Ogopa sana viongozi wanaolamba miguu wakuu wao ogopa sana.
Naamini mu wazima wa afya
Leo ningependa kuzungumzia kuhusu aina ya viongozi ambao tupo nao Tanzania kwa sasa.
Ogopa sana viongozi...
Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za...
Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua.
Sasa ili kuwafirikisha wale wasioifuatia, au...
Mwili wa marehemu Dr. Mwele Ntuli Malecela umewasili Dar es salaam mnamo saa sita usiku na ndege ya KLM.
Mwili umepokelewa na baba yake mzee Samwel Malecela pamoja na waombolezaji wengi...
CHATO STADIUM KUJENGWA HIVI KARIBUNI
Waziri Medard Kalemani amesema Serikali ipo mbioni kujenga Uwanja wa mpira wa Chato Stadium ambao amedai utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na...
Habari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa...
Serikali imewahimiza vijana wa Tanzania kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kukamata fursa zilizopo nchini katika Sekta ya Mawasiliano.
Hayo yameelezwa na Kaimu Katibu Mkuu wa...
WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO WA ZOOM ULIOFANYIKA JUMAMOSI TAR. 19 FEB. 2022
1. Waziri wa Habari, Mawasiliano na TEHAMA NAPE NNAUYE
2. DG wa TCRA Dkt Jabiri Bakari
3. Mkurugenzi wa ITV/Radio One Bi...
Wakuu Moja ya marekebisho muhimu sana ya Sheria ya Mwenendo wa Mashitaka ya Jinai, Sura ya 20, (CPA) ya Sheria za Tanzania, yaliyomo katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kutojitukuza na badala yake kutoa nafasi ya kusikiliza maoni ya watu wengine hata kama...
Wakuu After 6 years Tz Utakuwa kama Ulaya.
Wakuu Leo Chief Hangaya anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi Kwenye sherehe za Kutimiza Miaka 50 ya Jimbo Katoliki Rulenge - Ngara -Kagera.
Ànatarajiwa kutua...
Ameyasema hayo leo katika Jubilee inayofanyika Mkoani Kagera, ambayo pia imehudhuriwa na Mh Rais
===
skofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi amemuomba Rais Samia Suluhu...
Sasa hivi kila anayeta kujipendekeza au kupitisha ombi kwa Rais Samia lazima aanze na kumponda Hayati Magufuli kwanza halafu ndio anaamini hoja yake itapita kirahisi. Nimekuwa niki-observe Sana...
Jana baada ya kumsikiliza kwa makini Waziri Nape pale Clouds TV ndio nikaelewa kwanini hayati Magufuli alikuwa anasema mambo yote anayofanya bunge linayajua na limeyabariki.
Nape alisema kamati...
Sasa huku ni kukengeuka au kutokuwa na watu makini maana mnashupalia hoja zisizo na mashiko kabisa na kuonekana kama majuha.
Hivi rais wa JMT kupanda dege la Emirates ni hoja ya kuishupalia ili...
Kwa uzoefu wangu nimekaa England zaidi ya miaka mitatu.
Nilikuwa pale London Mtaa wa Fullam Road.
Nimejifunza mambo mengi sana mazuri na mabaya kwa hawa wenzetu White people.
According to my...
HATARI YA MTAWALA KUJIPA SIFA YA "mungu"
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Mwaka Juzi niliandika makala niliyoipa kichwa kisemacho "NJAMA ZA IKULU, HATA RAIS/MFALME ANAWEZA KUDANGANYWA"
Soma hapa...
Alikuwa anaongea kana,anasema watu wengine katika wizara yake wanamonopolize gari,hawataki mtu mwingine alitumie,kwa hiyo wakati mwingine kazi hazifanyiki wakati gari ziko idle. Huo ni...
Sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura...
"Nashukuru kwa mapokezi mazuri kweli mnanitia moyo, tulikuwa kwenye ziara Nchi mbili za Ulaya (Ufaransa na Ubelgiji), tulianza Ufaransa kwa mwaliko wa Rais Macron nadhani mliona nimekutana na Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.