Napendekeza siku ya Kumbukizi ya Hayati Magufuli tuandamane na mabango hadi kaburini ili kuhiji na kuonesha hisia zetu

masara

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,738
2,279
Bado ni mwaka mpya maana hata watoto hawajaenda shule bado.

Pamoja na yote natambua juhudi na kazi kubwa inayofanywa na rais wetu mpedwa mama Samia kwa kuhakikisha usalama wa nchi na kuifikisha Tanzania sehemu fulani.

Kwa sehemu yangu nakupongeza sana mama na hiyo inathibithisha kuwa kweli mama zetu mnaweza. na wale ambao wamefikia mahali kuachia ngazi za juu za uongozi nao pia nawapongeza maana wametumia haki yao kikatiba bila kuharibu amani ya nchi yetu maana amani ya nchi yetu ni muhimu zaidi kuliko mtu mmoja au nafasi walizonazo.

Pamoja na yote mimi kama mwananchi wa chini kabisa huku ambaye natafuta mkate wangu jua kali kwa maana ya machinga na kibarua. ni ombi langu kuu, kwamba kwa vile mwaka umeanza hivyo naamini kutakuwa na ratiba ya kiserikali ya kumbukizi ya aliyekuwa rais wa awamu ya tano ambaye kwa sasa ni marehemu.

Napendekeza kumbukizi hiyo ifanyikie Chato palepale alipolazwa lakini pia uwepo utaratibu wa uhuru wa watu kutoa maoni yao ya hisia bila kupigwa kwa njia yoyote ile hasa ya mabango na vyombo vya habari visichuje habari.

Yaani kuwe na maandamano ya amani kwa wale wote tutakaoweza kufanya maandano hadi eneo litakalotengwa kupokelewa maandamano hayo.

Moja kati ya hisia zangu ni pamoja na kutaka kujua marehemu aliwezaje kudhibiti mfumko wa bei kama mafuta, sabuni na chakula hali ambayo kwa sasa ni kama imekuwa ni kama imeshindikana.

lakini pia hisia zangu nitaonesha, marehemu aliweza kumudu kuwacha machinga mjini na bado mambo yakaenda sawa tu hali ambayo kwa sasa limepita fagio la kata mtaji na kuyumbisha watu hao kwa kuwahamisha hali yeye marehemu aliweka usawa.

Mwisho naamini kuwa watu wengi wanaweza kuwa na mambo mengi ya kumkumbuka marehemu hivyo kupitia maandamano hayo kila mmoja anaweza kutoa hisia zake kama sehemu ya kumkumbuka marehemu.
 
Mfumuko wa bei ni janga.

Tuache hayo nina swali nje ya mada.
Huku mitaani hakuna soda ya Pepsi nasikia tatizo ni kukosekana kwa sukari.

Tetesi ni kuwa kuna upungufu mkubwa wa sukari ya viwandani na ya majumbani.

Hii habari ni ya kweli? Kama ndivyo serikali inamkakati gani kutatua tatizo?
 
Kama umemmiss marehemu mfuate alipo!

Mtu amekopa trillion 29+ na miradi aliyofanya haifiki hata nusu ya hela..

Tena ukimuona mwambie tunauliza ile miti iliyokatwa kwenye 1,200 km sq za eneo la Selous aliipeleka wapi...??
Maana imepotea kama 'malio' yake aliyokusanya huko porini
Genius👏👍
 
Kama umemmiss marehemu mfuate alipo!

Mtu amekopa trillion 29+ na miradi aliyofanya haifiki hata nusu ya hela..

Tena ukimuona mwambie tunauliza ile miti iliyokatwa kwenye 1,200 km sq za eneo la Selous aliipeleka wapi?

Maana imepotea kama 'malio' yake aliyokusanya huko porini
Shangazi yako amekopa trillion 10 ndani yamiezi sita ili kujengea matundu ya choo kenge wewe.
 
Bado ni mwaka mpya maana hata watoto hawajaenda shule bado.

Pamoja na yote natambua juhudi na kazi kubwa inayofanywa na rais wetu mpedwa mama Samia kwa kuhakikisha usalama wa nchi na kuifikisha Tanzania sehemu fulani.

Kwa sehemu yangu nakupongeza sana mama na hiyo inathibithisha kuwa kweli mama zetu mnaweza. na wale ambao wamefikia mahali kuachia ngazi za juu za uongozi nao pia nawapongeza maana wametumia haki yao kikatiba bila kuharibu amani ya nchi yetu maana amani ya nchi yetu ni muhimu zaidi kuliko mtu mmoja au nafasi walizonazo.

Pamoja na yote mimi kama mwananchi wa chini kabisa huku ambaye natafuta mkate wangu jua kali kwa maana ya machinga na kibarua. ni ombi langu kuu, kwamba kwa vile mwaka umeanza hivyo naamini kutakuwa na ratiba ya kiserikali ya kumbukizi ya aliyekuwa rais wa awamu ya tano ambaye kwa sasa ni marehemu.

Napendekeza kumbukizi hiyo ifanyikie Chato palepale alipolazwa lakini pia uwepo utaratibu wa uhuru wa watu kutoa maoni yao ya hisia bila kupigwa kwa njia yoyote ile hasa ya mabango na vyombo vya habari visichuje habari.

Yaani kuwe na maandamano ya amani kwa wale wote tutakaoweza kufanya maandano hadi eneo litakalotengwa kupokelewa maandamano hayo.

