Jimbo la Misungwi Mwanza lina ongozwa na chama gani kwa sababu wananchi wa jimbo hili wana shida sana ya miundombinu kama vile maji umeme na barabara

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
44,659
2,000
Nimesikia mwenyekiti wa chama na serikali akisema kuwa majimbo yanayo ongozwa na ccm yana piga hatua kimaendeleo swali langu misungwi Mwanza lina ongozwa na chama gani kwa sababu wananchi wa jimbo hili wana shida sana ya miundombinu kama vile maji umeme na barabara nyingi ni za vumbi au tuna angalia Singida kwa kuwa lilikuwa lina ongozwa na upinzani

1568646552533.jpeg
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
92,769
2,000
Nime sikio mwenyekiti wa chama na serikali akisema kuwa majimbo yanayo ongozwa na ccm yana piga hatua kimaendeleo swali langu misungwi Mwanza lina ongozwa na chama gani kwa sababu wananchi wa jimbo hili wana shida sana ya miundombinu kama vile maji umeme na barabara nyingi ni za vumbi au tuna angalia Singida kwa kuwa lilikuwa lina ongozwa na upinzani

View attachment 1209134
Mkuu wasamehe kwakuwa hawajui walisemalo
 
mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,525
2,000
We umepotezea wapi uzalendo?? Mnajiuza kwa mabeberu na kuonesha mabaya tu. Kukosa maji tu ndio kelele hizi??
 
Bobby

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
1,944
2,000
Nime sikio mwenyekiti wa chama na serikali akisema kuwa majimbo yanayo ongozwa na ccm yana piga hatua kimaendeleo swali langu misungwi Mwanza lina ongozwa na chama gani kwa sababu wananchi wa jimbo hili wana shida sana ya miundombinu kama vile maji umeme na barabara nyingi ni za vumbi au tuna angalia Singida kwa kuwa lilikuwa lina ongozwa na upinzani

View attachment 1209134
Kwani ww bado unamchukuliaga seriously?
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
74,224
2,000
Nime sikio mwenyekiti wa chama na serikali akisema kuwa majimbo yanayo ongozwa na ccm yana piga hatua kimaendeleo swali langu misungwi Mwanza lina ongozwa na chama gani kwa sababu wananchi wa jimbo hili wana shida sana ya miundombinu kama vile maji umeme na barabara nyingi ni za vumbi au tuna angalia Singida kwa kuwa lilikuwa lina ongozwa na upinzani

View attachment 1209134
Sidhani kama nchi hii itakuja kupata kiongozi wa kiwango cha chini tena kama huyu jamaa , ni aibu sana ! yaani hana tofauti na DC ! Ama kweli alichotufanyia Kikwete Mungu anajua .
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
10,647
2,000
Mbona kama wanasubiria tanker lianguke,hapo ni kwa mawe matatu jina lingine kitwanga mpambe wa jiwe wakti anamposa mama j
Nimesikia mwenyekiti wa chama na serikali akisema kuwa majimbo yanayo ongozwa na ccm yana piga hatua kimaendeleo swali langu misungwi Mwanza lina ongozwa na chama gani kwa sababu wananchi wa jimbo hili wana shida sana ya miundombinu kama vile maji umeme na barabara nyingi ni za vumbi au tuna angalia Singida kwa kuwa lilikuwa lina ongozwa na upinzani

View attachment 1209134
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom