Wakurungwa mwangalukaaaaaa!
Nimekuwa nikiona barua za teuzi mbali mbali za Rais wa Zanzibari zikisainiwa na Katibu Mkuu kiongozi na kwenda kwa vyombo vya habari. SI mara moja si mara mbili...
Watu wanaomlaumu Denis urio NI wabinafsi,Wenye chuki binafsi na huchukulia Mambo juu kwa juu. Tunaoangalia Mambo kiundani, Urio NI shujaa haswa. Anastaili kupongezwa na kushukuriwa. Ukivaa uhusika...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa itikadi na uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe walipokutana Kibondo mjini Leo tarehe 15 Mei...
Naamini IGP Said mwema anapitapita sana humu kwenye hii mitandao ya kijamii hususa humu JF, kuna mauaji mengi yamefanyika kwa nyakati tofauti, ningependa IGP Mwema atueleze wako wapi wauaji wa...
Nakumbuka barua ya kujiuzulu ya Spika Ndugai iliandikwa kwenda kwa Katibu wa CCM na Nakala kwa Katibu wa Bunge.
Leo Mahakama inatupilia mbali kesi ya kupinga kujiuzulu na kutuambia ilikuwa halali...
Wanabodi,
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huwa natoa makala elimishi za kisiasa, kiuchumi na kijamii ziitwazo "Kwa Maslahi ya...
Wana Jf
Nimefanya ziara ya kiutafiti wa sehemu inayoweza kustawisha zao la kibiashara kwa ubora wa juu. Nilishangazwa kukutana na maendeleo yaliyopo mkoa wa kagera. Hususani nyumba za kifahari...
Mzee Ayubu Ryoba b4 TBC alikuwa vocal tukadhani ana strategies lakini alipokwenda TBC akawa mpole,shirika likayumba na kukosa hadhi SAWA na matarajio ya umma.
Zuhura Yunus alipokuwa TBC...
Unakumbuka tukio la Nape kutishiwa bastola na njagu ndugu Ally Mbuta anayeshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa madini mkoani Mtwara ?
Ikumbuke kauli yako wakati ukiwa Waziri wa...
KATIBU MKUU WA CCM NDG. CHONGOLO AITAKA UVCCM KUACHA KUWA WAPAMBE BINAFSI WA VIONGOZI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewataka viongozi wa mikoa na wilaya kutumia...
Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Prof J alikua ni mmoja wa wabunge waliofanya makubwa sana mikumi bila kelele zozote.
Ni wanasiasa wachache sana wanaweza kufanya hivi, wengi...
Niseme ukweli nape nnauye ni kiongozi, tangia akiwa na uongozi chamani, akawa waziri na mbunge nasikia watu wakimkandia sana lakini nape ninatamani kumuona tena katika uongozi wa juu.
Nape anafaa...
Tukutane makunduchi, Kusini Unguja.
Uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi (CCM) jumamosi tarehe 29 januari, 2022 kuanzia saa moja asubuhi hadi saa saba mchana...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 26/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani.
Kujua kesi ilipoishia soma...
Kesi ya Kikatiba namba 2 ya Mwaka 2022 imeshaanza kusikilizwa hapa Mahakama Kuu upande wa Jamhuri unawakilishwa na Jopo la mawakili wafuatao.
1. Gabriel P Malata - Solister General (Wakili Mkuu...
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba...
Niliona Morogoro wanazindua vibanda vya Machinga...
Hio ni vema na Haki... ila swali la kujiuliza tuna tatizo la mabanda au sehemu za kufanyia biashara ? Machinga Complex ilijaa au tulikosea...
Kwanz kabisa napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba, ambae ni muweza wa visivyowezwa. Ama baada ya salam napenda nijielekeze katika mada yangu ili kila mwenye uwezo thabiti wa kuchangia aweze...
8 September 2020
Ruaha -Mikumi, Morogoro
Tanzania
PROF JAY ALIVYOPOKEWA KWA SHANGWE NA WANANCHI AKIZINDUA KAMPENI, KAFUNGUKA WASANII KUMTENGA
Mgombea wa ubunge jimbo la Mikumi mkoa wa Morogoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.