Kamati ya kuandika Katiba Mpya ya Wananchi iundwe na watu hawa wazalendo

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,581
46,179
Ipo siku serikali itakubali tu katiba mpya inahitaji kuandikwa, siku hiyo ikifika tutahiji timu ya watu kuandika. Katiba nzuri lazima iandikwe na watu makini, wazalendo, wenye utaalamu na uzoefu mkubwa wa haki za kiraia, utawala bora na demokrasia. Pia ni lazima wawe watu wenye mtazamo wa mabadiliko waliojidhihirisha hivyo mbele ya jamii.

Watu kama hawa wako wachache sana nchi hii, ila hawa hapa ni baadhi ya wanaoweza kupewa hiyo kazi wakaifanya vizuri sana na tukapata katiba pendekezwa kwa ajili ya referendum moja kwa moja;

1.Hellen Kijo Bisimba- Mwenyekiti
2.Joseph Warioba- Makamu mwenyekiti
3.Jebra Kambole- Katibu
4.Fatma Karume- Naibu Katibu
5.Maria Sarungi - Afisa Mawasiliano.

Wajumbe
6.Tundu Lissu
7.Musa Assad - CAG mstaafu
8.Jenerali Ulimwengu
9.Barnabas Samatta- Jaji mkuu mstaafu
10.Azaviel Lwaitama
11.Mark Mwandosya
12.Issa Shivji
13.Ananilea Nkya
14.Professor Abdallah Safari
15.Vicensia Shule - Mwanaharakati wa jinsia
16.John Mallya - Wakili
17.Jaji Sam Rumanyika
18.Ernest Mangu-Mwakilishi vyombo vya ulinzi
19.Deus Kibamba-Mwanaharakati wa katiba.
20.Bravious Kahyoza - Mchumi mwenye uelewa mkubwa wa katiba na historia.
21.Mohamed Mchengerwa kutoka serikalini
22.Hussein Katanga - Katibu mkuu Kiongozi
23.Anne Makinda - kwa niaba ya bunge
24.Othman Masoud kutoka serikali ya Zanzibar.
25.Askofu Benson Bagonza
26.Askofu Severine Niwemugizi
27.Sheikh Issa Ponda
28.Sheikh 1 wa BAKWATA(Apendekezwe)
29.Rakesh Rajani- Mwanzilishi HakiElimu na Twaweza.

Maria Space pia mnaweza kutumia hii orodha.
 
Ipo siku serikali itakubali tu katiba mpya inahitaji kuandikwa, siku hiyo ikifika tutahiji timu ya watu kuandika. Katiba nzuri lazima iandikwe na watu makini, wazalendo, wenye utaalamu na uzoefu mkubwa wa haki za kiraia, utawala bora na demokrasia. Pia ni lazima wawe watu wenye mtazamo wa mabadiliko waliojidhihirisha hivyo mbele ya jamii.

Watu kama hawa wako wachache sana nchi hii, ila hawa hapa ni baadhi ya wanaoweza kupewa hiyo kazi wakaifanya vizuri sana na tukapata katiba pendekezwa kwa ajili ya referendum moja kwa moja;

1.Hellen Kijo Bisimba- Mwenyekiti
2.Joseph Warioba- Makamu mwenyekiti
3.Jebra Kambole- Katibu
4.Fatma Karume- Naibu Katibu
5.Maria Sarungi - Afisa Mawasiliano.

Wajumbe
6.Tundu Lissu
7. Musa Assad - CAG mstaafu
8.Jenerali Ulimwengu
9.Barnabas Samatta
10.Azaviel Lwaitama
11.Mark Mwandosya
12.Issa Shivji
13.Ananilea Nkya
14.Professor Abdallah Safari
15.Vicensia Shule
16.John Mallya - Wakili
17.Jaji Sam Rumanyika
18.Ernest Mangu - IGP Mstaafu
19.Deus Kibamba
20.Bravious Kahyoza

Joseph Warioba awe mwenyekiti

Fatuma Karume atoke, ni mnafiki na mtu wa masilahi - siku hizi anamsifia mwenyekiti wa CCM kisa mzanzibari mwenzake

Issa Shivji naye atoke, ni mnafiki pia - alianzaga kwa kuinga mkono rasimu ya katiba ya Warioba baadae akakengeuka akaanza kuunga mkono katiba pendekezwa ya CCM
 
Umetumia vigezo gani kupata hao members? naona makundi mengine hayana wawakilishi, ume-base kwa wanasiasa, wanasiasa wasomi, wasomi wenyewe (wakili) na watetea haki za binadamu pekee.

Sijawaona;

- Wakulima.

- Wafugaji.

