Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,436
- 289,714
Yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Nguzo pekee ya Watanzania iliyoshikilia amani ya Nchi , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar , ametimiza siku 179 ambao ni urefu wa nusu mwaka akiwa gerezani .
Mbowe anashikiliwa jela kwa kesi ya uongo ya Ugaidi unaotajwa kuwa na thamani ya hela za madafu laki 6 , anashikiliwa jela kutokana na uoga wa Watawala wa kuogopa kung'olewa madarakani iwapo KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI anavyovipigania vitakuja nchini .
Taarifa zinadokeza kwamba baada ya kushindwa kummaliza kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo UCHAWI , wakaamua kumbambika kesi isiyo na dhamana ili kumkomesha
Bali kinachofahamika ni kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAKO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU .
Kila Ubaya utalipwa .