado ni mwaka mpya maana hata watoto hawajaenda shule bado.
Pamoja na yote natambua juhudi na kazi kubwa inayofanywa na rais wetu mpedwa mama Samia kwa kuhakikisha usalama wa nchi na kuifikisha...
1. Kufanya Safari za nje kutembeza bakuri kuomba misaada na mikopo.
Moja ya jambo ambalo Magufuli alilipiga vita ni safari za nje kwa maafisa wote wa serikal isipokuwa kwa kibari maalum.
Magufuli...
Leo Tarehe 13/01/2021, Mhe. Dorothy George Kilave, Mbunge wa Jimbo la Temeke, amekutana na Makatibu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) kutoka katika Kata zote za jimbo la Temeke.
Kikao hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.