“@ChademaTz , @ACTwazalendo , #CUF na sisi @nccrmageuzihq hebu tuondoe viburi vyetu tukae pamoja tuzungumze kuhusu nchi yetu, kwann tukose furaha kwenye nchi yetu?
Tuoneshe mshikamano wetu...
Wakuu,
Hangaya leo Ijumaa Januari 14, 2022 anatarajia kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi Wateule wa nchi 4 hapa Nchini.
Hafla hiyo ya kupokea Mabalozi hao Wateule wa Nchi 4...
Kati ya mambo yanatufanya tuwe na uelewa mdogo ni kuona viongozi wanajipendekeza kupita kiasi.
Viongozi wasitumie maneno yafuatayo inapokopa.
1. Serikali ya Samia imekopa.
2. Rais amekopa...
Kwa takribani wiki tatu kumekuwa na tatizo kubwa la maji kwa maeneo yanayohudumiwa na mtambo wa Ruvu Juu hususan Kibaha, Mbezi Luis, kimara nk.
Cha kushangaza tarehe 12/01/22 Dawasa wametangaza...
Nimelazimika kupandisha huu uzi hewani baada ya kurudisha kumbukumbu namna mzee wetu hayati JPM alivyotutoka bila hata ya kutupatia angalau dakika 5 za kumuombea
Tukiweka ushabiki wa kivyama...
Ninashangaa kuona kuna vikundi vya kijinga ndani ya chama changu cha CCM vinajifanya kua wajuaji sana na kwa wao ndio wanaojua sana nchi kwakua walikua sehemu ya utawala wa awamu ya 5. Vigenge...
Mapema leo nimefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na Dkt. Sidi Ould Tah, Mkurugenzi Mkuu wa @badeabank kujadili namna ya kuharakisha upatikanaji wa fedha za mkopo nafuu na msaada Dola Bilioni 3...
KWEMA WAKUU.
Nimemuona Waziri Mstaafu wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Ardhi mstaafu Ndg William Lukuvi Wakiwa katika Kikao Cha MAWAZIRI na Rais na wakiandika notes na...
Katibu msaidizi wa CCM ndugu Solomon amesema leo jumla ya Wanaccm 19 wamejitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Spika wa bunge la JMT na kufanya jumla kuu kuwa 49.
Source: ITV habari.
CCM...
Spika siyo cheap kama watu wanavyofikiria...Spika ana mtandao wake mkubwa sana ndani ya CCM na serikali.. Spika ana nguvu isiyo ya kitoto. Hata mle ndani Bungeni ana safi yake kubwa sana.
Unaweza...
Kwanza natoa pongezi kwa uongozi wote wa awamu ya sita kwa jitihada kubwa inayofanywa hasa ya kuondoa ujinga kwa watoto wetu kwa kuwekeza nguvu kubwa kwenye kujenga shule na hospitali kila mahali...
Wabunge wa Chama cha Mapinduzi msisahau majimbo yenu, 2025 ni kesho kutwa, na sisi tunataka Rais huyu [Samia Suluhu Hassan] arudi madarakani. Na wajumbe wanawasubiri."- Makamu wa Rais, Dkt. Philip...
KWA NINI MHESHIMIWA NDUGAI AMEJIUZURU
Katika siku za karibuni nchi yetu imepatwa na moja ya tukio kubwa kabisa katika medani za uongozi wa kisiasa, tukio hilo ni ile hatua ya aliyekuwa Spika...
ABUU KAUTHAR
Tukio la kawaida la mkusanyiko wa watu kumkumbuka mpendwa wao limenifumbua akili na kuyajua mambo mengi kuhusu siasa za nchi hii na asili ya uhusiano wa karibu wa baadhi ya watu...
Amependekeza kwamba mchakato huo ufanyike wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 , Na kwamba mchakato wa Katiba mpya hauzuii shughuli zingine za ujenzi wa Taifa kufanyika .
Chanzo : Swahili...
Usiku wa kuamkia Jana amepumzika Mzee Nalaila Lazaro Kiula. Alipata kuwa Mbunge wa Zamani wa Iramba, na Waziri wa zamani wa Ujenzi na Mawasiliano, Naibu wa Waziri wa Elimu na Mkuu wa Mkoa wa...
Tetesi zimezagaa kuwa Baraza lote litafumuliwa na kusukwa upya. Inadaiwa hata waziri Mkuu ataguswa.
Mawaziri wakuu wengi wamekuwa na ndoto ya urais. Hivyo Mama asijitege kumteua kijana kwani...
Kitendo cha Spika wa Bunge la JMT kuandika barua yenye utata ya kujiuzulu na kisha kujitokeza hadharani kutamka kumwomba radhi raisi Samia Hassan, kina maana kubwa.
Job Ndugai ametojitokeza...
Nikiwaangalia na kuwasikiliza wanachadema mmoja mmoja kama Peter Msigwa, God bless Lema, Sugu Lissu, na vijana wengi wa chama hiki hakika ni wazuri katika kujenga hoja ukitafuta wanaccm waje...
Haya matamko wanayotoa hawa viongozi wa CCM kwa siku za karibuni hasa mara baada ya tarehe 17 march yamenifanya nikumbuke riwaya maarufu ya Usiku utakapokwisha ya kwake mwandishi Mbunda Msokile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.