Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiongozi mmoja mstaafu aliyehudumu katika awamu ya kwanza hadi ya nne na ambaye hayati Magufuli alisema Rekodi yake haitavunjwa amesema atamtetea Freeman Mbowe mahakamani endapo Peter Kibatala...
22 Reactions
106 Replies
12K Views
"...DW wametumika kufanya propaganda kwa kuchelewesha kwa makusudi kurusha hewani kipindi cha mahojiano ya mwandishi wao na Rais Samia na ajabu baada ya kikao cha Tundu na Rais Samia ambacho...
15 Reactions
61 Replies
5K Views
1. Vyombo vya Habari ni Mali ya serikali au Mali ya wananchi na Umma Kwa ujumla? 2. Bunge kurusha matangazo live linategemea kibali cha Serikali au Bunge linapaswa kujiamulia lenyewe? 3...
1 Reactions
4 Replies
883 Views
CCM TUENDAKO!! MJIFOCUS KWENYE MAENDELEO YA WATU, ACHANENI NA VICHAA NA MAGAIDI-WANATAFUTA ANGLE YA KUTOKEA Naa Joseph #Yona Nikiwa naandika kwenye magroup tofauti kuwa Tundu #Lissu ni kichaa...
0 Reactions
10 Replies
755 Views
Naandika kwa uchungu sana, vyama vyote kwa wakati huu havina maono wala ajenda ya kuisimamia, wanachama wake na viongozi wake, wamejaa unafiki na uwongo wa hali ya juu, nadhani ifike mahari tuwe...
0 Reactions
6 Replies
713 Views
Mwanzoni mwa miaka ya 80 na Mwishoni mwa miaka ya 90, ulikuwa ukihoji chochote kuhusu muungano uliandamwa sana na kuitwa muhaini. Tunakumbuka sakata la Aliyekuwa Rais wa Zanzibar wakati huo Mzee...
1 Reactions
3 Replies
748 Views
Uwajibikaji wa kidemokrasia umejikita kwenye kanuni tatu ambazo zinawawezesha wananchi na wawakilishi wao—wadai haki— kuwawajibisha maafisa wa umma na sekta binafsi wenye wajibu wa kutoa huduma...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
ALIYEKUWA Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, Hamad Masoud Hamad, ametangaza kujiondoa katka chama hicho. Hamad ambaye aligombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho taifa na kukosa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mgawo stahiki wa Zanzibar Fedha za Muungano - Zanzibar inadai TZS 4.6 Trilioni (Mgawo wa 4.5%) Nchi yetu ni Muungano wa Nchi mbili, Zanzibar na Tanganyika, zinazounda Jamhuri ya Muungano wa...
32 Reactions
281 Replies
26K Views
Swali langu ni dogo sana na halihitaji maelezo marefu mama samia ameonyesha uungwana na uvumilivu kwenye mambo mengi mfano kwa Tundulisu na kufungulia magazeti lakini je atashinda kizingiti cha...
0 Reactions
10 Replies
879 Views
Hatimae BUNGE limepata SPIKA TULIA baada ya Aliyekuwa SPIKA kubwaga Manyanga Bw.NDUGAI SPIKA TULIA anaingia BUNGENI huku BUNGE likiwa na WABUNGE 19 wasio na CHAMA Kitendo ambacho ni kinyume na...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Hii ndio taarifa iliyonaswa na wasamalia wema kutoka huko Pemba , sasa swali letu ni hili , hawa polisi wanaoelekezwa kukataza Wapinzani kufanya mikutano ya hadhara huyu Chongolo hawakumuona ?
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Pamoja na kuwa muungwana na kuamua kujiuzulu nafasi yake ya uspika wa bunge la JMT, kuna uwezekano mkubwa Job Ndugai akajiuzulu nafasi yake ya ubunge wa jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM kwani...
8 Reactions
102 Replies
9K Views
Katika hili vyama vya siasa vyote havieleweki. Mwinyi alifungua uchumi, watu wakapiga kelele. Mkapa kabinafsisha viwanda na kuleta wawekezaji, watu hawataki. Kikwete kasafiri sana nje...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Nampongeza Mhe. Rais kutamka adharani Kwamba amekwenda ulaya kurejesha mahusiano yaliyoaharibika Kati ya Tanzania na Nchi za Ulaya. Amewaonyesha kamati ya kusifu na kupongeza Kwamba walilitendea...
4 Reactions
5 Replies
923 Views
Wa-Salaaam! Katika hizi siku kadhaa nimeona matangazo ya Halmashauri mbali mbali zinatafuta vijana kufanya shughuli ya anwani za makazi na postikodi. Kwa kweli muitikio ulikua ni mkubwa sana, kwa...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Naibu waziri wa Ardhi na makazi mh Ridhiwani Kikwete ameitaka NHC kukamilishs ujenzi wa mradi wake wa Morocco Square. Serikali imeiongezea fedha NHC ili iweze kukamilisha mradi huo. Source...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Waarabu na Wazanzibari ni ndugu wa damu na wa asili kabisa maana Waarabu ndio walioleta ukombizi kwa Taifa la Zanzibar. Waarabu ndio watu walioweza kuishi kijamii pamoja na Wazanzibari kwa miaka...
18 Reactions
308 Replies
17K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125...
20 Reactions
135 Replies
8K Views
Sasa ni zamu ya pemba.
3 Reactions
105 Replies
6K Views
Back
Top Bottom