Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

==== Ukweli ni kwamba, lipo kundi ndani ya Taifa hili tukufu la Tanzania linaloinyooshea vidole Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba imekumbwa na Rushwa na...
13 Reactions
106 Replies
7K Views
Msemaji wa serikali Greyson Msigwa amesema mgao wa umeme unaoanza kesho hautaliingiza taifa gizani kama wapinzani wanavyotabiri bali hili ni zoezi la kawaida katika kuimarisha mitambo. Msigwa...
4 Reactions
72 Replies
5K Views
Kwa maelezo ya bwana Komandoo Urio ni kuwa Mara baada ya kukutana na Mbowe na kuelezwa kuwa anataka kuchukua dola bila kujua kuwa ni dola ya kimarekani au ipi, Urio usiku alimpigia DCI simu na...
30 Reactions
39 Replies
3K Views
Nchi Ina sheria kwa wanaozivunja wanatakiwa kufikishwa mahakamani lakini tumezoea viongozi wakitaifa wakisema wakosoaji wakaozee jela au wapotezwe, Hawa watu unapowasikia unawachukuliaje? Mfano...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Leo nimeonaTaarifa toka katika Muhimili una sahihi ya kubandikwa! Nimestaajabu sana!
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari wana jf Leo nimepokea tathmini ya kile kilichofanyika jana 29/01/2022 Mlimani City kutoka huko zanzibar. Wanachama wa ACT wazalendo hadi sasa wamegawanyika, wapo ambao hawakubaliani na mh...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo tarehe 28.01.2022 Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Mgeta, imetupilia mbali kesi ya kikatiba Na 2 ya 2022 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR...
4 Reactions
92 Replies
8K Views
Natoa ushauri huu kwa serikali, sitarudia tena maana Mimi nina kazi yangu na nina biashara zangu. Umaskini na ufukara bado ungalipo hapa nchini. Serikali sasa haina budi kujenga chuo Cha fundi...
13 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakili Peter Kibatala kwa niaba ya jopo ameiomba Mahakama imlete IGP Sirro na Ole Sabaya kuja Mahakamani kutoa ushahidi katika kesi ya Freeman na wenzake Aidha. Pia Washtakiwa watatu wamekataa...
8 Reactions
78 Replies
14K Views
igweeee! Ni muda sasa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA kinapitia changamoto kubwa kiuongozi kwani mpaka sasa chama hiki viongozi wake wakuu hawapo huru kukitumikia chama. Mwenyekiti...
2 Reactions
13 Replies
843 Views
Mbowe ni kiongozi wa kitaifa, tena mtu mashuhuru ambaye anatetewa na wanasheria mahiri, na dhahiri kabisa kwamba kesi yake haina mbele wala nyuma. Tujiulize, mimi na wewe tusiokuwa na uwezo wa...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Nikiwa nasikiliza rap ya Stori ya Nyokaa na Watengwa,nikakumbuka stori ya Clement Mabina aliyewahi kuwa Diwani wa Kisesa Mwanza kupitia CCM. Mabina alijua jitu kubwa huku kwa nje akifahamika kama...
18 Reactions
31 Replies
2K Views
Ndugu zangu, ili tufanikiwe kwenye jambo lolote kama taifa, ni lazima tuwe na ‘collective effort’ kuyaendea mafanikio hayo. Hata tuwe na Rais mwema na muadilifu kama Malaika, hatuwezi kuwa na...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe...
5 Reactions
82 Replies
6K Views
Hivi huu Mwamba Mwamakula kanisa lake kwa hapa Dar lipogo wapi na ibada ni saa ngapi?Maana anaonekana zaidi kwenye matukio na mihadhara ya siasa ya vyama upinzani kuliko Kanisani. Yaani kuna watu...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza Bagonza kwa kinywa chake anataja upande wa pili wa Magufuli wazi wazi. Kama huyu mwamba(Magu) alikosea naamini ni katika mapungufu yakibanadamu kama mtu mwingine yeyote.
6 Reactions
139 Replies
7K Views
Salaam Wakuu, Leo tarehe 28/01/2022 Rais Samia amefanya ziara ya kikazi ya siku moja Nchini Msumbiji. Katika ziara hiyo Rais Samia amepokelewa na mwenyeji wake Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema atatumia wataalam wa elimu walipo ndani na nje ya wizara ili kuwa na maamuzi yenye tija kwa nchi. Waziri Mkenda amesema hayo...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Huyu dogo alikuwa analia siku mwili wa Magu unaagwa pale taifa. Nilifikiria mengi sana lakini kilichokuwa kinanishangaza ni nguvu kubwa iliyokuwa inatumika kuwaaminisha watu kuwa Magu anapendwa...
28 Reactions
85 Replies
7K Views
Leo Kuna kongamano limeandaliwa na viongozi wa dini la kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Mama Samia na keki kubwa ipo hapo ukumbini. Kuna mambo yapo mengi ambayo yametufanya tuwe hapa, na...
9 Reactions
104 Replies
6K Views
Back
Top Bottom