Mbatia: Ndugai alipaswa kupeleka barua ya kujiuzulu bungeni na siyo kwa Katibu wa bunge, Nakata rufaa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,598
141,414
James Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge.

Mbatia amesema hukumu hiyo mimefungua mlango wa yeye kukata rufaa kwani katiba inasema barua itawasilishwa bungeni na siyo kwa Katibu wa bunge.

PIA SOMA: News Alert: - Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa (28/01/2022)

Source: ITV habari

Katibu wa bunge anatengwaje na bunge? Mtendaji mkuu ofisi ya bunge ninani? Kama hoja ni katibu kuteuliwa na raisi na spika je? Jaji mkuu je? Kuna nani katika taasisi za kimhimili hateuliwi na raisi?

Mh Mbatia hizo nguvu ungetumia kudai katiba mpya japo hata hii yenye mapungufu inasiginwa''wakati mbowe yupo ktk mapito mlipaswa kuvaa viatu vyake kinyume nahapo nikutuhadaa''
 
Hopeless... Ukiaddress barua bungeni mtendaji ni Katibu wa Bunge; yeye anataka barua ya aina gani? Mbatia nadhani anaona amesahaulika ktk masikio ya siasa; anajaribu kutumia hili jambo kusikika tena.

Barua ya Mh Ndugai IKO WAZI NA IMEZINGATIA MATAKWA YA KATIBA.
 
Mbatia siyo mjinga anaelewa anachofanya. Hayo maswali ya kejeli tunayomtupia,yule amewahi kuwa mbunge anaelewa kanuni na taratibu zote. Sote tuliambiwa Ndugai amewasilisha barua ya kujiuzuru kwa Katibu mkuu wa ccm, na nakala amepewa katibu wa bunge. Leo serikali imetoa barua ya kwenda kwa Katibu wa bunge na kwenda kwa Katibu mkuu wa ccm, tofauti na ilivyokuwa awali, ni wazi wameona Mbatia ana hoja.
 
James Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge.

Mbatia amesema hukumu hiyo mimefungua mlango wa yeye kukata rufaa kwani katiba inasema barua itawasilishwa bungeni na siyo kwa Katibu wa bunge.

Source: ITV habari
Mbatia ni Mental case
 
Hapo imeshapigwa tick tack , so Mama yetu Tanzania akae kwa kutulia. Labda kama anauwezo wa kupima mwandiko kuwa umeandikwa lini. Kwa hili limeisha
 
James Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge.

Mbatia amesema hukumu hiyo mimefungua mlango wa yeye kukata rufaa kwani katiba inasema barua itawasilishwa bungeni na siyo kwa Katibu wa bunge.

Source: ITV habari
Sasa huko bungeni anawasilisha hiyo barua kwa nani kama siyo kupitia kwa Katibu wa Bunge!
 
Back
Top Bottom