Hii ni rufaa mojawapo sijawahi kuiona Katika kazi yangu ya Ujaji. Maofisa wa mahakama kama mahakimu wanapaswa kutumia utashi wao kuamua haki za watu

Zitto

Former MP Kigoma Urban
Mar 2, 2007
1,547
2,000
“ Hii ni rufaa mojawapo sijawahi kuiona Katika kazi yangu ya Ujaji. Maofisa wa mahakama kama mahakimu wanapaswa kutumia utashi wao kuamua haki za watu kwa kuzingatia HAKI “- Jaji Sam Rumanyika

Jaji Sam Rumanyika Katika kufuta uamuzi wa mahakama ya Kisutu kuwafutia dhamana Freeman Mbowe na Esther Matiko ametaja misingi 9 ya Mahakimu kuzingatia Katika Maombi ya dhamana.

1. Kesi inadhaminika
2. Kutoa dhamana ni tafsiri dhahiri ya mahakama ya dhana ya katiba ya kuwa mtu hana hatia mpaka mahakama itakapomhukumu vinginevyo.
3. Kufuta dhamana kunahitaji sababu kubwa kuliko sababu za kumpa mtu dhamana
4. Mahakama izingatie Ukubwa wa kosa Kutoa masharti ya dhamana
5. Masharti ya dhamana yawekwe bila kuleta hisia kuwa mpango ni kunyima mtu dhamana.
6. Mahakama izingatie adhabu kwa makosa yaliyopo mbele yake ili Pale ambapo mshatikiwa akitiwa hatiani asiwe amedhibiwa mara 2.
7. Sababu ziwe zinakubalika mahakama yeyote duniani
8. Mahakama izingatie Msongamano uliopo gerezani na je kutoa dhamana au kufuta dhamana kunachangia au kupunguza msongamano gerezani
9. Mahakama izingatie kuwa Uhuru ya mshatakiwa hauna mbadala.

Jaji Rumanyika sio tu amewaachia huru Mbowe na Matiko bali pia amefuta masharti ya dhamana ya kuripoti Polisi kila wiki.

Tanzania bado Ina majaji kwa hakika. Mola ampe maisha marefu Jaji Sam Rumanyika

Zitto Kabwe
7/3/2019
 
britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,477
2,000
zitto naona mnaangaika sana na kesi ndogo sana dhidi ya mbowe badala ya ile kubwa ya kusababisha amuaji inayomuhusisha mbowe kutokana na matamko yake,

Kwakuwa meshagundua kwamba endapo kesi itaangukia kwa jaji wasio na weledi hapa namaanisha jaji wengi waio wahaya weledi wao una walakini, nampogeza Rumanyika (timbigililwamu) kufuta upuuzi huo ulokuwa umewekwa, lakin mna uhakika kwamba kama kuna mkono wa aliyeko juu(kato) haitaathiri mpaka maamuzi ya hapo baadae kwenye kesi ya msingi?

mmejiandaaje juu ya ishu hii na mko tiyari kupokea chochote kitakachoamuliwa na mahakama? maana yajayo yanaweza yasifurahishe wengi

ACTUALLY NAISHIA HAPA
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,497
2,000
Imebainika sasa kwamba Mtukufu Wilbard Mashauri alitumia vigezo alivyoviokota barabarani au vichochoroni ama kwenye mitaro ya maji machafu kuwanyang'anya Mh Mbowe na Matiko dhamana , Hakutumia weledi wowote wala utaratibu wowote wa kisheria , alijiamulia tu kwa matakwa yake ama kwa matakwa ya waliomtuma , HII NI KWA MUJIBU WA MAHAKAMA YA RUFAA kama ilivyotoa hukumu yake leo hii , hukumu ambayo imewarudisha Matiko na Mbowe Uraiani

Cha kushangaza ! baada ya Mashauri kufanya uchafu huu akapandishwa cheo na kupewa ujaji , yawezekana waliomtunuku ujaji hawakujua uozo wake huu , sasa kwa vile Mahakama ya rufaa imebainisha uozo wake huu waziwazi tena mchana wa jua kali, basi bila shaka Mtu huyu hafai kupandishwa cheo , bali sasa anastahili kushushwa chini zaidi ya alipokuwa .

Napendekeza avuliwe ujaji na IKIWEZEKANA AKAMATWE NA KUSHITAKIWA .
 
Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,846
2,000
“ Hii ni rufaa mojawapo sijawahi kuiona Katika kazi yangu ya Ujaji. Maofisa wa mahakama kama mahakimu wanapaswa kutumia utashi wao kuamua haki za watu kwa kuzingatia HAKI “- Jaji Sam Rumanyika

Jaji Sam Rumanyika Katika kufuta uamuzi wa mahakama ya Kisutu kuwafutia dhamana Freeman Mbowe na Esther Matiko ametaja misingi 9 ya Mahakimu kuzingatia Katika Maombi ya dhamana.