Moja kati ya hisia zangu ni pamoja na kutaka kujua marehemu aliwezaje kudhibiti mfumko wa bei kama mafuta, sabuni na chakula hali ambayo kwa sasa ni kama imekuwa ni kama imeshindikana,
lakini pia hisia zangu nitaonesha, marehemu aliweza kumudu kuwacha machinga mjini na bado mambo yakaenda sawa tu hali ambayo kwa sasa limepita fagio la kata mtaji na kuyumbisha watu hao kwa kuwahamisha hali yeye marehemu aliweka usawa.

Mwisho naamini kuwa watu wengi wanaweza kuwa na mambo mengi ya kumkumbuka marehemu hivyo kupitia maandamano hayo kila mmoja anaweza kutoa hisia zake kama sehemu ya kumkumbuka marehemu.
Fanya hilo jambo na familia yako, hatuwezi weka cku ya kumbukizi ya magufuli kabla ya cku ya kumbukizi ya mkapa.
 
Mwisho naamini kuwa watu wengi wanaweza kuwa na mambo mengi ya kumkumbuka marehemu hivyo kupitia maandamano hayo kila mmoja anaweza kutoa hisia zake kama sehemu ya kumkumbuka marehemu.!
Kwani kaburi la mwendazake limekufa?
Lipo, andamana hata sasa hivi, na usisahau kubeba bango linalosema auae kwa upanga, hufa kwa upanga!
 
Shangazi yako amekopa trillion 10 ndani yamiezi sita ili kujengea matundu ya choo kenge wewe.
Kwa hiyo shangazi yake nae akifa tuandamane na mabango kwendà kuhiji kama mnavyotaka tufanye kwa huyo mkopaji mwenzie? Maana wote ni wakopaji tu!
Kama umemmiss marehemu mfuate alipo!

Mtu amekopa trillion 29+ na miradi aliyofanya haifiki hata nusu ya hela..

Tena ukimuona mwambie tunauliza ile miti iliyokatwa kwenye 1,200 km sq za eneo la Selous aliipeleka wapi?

Maana imepotea kama 'malio' yake aliyokusanya huko porini
 
Nonsense! Siku ya kumbukizi kwake na familia yake! Hivi Ile sanamu yake imewekwa wapi?
 
Bado ni mwaka mpya maana hata watoto hawajaenda shule bado.

Pamoja na yote natambua juhudi na kazi kubwa inayofanywa na rais wetu mpedwa mama Samia kwa kuhakikisha usalama wa nchi na kuifikisha Tanzania sehemu fulani.

Kwa sehemu yangu nakupongeza sana mama na hiyo inathibithisha kuwa kweli mama zetu mnaweza. na wale ambao wamefikia mahali kuachia ngazi za juu za uongozi nao pia nawapongeza maana wametumia haki yao kikatiba bila kuharibu amani ya nchi yetu maana amani ya nchi yetu ni muhimu zaidi kuliko mtu mmoja au nafasi walizonazo.

Pamoja na yote mimi kama mwananchi wa chini kabisa huku ambaye natafuta mkate wangu jua kali kwa maana ya machinga na kibarua. ni ombi langu kuu, kwamba kwa vile mwaka umeanza hivyo naamini kutakuwa na ratiba ya kiserikali ya kumbukizi ya aliyekuwa rais wa awamu ya tano ambaye kwa sasa ni marehemu.

Napendekeza kumbukizi hiyo ifanyikie Chato palepale alipolazwa lakini pia uwepo utaratibu wa uhuru wa watu kutoa maoni yao ya hisia bila kupigwa kwa njia yoyote ile hasa ya mabango na vyombo vya habari visichuje habari.

Yaani kuwe na maandamano ya amani kwa wale wote tutakaoweza kufanya maandano hadi eneo litakalotengwa kupokelewa maandamano hayo.

Moja kati ya hisia zangu ni pamoja na kutaka kujua marehemu aliwezaje kudhibiti mfumko wa bei kama mafuta, sabuni na chakula hali ambayo kwa sasa ni kama imekuwa ni kama imeshindikana,
lakini pia hisia zangu nitaonesha, marehemu aliweza kumudu kuwacha machinga mjini na bado mambo yakaenda sawa tu hali ambayo kwa sasa limepita fagio la kata mtaji na kuyumbisha watu hao kwa kuwahamisha hali yeye marehemu aliweka usawa.

Mwisho naamini kuwa watu wengi wanaweza kuwa na mambo mengi ya kumkumbuka marehemu hivyo kupitia maandamano hayo kila mmoja anaweza kutoa hisia zake kama sehemu ya kumkumbuka marehemu.
Uasi.....

Nchi hii haikuanza na utawala wa awamu ya 5.....

#Siempre JMT🙏
 
Baba yenu Magufuli si alisema maandamano ni haramu? na akatishia kupiga hadi kuua watakaoandamana? na hivyo hivyo ndivyo serikali ya sasa ita deal na nyie
 
Huku jimbo jirani kabisa na kaimu ardhi hatuna maji siku ya tatu leo.

Huku umeme tena ni majaliwa washa zima imezidi.

Hatukuyaona haya enzi za Magufuli, Ila kaburini kwake siwezi kwenda nendeni nyie vijana

Ijapokuwa wengine alituumiza ila sasa tunaumia zaidi.
 
Back
Top Bottom