Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Salum Yussuf Ali
Siku tatu baada ya Rais John Magufuli kueleza kuwa yeye si kichaa, si dikteta wala mnyama, Jaji Thomas Mihayo ameungana na mkuu huyo wa nchi akisema hajauona udikteta wake.
Jaji Mihayo alikuwa...
MVURUGANO mkubwa ulizuka katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya wajumbe wanaomuunga mkono Edward Lowassa, kubaini jina lake limekatwa.
Hali ilikuwa hivyo baada ya...
Kutokea Kahama Mkoani Shinyanga
Madiwani Wawili wa Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kahama wametwangana makonde wakigombea 40,000 muda mfupi baada ya...
Waziri wa Habari mh Nape amesema uamuzi wa bunge live ama la ni wa Bunge lenyewe na siyo la Serikali hivyo yeye yuko tayari kushirikiana na Bunge kama watahitaji kuwa live.
Nape amesema tena...
Kama mtakumbuka mwaka jana DPP alianza kufuta kesi zote walizofunguliwa watu wakubwa nchini wakiwemo wanachama wa chama Cha mapinduzi. Hadi Sasa pamoja na ubadhirifu wote uliofanyika hakuna hukumu...
Hatimaye utatu mtakavitu umerejea katika ramani ya madaraka.
Ni vijana watatu waliozaliwa katika familia tatu zenye utakavitu mkubwa.
Mmoja kazaliwa njia panda ya barabara ya Morogoro na tanga...
Wakati wa JK mfumo uliona Rushwa ilivyokithiri ukaona namna Mali za umma zinavyoliwa na watu wachache . Walimwona JK alivyo mwanasiasa mahiri lakini ambaye siyo mwepesi wa kusoMa sana na kwake...
Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson amewataka wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge kuwa makini kuepuka kuingizwa kwenye mitego ya kudanganywa na asasi za kiraia zinapotaka ushawishi wa...
Kuna kila dalili kuwa hali si shwari ndani ya kamati kuu ya CCM kuhusu mpango mkakati wa kutaka kulikata jina la Lowassa katika hatua za awali kabisa ili lisifike kwenye NEC na kisha Mkutano mkuu...
Wilaya Songwe bado imeendelea na maajabu yake. Wasimamizi waliofanya vibaya mpaka inatia kinyaaa bado mkurugenzi anawabembeleza.
Kuna sehemu tulipita wakati tunakagua tukaacha maelekezo wafanye...
Kukiwa kunafikia miezi sita tangu kuchaguliwa kwa Mangulla kuwa makamu mwenyekiti wa CCM tanzania bara, Simanzi kubwa imeingia kwa kambi za Urais za Sitta na Membe baada ya Kuvuja kwa habari za...
"Leo wameapisha Rais Mpya, Rais wao, Rais wa NEC, Rais ambaye anatokana na majina ya mfukoni ya mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi." Naweza nisiwe sahihi sana, lakini haya walau yanasadifu kwa...
Great thinkers,
Tangu kufariki kwa Dkt Magufuli, na hatimaye Mh. Polepole kumaliza kipindi chake cha ukatibu mwenezi, yaani unaona kabisa Polepole alivyopwaya kama mwana siasa. Polepole ili aishi...
DAR ES SALAAM
RAIS John Magufuli amezindua ndege mbili mpya zilizonunuliwa na Serikali na kutaka watu waliosababisha Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) lishindwe kujiendesha waondolewe mara moja...
NUKUU ZA KATIBU MWENEZI TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA AKIONGEA BAADA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWASILI AKITOKEA ZIARA, JUMAPILI 20 FEBRUARI 2022
" CCM inaridhishwa na juhudi za kisera zitokanazo na...
Baraza la Maadili la Kiislamu Tanzania, limelaani kitendo cha kuzomewa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, kilichofanywa na baadhi ya wakazi wa Kigamboni, huku likiwaonya pia wabunge wa Mkoa wa...
Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhusu bunge live, anafafanua:
"Spika wa Bunge, Tulia Ackson alisema hili jambo linazungumzika na tutajadiliana na Serikali...
Chama cha CUF kimekufa bila mwenyekiti wala kiongozi wao kunyanyaswa waziwazi, walishughulika na matumbo ya viongoz chama kikafa.
NCCR ilisambaratishwa bila viongozi kupitia magumu ya Chadema...
Naelewa kwamba Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti maalumu.
Ila kwa upande wa madiwani sijajua wako wangapi, ndiposa naomba kujua ili niweke sawa records zangu.
RIP...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.