Naibu waziri wa Ardhi na makazi mh Ridhiwani Kikwete ameitaka NHC kukamilishs ujenzi wa mradi wake wa Morocco Square.
Serikali imeiongezea fedha NHC ili iweze kukamilisha mradi huo.
Source...
Waarabu na Wazanzibari ni ndugu wa damu na wa asili kabisa maana Waarabu ndio walioleta ukombizi kwa Taifa la Zanzibar.
Waarabu ndio watu walioweza kuishi kijamii pamoja na Wazanzibari kwa miaka...
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125...
Zile mamlaka zinazotathmini maaajabu ya dunia wanatakiwa kuchukua hili kama ni moja la ajabu duniani. Sio lazima liwe kati ya maajabu nane ila liwe tu hata ajabu la 98.
Scenario 1
Mtu anaamini...
Kimsingi nauona mtandao wa William Ngeleja ukiwa makini sana kuelekea 2025 timu hii ni ya watu smart sana , imesheeni mamastermind wa siasa za fitna na Uharamia.
Ni yeye Ngeleja 2025.
Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni...
Kama ambavyo makamanda wa Chadema wanavyojinasibu kwamba Mbowe yuko jela kwa sababu alikuwa mstari wa mbele kuipigania Katiba mpya.
Ndio nawauliza Chadema, Freeman Mbowe yuko tayari kujitoa...
President Samia’s trip to Europe Timely and Strategic
By Seleman Yusuph Kitenge
The Momentum from 76th UNGA Speech
Since her reigning to the country’s highest office in March 2021, President...
1. Kwanini hii bajeti inajumuisha wizara zote za muungano na zisizo za muungano?
2. Bajeti inayoishia 2021/2022, trilioni 39 Zanzibar imechangia kiasi gani kwenye makusanyo?
3. Hii misaada na...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameridhia kuongeza muda wa siku saba kwa kamati maalum iliyopewa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyofanyika Mtwara na Kilindi, Tanga.
Kamati hiyo iliyoanza kazi...
Kitendo cha Zitto Zuberi Kabwe mwana Kigoma Muha,(wanafiki sana hawa watu waogope kama ukoma)kutokuwepo mahakani ni ishara tosha ya kuwa Zitto anaamini kuwa aliyemuita kaka yake mlezi...
2020 Oktoba hatufanyi makosa kuwachagua watu ambao wamelifanya Taifa la Tanzania kama kisiwa, hatutaki viongozi ambao wanaingilia kazi za wataalamu.
Dr Mwele, huyu mama anafaa kabisa kuwa...
Na Prisca Ulomi, WMTH
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Faustine Ndugulile amesema kuwa Wizara yake iko mbioni kupeleka Bungeni muswada utakaowezesha kutungwa kwa Sheria ya...
Vijana na makamanda wa CHADEMA, wapo ktk uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, wakimsubiri Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Slaa akitoka ziarani nchini Marekani.
Makamanda, Dr na rais wa...
"Sheria hii ya mwaka 2016 ambayo mimi niliisimamia nikiwa waziri, imelenga kuifanya tasnia ya habari kuwa taaluma, ukikosea tukuchukulie hatua wewe, na ndio maana tumesema tutoe leseni, najua kuna...
EPforR I ilitoa TZS 208b kwa JK mwaka FY2014|15 to 2020|21, why EPforR II imetoa TZS 196b kwa Rais Samia FY2021|22 mwaka mmoja baadaye,Je waligoma au hawakuwa na pesa?
==============
Katika kile...
Na Maziku Jr
Mapema leo hii wadau mbalimbali wa Sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wameshiriki mjadala ulioendeshwa na Taasisi ya Watch Tanzania kwa njia ya mtandao. Mjadala huo...
DKT. KIJAJI AIKUMBUSHA MENEJIMENTI YA WIZARA YAKE KUTEKELEZA WAJIBU
Asema Tuko Hapa Kuwatumikia Wananchi
Prisca Ulomi na Faraja Mpina, DODOMA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya...
Habarini za mahangaiko wasakatonge wenzangu.
Naamini mnaendelea na mahangaiko ya kuitafuta shilingi kwa udi na uvumba.
Narejea katika kichwa cha thread hii, ombi limetolewa kwa Rais kuwa MBOWE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.