1. Kesi inadhaminika
2. Kutoa dhamana ni tafsiri dhahiri ya mahakama ya dhana ya katiba ya kuwa mtu hana hatia mpaka mahakama itakapomhukumu vinginevyo.
3. Kufuta dhamana kunahitaji sababu kubwa kuliko sababu za kumpa mtu dhamana
4. Mahakama izingatie Ukubwa wa kosa Kutoa masharti ya dhamana
5. Masharti ya dhamana yawekwe bila kuleta hisia kuwa mpango ni kunyima mtu dhamana.
6. Mahakama izingatie adhabu kwa makosa yaliyopo mbele yake ili Pale ambapo mshatikiwa akitiwa hatiani asiwe amedhibiwa mara 2.
7. Sababu ziwe zinakubalika mahakama yeyote duniani
8. Mahakama izingatie Msongamano uliopo gerezani na je kutoa dhamana au kufuta dhamana kunachangia au kupunguza msongamano gerezani
9. Mahakama izingatie kuwa Uhuru ya mshatakiwa hauna mbadala.

Jaji Rumanyika sio tu amewaachia huru Mbowe na Matiko bali pia amefuta masharti ya dhamana ya kuripoti Polisi kila wiki.

Tanzania bado Ina majaji kwa hakika. Mola ampe maisha marefu Jaji Sam Rumanyika

Zitto Kabwe
7/3/2019
Mungu mbariki Justice Sam Rumanyika

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,097

Nikimsoma huyu Jaji nashindwa kuelewa mawakili wa serikali huwa wanapatikanaje!!

Kwanza nilifikiri huyu Jaji katokea kwa wabobezi wa sheria Kenya!
 
Chukwuemeka Takpo

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
13,689
2,000
“ Hii ni rufaa mojawapo sijawahi kuiona Katika kazi yangu ya Ujaji. Maofisa wa mahakama kama mahakimu wanapaswa kutumia utashi wao kuamua haki za watu kwa kuzingatia HAKI “- Jaji Sam Rumanyika

Jaji Sam Rumanyika Katika kufuta uamuzi wa mahakama ya Kisutu kuwafutia dhamana Freeman Mbowe na Esther Matiko ametaja misingi 9 ya Mahakimu kuzingatia Katika Maombi ya dhamana.

1. Kesi inadhaminika
2. Kutoa dhamana ni tafsiri dhahiri ya mahakama ya dhana ya katiba ya kuwa mtu hana hatia mpaka mahakama itakapomhukumu vinginevyo.
3. Kufuta dhamana kunahitaji sababu kubwa kuliko sababu za kumpa mtu dhamana
4. Mahakama izingatie Ukubwa wa kosa Kutoa masharti ya dhamana
5. Masharti ya dhamana yawekwe bila kuleta hisia kuwa mpango ni kunyima mtu dhamana.
6. Mahakama izingatie adhabu kwa makosa yaliyopo mbele yake ili Pale ambapo mshatikiwa akitiwa hatiani asiwe amedhibiwa mara 2.
7. Sababu ziwe zinakubalika mahakama yeyote duniani
8. Mahakama izingatie Msongamano uliopo gerezani na je kutoa dhamana au kufuta dhamana kunachangia au kupunguza msongamano gerezani
9. Mahakama izingatie kuwa Uhuru ya mshatakiwa hauna mbadala.

Jaji Rumanyika sio tu amewaachia huru Mbowe na Matiko bali pia amefuta masharti ya dhamana ya kuripoti Polisi kila wiki.

Tanzania bado Ina majaji kwa hakika. Mola ampe maisha marefu Jaji Sam Rumanyika

Zitto Kabwe
7/3/2019
Natoa angalizo tu,siku Jaji Rumanyika akifanya tofauti asirushiwe matusi,maana kesho anaweza kwenda kinyume na hisia zetu
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
107,389
2,000
Mtenda maovu ya kupindukia huku akijifanya ni mcha Mungu. Mwenyezi Mungu hadanganyiki na anaona dhamira yake na maovu yake kila kukicha dhidi ya Watanzania wasio na hatia.

Sasa nimeamini tuna mtu wa ovyo haijapata kutokea..
Yani unampa mtu UJAJI kwasababu ya kupindisha sheria on your favour..??!
Ukiliona linavyopiga magoti kanisani utafikiri anamaanisha muuwaji yule..
Najiuliza huyu kanisani anaenda kumuomba nani??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom