Rais Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Salum Yussuf Ali

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Salum Yussuf Ali
1645103309842.png

 
Yeye karibu kila siku ni kutumbua tu.
Haya aendelee hivyo hivyo kutumbua mpaka miaka mitano iishe.
 
Kamkoa ila kana vyeo rukuki..wilaya ni mitaa miwili..jimbo ni kata moja...absurd kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
Kanatunyanyasa balaa, kama ni katoto ni kale kananyonya ziwa mara kang'ate chuchu mara kapige mateke mama mtu basi tabu tupu
 
Back
Top Bottom