Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,262
- 2,194
Mh. January Makamba, kuwaongopea na kuwadanganya wananchi haina afya kwa taifa. Kama wizara hii uliikuta na makando kando mengi, ni vyema ukakaa pembeni ili usipoteze sifa yako ya uongozi.
TANESCO wanatangaza mgao tena, yaani watu warudi kwenye manunuzi ya generator? Ni shughuli ngapi za kiuchumi zitakuwa zinakwama kwa kukata umeme? Hasara itakayopatikana nani wa kuifidia?
Wakati wa JPM haya mambo tulishayasahau, mnataka tena turudi kule, huko wapi uchumi wa kati.