- Walemavu

- Wanamichezo n.k
 
Toa Jina la mnafiki Tundu Lissu. Wewe unampenda huyo kiumbe lakini kwa asili yake ni mnafiki na kibalaka. Ongezea hawa ambao pa1 na uzalendo lakini pia wana akili kubwa
1. Mzee Butiku
2. P Kabudi
3. Polepole
4. W Slaa
 
Nahisi unapotoka au.mwanaCCM
 
Tabu yako wewe unaweka vyama mbele badala ya Taifa. Hii ni hatari kwa Taifa letu.
 
Ipo siku serikali itakubali tu katiba mpya inahitaji kuandikwa, siku hiyo ikifika tutahiji timu ya watu kuandika. Katiba nzuri lazima iandikwe na watu makini, wazalendo, wenye utaalamu na uzoefu mkubwa wa haki za kiraia, utawala bora na demokrasia. Pia ni lazima wawe watu wenye mtazamo wa mabadiliko waliojidhihirisha hivyo mbele ya jamii.

Watu kama hawa wako wachache sana nchi hii, ila hawa hapa ni baadhi ya wanaoweza kupewa hiyo kazi wakaifanya vizuri sana na tukapata katiba pendekezwa kwa ajili ya referendum moja kwa moja;

1.Hellen Kijo Bisimba- Mwenyekiti
2.Joseph Warioba- Makamu mwenyekiti
3.Jebra Kambole- Katibu
4.Fatma Karume- Naibu Katibu
5.Maria Sarungi - Afisa Mawasiliano.

Wajumbe
6.Tundu Lissu
7. Musa Assad - CAG mstaafu
8.Jenerali Ulimwengu
9.Barnabas Samatta
10.Azaviel Lwaitama
11.Mark Mwandosya
12.Issa Shivji
13.Ananilea Nkya
14.Professor Abdallah Safari
15.Vicensia Shule
16.John Mallya - Wakili
17.Jaji Sam Rumanyika
18.Ernest Mangu - IGP Mstaafu
19.Deus Kibamba
20.Bravious Kahyoza

Maria Space pia mnaweza kutumia hii orodha.
Bila Kichuguu kuwamo ndani, hiyo siyo kamatiya katiba, bali mkusanyiko wa watu wakiwemo wajuzi wa katiba ya nchi kweli, ila pia na wachumia tumbo wengi. Kwenye msafara wa mamba najua na kenge watakuwapo, ila Kichuguu ndiye atakuwa chujio la mawazo ya kenge dhidi ya mawazo ya mamba.
 
Joseph Warioba awe mwenyekiti

Fatuma Karume atoke, ni mnafiki na mtu wa masilahi - siku hizi anamsifia mwenyekiti wa CCM kisa mzanzibari mwenzake

Issa Shivji naye atoke, ni mnafiki pia - alianzaga kwa kuinga mkono rasimu ya katiba ya Warioba baadae akakengeuka akaanza kuunga mkono katiba pendekezwa ya CCM
Warioba yuko vizuri ila bado ana muunganiko na mapenzi makubwa na chama chake, sio vyema akapewa dhamana ya kuongoza huu mchakato tena, ila akiwa makamu anaweza kumpa Mwenyekiti uzoefu.

Fatma Karume ni mtaalamu mzuri wa kutafsiri katiba na yuko pragmatic sana. Anajua wapi kitu fulani kinaweza kufanya kazi vizuri kwa mazingura fulani na wapi hakutafanikiwa hata kama una sheria na nia njema.Atakuwa msaada sana kwa wale wajumbe ambao wako idealistic zaidi.

Issa Shivji ni mmojwapo wa wanazuoni wenye msimamo siku zote, kama alibadilika popote ujue aliona mambo tofauti na sio kuongozwa kwa maslahi yake binafsi.
 
Umetumia vigezo gani kupata hao members? naona makundi mengine hayana wawakilishi, ume-base kwa wanasiasa, wanasiasa wasomi, wasomi wenyewe (wakili) na watetea haki za binadamu pekee.

Sijawaona;

- Wakulima.

- Wafugaji.

- Walemavu

- Wanamichezo n.k
Katiba haiwezi kuandikwa kwa mtindo huo wa kutaka wawakilishi wa kila kundi wawepo.
Hayo makundi yanaweza kuteua watu wao wa kwenda kutoa maoni yao kwenye tume.
 
Ipo siku serikali itakubali tu katiba mpya inahitaji kuandikwa, siku hiyo ikifika tutahiji timu ya watu kuandika. Katiba nzuri lazima iandikwe na watu makini, wazalendo, wenye utaalamu na uzoefu mkubwa wa haki za kiraia, utawala bora na demokrasia. Pia ni lazima wawe watu wenye mtazamo wa mabadiliko waliojidhihirisha hivyo mbele ya jamii.

