News Alert: Madiwani Wawili WatwanganaWakigombea Posho ya Tsh 40,000

Kutokea Kahama Mkoani Shinyanga

Madiwani Wawili wa Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kahama wametwangana makonde wakigombea 40,000 muda mfupi baada ya kumalizika kikao cha Baraza la Madiwani

Nipashe
Wangetoana pua ingependeza.😂
 
Kwa CCM Hilo halishangazi mana hicho ndo kiliwapeleka huko. Malengo ni kujaza matumbo na sio kushughulikia matatizo ya wananchi wao. Kwani mbunge aliyetaka wabunge waongezewe mishahara ni wa chama gani? Walafi hao.
 
Pesa zao nyingi zililiwa na wajumbe wakati wa vikao vya kupitisha majina yao kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020.

Kwa hiyo sasa hivi ndiyo kipindi chao cha kufidia hasara. Kwa hiyo katika masuala ya mpunga wanazinguka na kuzinguana sana.
 
Kutokea Kahama Mkoani Shinyanga

Madiwani Wawili wa Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kahama wametwangana makonde wakigombea 40,000 muda mfupi baada ya kumalizika kikao cha Baraza la Madiwani

Nipashe
Hahahaaa njaa mbaya sana
 
Kutokea Kahama Mkoani Shinyanga

Madiwani Wawili wa Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kahama wametwangana makonde wakigombea 40,000 muda mfupi baada ya kumalizika kikao cha Baraza la Madiwani

Nipashe
Mmeanza kupigana WENYEWE? DHAMBI ya KUWADHULUMU WAPINZANI
 
Back
Top Bottom