Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela. Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana. Sasa swali la...
13 Reactions
133 Replies
11K Views
Kampuni kubwa ya Nishati duniani, Shell, imeeleza kuwa imepiga hatua kubwa katika miezi ya karibuni kwenye majadiliano yake na serikali ya Tanzania kufanikisha ujenzi wa kiwanda kikubwa cha...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Baada ya Maulid Kitenge kufanya tour na timu yake Ngorongoro watu walijitokeza nakusema alivyolipwa na kwamba ana tekeleza matakwa ya watu flani na siyo utashi wake. Siku chache Balile kawaitisha...
6 Reactions
89 Replies
7K Views
Kila tukio la kisiasa likitokea hapa nchini kwetu lazima mtalidandia na kulishupalia kana kwamba nyie mtanufaika nalo. Mbaya zaidi mkidandia tukio mnasahau kabisa matatizo yenu na madhira yenu...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Baada ya Majibu ya Waziri wa Nishati kuomba apewe muda ili arekebishe suala la kukatika kwa umeme, sasa hofu imekuwa kubwa juu ya auendeshaji wa miradi inayotegemea umeme, Miradi hiyo ni kama SGR...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni muhimu kujitahidi kupunguza lawama, kulalamika na kunung'unikia kila kitu kwani hiyo huwachanganya viongozi na mwisho kuamua kufanya chochote ili iwe vyovyote vile. Yaani akisimama malalamiko...
6 Reactions
14 Replies
821 Views
Tulishuhudia hapo majuzi, Jaji Tigana akifanya uamuzi ambao umekuwa kinyume cha matarajio ya mamilioni ya watanzania, kuhusu Kesi ndogo inayohusu Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Tujikumbushe. 1. Awamu ya kwanza Rais Mwalimu Nyerere RIP 2. Awamu ya pili Rais mzee Mwinyi 3.Awamu ya tatu Rais mzee Mkapa RIP 4. Awamu ya nne Rais mzee Kikwete 5. Awamu ya tano Rais...
2 Reactions
86 Replies
4K Views
Karibu nyumbani Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Siku 10 ulizofanya ziara Ufaransa na Ubelgiji, tayali tumepata Fedha nyingi sana kwenda kuongeza nguvu kwenye sekta mbalimbali za maendeleo kama reli...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Leo Jumanne Februari 22, 2022 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Barabara ya Uongozi yenye Km 1.8 Mjini Kibaha kuanzia saa 3 na...
1 Reactions
1 Replies
703 Views
Spika mstaafu mzee Msekwa anasema wale wabunge 19 walioko bungeni yaani Halima Mdee na wenzake siyo halali waliingia bungeni kinyume cha katiba kwani siyo wanachama wa Chadema. Halima James Mdee...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Mwezi uliopita tulikuwa na ile ya balozi feki Myemen Salaaah kule Guanghzou China. Mwezi huu wa November ni hawa jamaa wa Akina Maktum wa Dubai. Ina maana ndio pesa za Kampeni au? Tanzania has...
0 Reactions
305 Replies
43K Views
Habari Member's JamiiForums. Habari Moderators JamiiForums. [emoji871]Kama kawaida naomba niende kwenye Mada. [emoji871]Nimemsikiliza God bless Lema akiongea kwenye moja ya mitandao kupitia...
20 Reactions
76 Replies
5K Views
Wanabodi, Viwanda vyetu vikifanya kazi kwa uhakika umeme wetu hautoshi kabisa, Umeme wetu unatosheleza matumizi ya nyumbani tu hapa Tanzania. Kwa sasa huu umeme kidogo tunagombania matumizi ya...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimesoma mahali kuwa Mhe. Rais kesho tarehe 22.2.2022 atatembelea Mkoa wa Geita a wakati yuko ziarani Mara alikupa salamu kuwa na wewe unaweza kuwa kati ya wale Wakurugenzi wenzako waliotumbuliwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi. kwani...
25 Reactions
220 Replies
20K Views
Huu uzi nauandika kwa kuangalia trend ya viongozi wetu. Kila tunapopata kiongozi mkali anayebana mambo mbalimbali anayekuja anaaachia, ni kama vile wanapokezana liberals na republicans japokuwa...
18 Reactions
76 Replies
4K Views
Jfteam, Hi! Nimepitia baadhi ya hotuba za viongozi wa kitaifa - kuna mahali kiongozi amewaagiza na kuwasisitiza wateule kuhakikisha wanakula urefu wa kamba zao - na kuwa wasivimbiwe wakati wakila...
0 Reactions
0 Replies
446 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Salum Yussuf Ali
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Siku tatu baada ya Rais John Magufuli kueleza kuwa yeye si kichaa, si dikteta wala mnyama, Jaji Thomas Mihayo ameungana na mkuu huyo wa nchi akisema hajauona udikteta wake. Jaji Mihayo alikuwa...
4 Reactions
83 Replies
14K Views
Back
Top Bottom