Naandika waraka huu KUTOKEA huku mashariki mwa nchi, nikiwa na Imani kwamba maoni haya ndio maoni ya wengi.
Kwanza "I declare my interests" Mimi ni CCM pure na nilijiunga mwaka 1990.
Tumeshuhudia Spika Ndugai akijiuzulu, hali iliyopelekea mchakato wa kumpata spika mwingine uanze mara moja.
Ombi langu kwa chama changu cha mapinduzi: 1. Ikiwa Naibu Spika atapitishwa kugombea nafasi ya Uspika basi ajiuzulu nafasi yake ya Unaibu Spika.
Pia ikiwapendeza wakuu na viongozi wetu, tunaomba tuelezwe ni kwanini huyu mama naibu spika hakujiuzulu pale alipoonyedha nia? Je, yupo sahihi? Ikitokea ameshinda NDO mchakato wa naibu spika uanze[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]sielewi hata
2. Spika atakaekuja ATUELEZE wananchi wale kina mama 19 ambao wapo kambi ya upinzani, wapo pale kwa "grounds" zipi?? Tunaomba kanuni zifatwe Ili chama kisichafuke huku nje.
Mimi ni mama, ni mwanamke tena naunga mkono Sana mambo ya "gender equality" lakini sio kwa mfumo huu ambao hawa kina mama wabunge wameufata.
Kina mama tupate uongozi wa haki na halali kama alivyopata jemadari wetu mkuu mama Samia Suluhu Hassan.
Mh. Naibu spika wewe ni Daktari wa Sheria, mimi bado sijakuelewaa, naomba usome Ile sheria mpaka mwisho halafu utufafanulie.
#kazi iendelee