Hapakuwa na Tishio lolote kuelekea 2025 bali kilichokuwapo ni Huzuni ya watoto wetu kuwa nje ya system.

manengelo

Member
Jan 6, 2022
46
98
Hatimaye utatu mtakavitu umerejea katika ramani ya madaraka.

Ni vijana watatu waliozaliwa katika familia tatu zenye utakavitu mkubwa.

Mmoja kazaliwa njia panda ya barabara ya Morogoro na tanga, huyu hana sifa ya kuwa waziri popote duniani lakini kinachombeba ni kuwa katoka familia ya kitakavitu.

Mwingine ni mjukuu wa mchonga vinyago , huyu ni kijana mwenye majivuno na majitapo kuwa yeye genge letu lisingeingia peponi, kwani yeye alitumia siku 78 porini akifanya na kupanga mikakati ya kumpokea masihi.

Kijana mwingine ni mzaliwa wa milimani, huyu japo ni mkimya sana lakini hatari yake ni kubwa sana, ndiye wa kwanza katika watoto wetu watatu kurejeshwa katika system anahusika na kukata umeme.

The returns of the noble families childrens.

Ni mimi masikini wa kutupwa mdogo wetu manengelo bin Ruhumbika kutoka kijiji cha mwagiligili wilaya ya Kwimba....Karibuni tuvune Dengu.
 
Kwa taarifa za kiintelihensia ni kuwa mama Bhoke ndiye aliyekuwa akivujisha siri za serikali kwa Kigogo. Hivyo kwa sasa Muungano wa kwe2 unaongozwa na team Kigogo
 
Hizi nafasi inatakiwa watu wafanye interview za wazi, leo nilikuwa church Waziri kapewa kusalimia kanisa na unavyojua wachungaji wetu ni wajasiriamali wa dini badala ya kumshukuru MUNGU na wananchi yeye kamshukuru MUNGU na Rais over maanake mwananchi hana nafasi kwake hata kidogo
 
Hatimaye utatu mtakavitu umerejea katika ramani ya madaraka.

Ni vijana watatu waliozaliwa katika familia tatu zenye utakavitu mkubwa.

Mmoja kazaliwa njia panda ya barabara ya Morogoro na tanga, huyu hana sifa ya kuwa waziri popote duniani lakini kinachombeba ni kuwa katoka familia ya kitakavitu.

Mwingine ni mjukuu wa mchonga vinyago , huyu ni kijana mwenye majivuno na majitapo kuwa yeye genge letu lisingeingia peponi, kwani yeye alitumia siku 78 porini akifanya na kupanga mikakati ya kumpokea masihi.

Kijana mwingine ni mzaliwa wa milimani, huyu japo ni mkimya sana lakini hatari yake ni kubwa sana, ndiye wa kwanza katika watoto wetu watatu kurejeshwa katika system anahusika na kukata umeme.

The returns of the noble families childrens.

Ni mimi masikini wa kutupwa mdogo wetu manengelo bin Ruhumbika kutoka kijiji cha mwagiligili wilaya ya Kwimba....Karibuni tuvune Dengu.
Wako hajapenya ndugu🤔.
 
Eti huyu alikuwa tishio!Alikuwa anataka urais 2025😁😁😁
dcR.jpg
 
Nimemuuliza mtu hapa kuhusu dengu.Kumbe zinalimwa kama maharage?Mimi nilijua uvunaji wake ni kama maembe tu.
 
Challamila tu ndio kaupiga mwingi hadi tumejua watakavitu utatu wao umerejeaje.
 
Back
Top Bottom