Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,896
- 3,667
1. Kufanya Safari za nje kutembeza bakuri kuomba misaada na mikopo.
Moja ya jambo ambalo Magufuli alilipiga vita ni safari za nje kwa maafisa wote wa serikal isipokuwa kwa kibari maalum.
Magufuli hakutak kwenda kujipendekeza kuomba mikopo na misaada nje kwani aliamini kuna hatari ya kupewa masharti magumu ya mikopo ikiwemo kuwekeza dhamana madin na kusaini mambo machafu kama mambo ya ushoga n.k
Hii ilifanya nchi zenye nia ya kutusaidia kuja wenyewe hapa nchini na kufanya makubaliano mbalimbali ikiwemo mikopo na uwekezaji chanya kwa ajili ya maendeleo kwa taifa letu.
2. Sheria ya mwanafunzi kupata ujauzito akiwa shule.
Magufuli alikataa kumruhusu mwanafunzi kuendelea na elimu rasmi baada ya kupata mimba. Wengi baada ya kujifungua waliondok shule za serikali waliendelea private schools au kufanya mitihan kama private candidate.
Rais wa sasa tumeona akiruhusu watoto wakipata mimba bahati mbaya wakijifungua warud shule kuendelea na masomo rasmi.
3. Gharama za maisha kwa watu wa hali ya chini.
Magufuli alijitahidi kupunguza ukali wa maisha kwa;
-kupunguza gharama za kuingiza umeme kutoka laki 3 mpaka 27 elfu.
-kuto weka matozo na kodi lukuki.
-Gharama za maisha kuwa chini mfano, petrol magufuli amekufa ilikua 1800/L sahiz 2573/L kwa mkoa niliopo. Hii imesababisha gharam za vitu vingi kupanda bei hususan vifaa vya ujenzi.
Bila kusahau bei ya mbolea, mzee katutoka tukinunua 65000/=mbolea ya kupandia sahiz inauzwa 115,000/=
4. Stahiki za wafanyakazi,
Jpm ameondoka madarakn watumishi hawajapanda madaraja kwa miaka zaid ya 5, lkn Samia ndani ya miezi michache kawapandisha madaraja angalau wanafuta machozi na kupata moral ya kazi.
5. Kutatua kero za wananchi.
Hivi sasa uozo, uzembe, ubabe na wizi unarudi kwa kasi.
Hapo mwanzo Jpm aliwakosha wananchi wa hali ya chini kwa kwenda kusikiliza kero zao huko huko chini to the ground na kutatua baadhi ya changamoto papo kwa papo na nyingin aliagiza wenye mamlaka kutatua hizo kero.
Hii ilisaidia viongoz wa mikoa, wilaya na halmashauri kuwa makini na kazi zao.
Lakini hivi sasa viongz wengi wanajisahau hawawatendei haki wananchi wa hali ya chini. Hapa nakumbuk mbali walicho nifanyia Tamisemi na utumishi Dodoma Mungu anawaona.
Ebu tujazie U-turn nyingine ulizo ziona zimejitokeza kipindi kifupi baada ya Jpm kututoka.
Note; Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.