Mh. January Makamba, kuwaongopea na kuwadanganya wananchi haina afya kwa taifa. Kama wizara hii uliikuta na makando kando mengi, ni vyema ukakaa pembeni ili usipoteze sifa yako ya uongozi...
WATANI ZANGU
Mwaka 2020 nilijitokeza kuweka nia kugombea ubunge kwenye jimbo la uchaguzi la Butiama kupitia Chama cha Mapinduzi. Sikufanikiwa: niliambulia kura mbili za wajumbe wa Mkutano Mkuu wa...
Masauni akiwa Naibu waziri aligombana na karibia viongozi wengi wa vyombo vya ulinzi vilivyopo Wizara ya Mambo ya Ndani.
Tulimwona kwenye TV akigombeza askari bila kujali vyeo Wala umri wao. Leo...
Hapo ni April 2018. Kwangu nililiona hili kama ni personal vendetta dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya mwandishi mbobezi Bwana Pascal Mayalla japo mpaka leo hajawahi kutujuza ni nini kulikuwa...
WAZIRI MASAUNI AWAITA VIONGOZI POLISI KUJADILI MATUKIO YA MAUAJI NCHINI, AAGIZA WANAOCHAFUA VIONGOZI MITANDAONI, WANAOSAJILIA WATU LAINI ZA SIMU, WANAOSAMBAZA PICHA CHAFU WASAKWE
Na WMNN, Dar es...
Waziri wa elimu Prof Mkenda amesema kutokana na ongezeko la madarasa ya uviko pamejitokeza hitaji la walimu wapya hivyo Serikali itaajiri walimu 7000 kukata kiu hiyo.
Chanzo: ITV habari
Kuna msemo unasema matendo huongea zaidi kuliko maneno.
Sasa hivi, kila kona ya nchi ni kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe. Wapo wanaosema kuwa kesi hiyo ya ugaidi dhidi ya Mbowe na Makomandoo wetu...
Naibu Waziri anayehusika na mambo ya Ajira sijui na Nini vile, amejitokeza na kuwalaumu vijana wenzake kuwa ni walalamishi na wanachagua Ajira! Sina tatizo na Hilo ila tatizo langu ni wapi zilipo...
Kwa Tanzania naona taratibu teknolojia inawafanya watu wakae pembeni, Hata huko Serikalini ni vyema mkasoma mazingira
Ukuaji wa uchumi na teknolojia una Madhara yake pia
Naambatanisha tangazo...
MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu...
Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo
Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China...
Mimi najaribu kumkumbuka kwa Mambo machache ambayo jamaa ameacha Legacy au kumbukumbu ya daima nchini. Sidhani Kama Kuna mtu mwenye Akili timamu anaweza kusahau kazi zake.
Kwanza Magufuli alikuwa...
Kila upande unajitahidi uonekane ni bora mbele ya CCM.
Machifu wakifanya Tamasha la Utamaduni basi Viongozi wa dini watajibu kwa kufanya kongamano.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Kwa wale manofuatilia taarifa za usahihi wa utambulisho wa Denis Urio nadhani mmeona waliosoma sekondari ya Kingori wakikataa kutomfahamu shahidi huyu means awakusoma naye.
Nimetafuta ilipo...
SHAKA: UTHUBUTU WA RAIS SAMIA UNAIFUNGUA NCHI KIUCHUMI NA KIMATAIFA
Katibu wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akitoa salaam za Chama Cha Mapinduzi wakati wa...
Kwamiaka kadhaa, Tumejikusanya katika maeneo mbalimbali ikiwemo katika majukwaa ya kisiasa, kiharakati na humu mitandaoni kutoka kila upande wa dunia. Tukiwa na mvuto wa Gandhi, Nyerere, Mandela...
James Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameitaka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kujitanua zaidi kwa kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na...
Mwezi Novemba 2003, Baada ya vita kufukuta nchini Iraq, Rais wa Marekani alifanya ziara ya kushtukiza kwenye eneo la vita Yaani nchini Iraq
Kwa Wamarekani ile ilikuwa sehemu ya fursa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.