Watu kama hawa wako wachache sana nchi hii, ila hawa hapa ni baadhi ya wanaoweza kupewa hiyo kazi wakaifanya vizuri sana na tukapata katiba pendekezwa kwa ajili ya referendum moja kwa moja;

1.Hellen Kijo Bisimba- Mwenyekiti
2.Joseph Warioba- Makamu mwenyekiti
3.Jebra Kambole- Katibu
4.Fatma Karume- Naibu Katibu
5.Maria Sarungi - Afisa Mawasiliano.

Wajumbe
6.Tundu Lissu
7. Musa Assad - CAG mstaafu
8.Jenerali Ulimwengu
9.Barnabas Samatta
10.Azaviel Lwaitama
11.Mark Mwandosya
12.Issa Shivji
13.Ananilea Nkya
14.Professor Abdallah Safari
15.Vicensia Shule
16.John Mallya - Wakili
17.Jaji Sam Rumanyika
18.Ernest Mangu - IGP Mstaafu
19.Deus Kibamba
20.Bravious Kahyoza

Maria Space pia mnaweza kutumia hii orodha.
Huna akili.

Siku ukijua wanasiasa wote wanafanana utaacha huu upumbavu na hizi FIKRA MFU.

Kukosoa serikali siyo uzalendo wala siyo kitu kikuuubwa.

Kukosoa hakuna asiyeweza.
 
Toa Jina la mnafiki Tundu Lissu. Wewe unampenda huyo kiumbe lakini kwa asili yake ni mnafiki na kibalaka. Ongezea hawa ambao pa1 na uzalendo lakini pia wana akili kubwa
1. Mzee Butiku
2. P Kabudi
3. Polepole
4. W Slaa
Kuliko tuandikiwe katiba na Polepole bora tubaki na hii tuliyo nayo sasa au tusiwe na katiba kabisa.
 
Kwa kuwa uzi wako ni mzuri sana ngoja twende commercial break kidogo🤡🤡🤡
 
Umetumia vigezo gani kupata hao members? naona makundi mengine hayana wawakilishi, ume-base kwa wanasiasa, wanasiasa wasomi, wasomi wenyewe (wakili) na watetea haki za binadamu pekee.

Sijawaona;

- Wakulima.

- Wafugaji.

- Walemavu

- Wanamichezo n.k
Hayo makundi uliyoisema yamesahaulika yenyewe hua yanapelekws Kama ng'ombe tu na Wala hayana noma yoyote.
 
Ipo siku serikali itakubali tu katiba mpya inahitaji kuandikwa, siku hiyo ikifika tutahiji timu ya watu kuandika. Katiba nzuri lazima iandikwe na watu makini, wazalendo, wenye utaalamu na uzoefu mkubwa wa haki za kiraia, utawala bora na demokrasia. Pia ni lazima wawe watu wenye mtazamo wa mabadiliko waliojidhihirisha hivyo mbele ya jamii.

Watu kama hawa wako wachache sana nchi hii, ila hawa hapa ni baadhi ya wanaoweza kupewa hiyo kazi wakaifanya vizuri sana na tukapata katiba pendekezwa kwa ajili ya referendum moja kwa moja;

1.Hellen Kijo Bisimba- Mwenyekiti
2.Joseph Warioba- Makamu mwenyekiti
3.Jebra Kambole- Katibu
4.Fatma Karume- Naibu Katibu
5.Maria Sarungi - Afisa Mawasiliano.

Wajumbe
6.Tundu Lissu
7. Musa Assad - CAG mstaafu
8.Jenerali Ulimwengu
9.Barnabas Samatta
10.Azaviel Lwaitama
11.Mark Mwandosya
12.Issa Shivji
13.Ananilea Nkya
14.Professor Abdallah Safari
15.Vicensia Shule
16.John Mallya - Wakili
17.Jaji Sam Rumanyika
18.Ernest Mangu - IGP Mstaafu
19.Deus Kibamba
20.Bravious Kahyoza

Maria Space pia mnaweza kutumia hii orodha.
Yaani Rais wetu na mawaziri wake siyo wazalendo? Ebu rekebisha hiyo orodha. Nikupe Siri, Viongozi walioko madarakani wasipohusishwa kuna uwezekano mkubwa mchakato ukakwama. Hivi unadhani Kama Mwalimu Nyerere na Sheikh Karume wansingehusishwa moja kwa moja muungano wa Tanganyika na Zanzibar ungesimama mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom