Hivi serikali za CCM miaka 70 ya uhuru zimeweza nini mbona vitu muhimu kama Maji na umeme bado shida kuu?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,665
2,000
Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo

Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China wameshafanikiwa kusolve tatizo la vitu basic kama maji na umeme na sasa wanajiposition kuwa superpower wa dunia, CCM yenyewe hata ishu ya madawati wameshindwa kusolve miaka yote hii ya kuwa madarakani.

Leo hii Nchi imekauka kaukau, maji hakuna, umeme wenyewe ni wa mgao. Nchi ina maziwa makubwa mengi na mito lukuki lakini serikali za CCM zimeshindwa kusolve hizi ishu.

Sasa kitu gani CCM wanachojua?
1. Wanajua kucontrol mass ya wananchi, kuwapumbaza, kuwalaghai na kufanya uzandiki

2. Wanajua kumbambikizia watu kesi za kisiasa, kutumia dola ili kubaki madarakani

3. Wanajua kufanya ubadhirifu na kutumbua pesa za umma, safari zisizo na tija, kupeana vyeo serikalini kutokana na koo, angalia wanavyogawiana nafasi kutokana na kuwa huyu ni mtoto wa fulani alikuwa na cheo fulani zamani

4. Mipango mibovu, na priorities feki
Leo unaenda kununua midege wakati watu hawana maji ya kunywa ya uhakika, shule hazitoshi, umeme siyo wa uhakika. Hata hiyo Stieglers ikikamilika, megawatts 2000 bado ni peanut, nilitegemea kuona tunaanza projects leo za kuzalisha megawatts kuanzia 10000 na kuendelea

Tatizo kuu la CCM ni Low IQ
Wenzao wa chama cha kikomunisti wanachukua wanachama based on merits, na watu wenye merits wana IQ nzuri. Sasa CCM inachukua watu kutokana na uwezo wao wa kusifu na kujipendekeza au uwezo wao w kumtukana Mbowe, What do you expect?
Hawa Low IQs wataifikisha nchi wapi
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,998
2,000
Walichoweza ni kutufanya tuwe masikini tu.
Pole sana kamanda kwa umasikini.

Ila maboss zako kina Mbowe, Msigwa, Sugu, John Heche, Mnyika na Lissu wao siyo masikini tena chini ya utawala huuu huu wa CCM.

Wanakula mema ya nchi.

Akili kichwani. Wewe utabaki kutumika kwenye maandamano tu na kutukana mitandaoni.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,998
2,000
CCM ni wapuuzi LAKINI vyama vya UPINZANI hasa Chaggadema ni WAPUUZI MARA 500.

Ogopa sana. Utaruka mavi ukanyage Uharo wenye safura.

Kitu pekee kinachoweza kusaidia labda kuwe na mgongano wa FIKRA na MAAMUZI. Kusiwe na chama chochote chenye MONOPOLY.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,878

Ujue kuchagua lugha za kutumia huku, unajidai mjuaji kumbe ni mpuuzi tu mwenye hasira za maisha, haya mauchafu yako ongea na mkeo au dadako hapo sebuleni.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
51,099
2,000
Pole sana kamanda kwa umasikini.

Ila maboss zako kina Mbowe, Msigwa, Sugu, John Heche, Mnyika na Lissu wao siyo masikini tena chini ya utawala huuu huu wa CCM.

Wanakula mema ya nchi.

Akili kichwani. Wewe utabaki kutumika kwenye maandamano tu na kutukana mitandaoni.
Huyo Mmawia shamba lake la mikorosho kule Mtwara alimuuzia Selasini!
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
112,288
2,000
Pole sana kamanda kwa umasikini.

Ila maboss zako kina Mbowe, Msigwa, Sugu, John Heche, Mnyika na Lissu wao siyo masikini tena chini ya utawala huuu huu wa CCM.

Wanakula mema ya nchi.

Akili kichwani. Wewe utabaki kutumika kwenye maandamano tu na kutukana mitandaoni.
Heri yako unaye ishi kwa kuramba miguu ya wanao kulisha na kukupa jeuri ya kuipigania ccm.
1681187427.jpg
 
Drifter

JF-Expert Member
Jan 4, 2010
3,421
2,000
CCM ni wapuuzi LAKINI vyama vya UPINZANI hasa Chaggadema ni WAPUUZI MARA 500.

Ogopa sana. Utaruka mavi ukanyage Uharo wenye safura.

Kitu pekee kinachoweza kusaidia labda kuwe na mgongano wa FIKRA na MAAMUZI. Kusiwe na chama chochote chenye MONOPOLY.

Right. Monopoly ya CCM kutumia nguvu ya dola sio tatizo?
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
43,445
2,000
Ujue kuchagua lugha za kutumia huku, unajidai mjuaji kumbe ni mpuuzi tu mwenye hasira za maisha, haya mauchafu yako ongea na mkeo au dadako hapo sebuleni.
Mke mchezo? Yeye mwenyewe ni mke wa watu.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,998
2,000
Dawa ni katiba mpya itakayoruhusu wagombea binafsi
Katiba mpya italetwa na wananchi wenyewe.

Hakuna mwanasiasa wa kukuletea katiba mpya inayokunufaisha wewe.

Wanasiasa wana TABIA ya kujiangalia wao kwanza au ku-capitalise kwenye matatizo yako ili wanufaike.

Na ndio maana vitu vyenye manufaa kwa wanasiasa wote huwezi kusikia vinapigiwa kelele hata kama vinawaumiza wananchi, mfano kama Mishahara mikubwa ya wabunge, marupurupu, pension ambazo siyo makato kutoka kwenye mishahara yao wala Ruzuku ambazo ni kodi na tozo kabisa kutoka wavuja jasho.

Kelele zinapigwa wasipokula pamoja. Hata sasa wanataka waitane wazungumze namna ya KULA na siyo Kumsaidia MLALAHOI.

TUME HURU, KATIBA MPYA haziwezi kumletea mtu chakula mezani.

Hata kwa Tume hii, wasimamizi wanaweza kuheshimu tu maamuzi ya wapiga kura. Basi.

Aliyeshinda akapewa na aliyeshindwa akakubali.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
112,288
2,000
Hivi ndivyo mnavyomlamba miguu mungu Mbowe ili maisha yaende

Ndio maana saaa hivi yuko JELA mmekuwa wakali maana mmeona DHAHMA imeshuka, mtakufa kwa NJAAAA
Jibu swali viliagizwa na nani?

Na kama viliagizwa na serikali kulikuwa na umuhimu gani kuwadanganya watu kuwa vimeokotwa?
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
16,002
2,000
Katiba na tume ya sasa vinawaletea watu chakula mezani?
Katiba mpya italetwa na wananchi wenyewe.

Hakuna mwanasiasa wa kukuletea katiba mpya inayokunufaisha wewe.

Wanasiasa wana TABIA ya kujiangalia wao kwanza au ku-capitalise kwenye matatizo yako ili wanufaike.

Na ndio maana vitu vyenye manufaa kwa wanasiasa wote huwezi kusikia vinapigiwa kelele hata kama vinawaumiza wananchi, mfano kama Mishahara mikubwa ya wabunge, marupurupu, pension ambazo siyo makato kutoka kwenye mishahara yao wala Ruzuku ambazo ni kodi na tozo kabisa kutoka wavuja jasho.

Kelele zinapigwa wasipokula pamoja. Hata sasa wanataka waitane wazungumze namna ya KULA na siyo Kumsaidia MLALAHOI.

TUME HURU, KATIBA MPYA haziwezi kumletea mtu chakula mezani.

Hata kwa Tume hii, wasimamizi wanaweza kuheshimu tu maamuzi ya wapiga kura. Basi.

Aliyeshinda akapewa na aliyeshindwa akakubali.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
112,288
2,000
Hivi ndivyo mnavyomlamba miguu mungu Mbowe ili maisha yaende

Ndio maana saaa hivi yuko JELA mmekuwa wakali maana mmeona DHAHMA imeshuka, mtakufa kwa NJAAAA
Unaichukia sana corona maana imekuwacha mjane
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom