Hivi ndivyo Mwananchi walivyoeleza kwenye tovuti yao jioni hii .
Hoja hiyo iliwasilishwa mbele ya Rais na Shehe Mkuu (BAKWATA) Mufti Aboubakar Zuberi
=======
VIONGOZI WA DINI: BUSARA ITUMIKE...
Julias Marandu
Tarehe 02/03 tumeshuhudia Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akifanya mazungumzo na Viongozi wa dini kujadili masuala mbalimbali ya nchi, huku moja ya maombi kutoka kwa viongozi wa Dini...
Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu anayeishi uhamishoni Ubelgiji ameeleza azma yake ya kurudi nchini Tanzania wakati wowote.
Lissu alisema hayo katika mahojiano...
-
1 .CONFLICT OF INTEREST ikumbukwe kuwa kufuatia uchaguzi wa 2005 Fisadi Mbowe asiyekuwa na nguvu ya Dola alikidaichama kiasi cha USD 181,949.00 sawa na kiasi cha sh TZS 300,215,850 kitu ambacho...
Ni dhahiri sasa kwa kila anayeifuatilia Kesi ya ugaidi ya kina Mbowe, ameshabaini kuwa hiyo Kesi ni ya michongo na mashahidi wanaoletwa hapo mahakamani pia ni wa michongo!
Hivi unawatuhumu watu...
Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!
My opinion
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na...
Serikali inatambua mchango wa Chuo cha IAA katika kuendeleza Michezo nchini
Na Eleuteri Mangi-WUSM, Dodoma
Serikali inatambua na kuthamini mchango unaotolewa na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)...
Ni mbunge wa viti maalum CCM kutoka Mkoani Lindi.
Ametaja mtandao ambao umeonekana una majina ambayo yanaishia na rafudhi za kichaga kuwa ndio wameurudisha mikoa ya Lindi na Mtwara na...
Kamati ya Bajeti ya bunge la Tanzania imeridhishwa na utendaji wa shirika la Umeme, TANESCO na hasa kwenye kipengele cha mageuzi ya miundo mbinu yanayoendelea.
Toa maoni yako
Hii wizara ipo Kama haipo. Tunaelekea January Bei ya mbolea nikama tunanunua dhahabu, haijawahi tokea tangia uhuru.naona wanakula kiyoyozi tu hapo wizarani. Nimepita sumbawanga vijijini watu...
ASIKUDANGANYE MTU, kwa propaganda yoyote kuwa DPP kutangaza kutokuwa na nia ya kuendelea na mashitaka ya tuhuma za ugaidi na uhujumu uchumi dhidi ya M/Kiti wa CHADEMA - Taifa ndugu Freeman A...
Inadaiwa kuwa huu mchongo unawahusisha vigogo wa kwenye mamlaka za juu na ndiyo maana kuna danadana zinaendelea.
Taarifa za uhakika kutoka wa watu ambao wamekuwa sehemu ya waathirika wa mradi huo...
Kwa Mujibu wa Maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kuanzia leo Septemba 13 wamachinga wote wanaofanya biashara zao kwenye njia za watembea kwa miguu wanatakiwa kuwa wameondoka...
Sote tunakumbuka Juzi juzi baada ya tundu Lisu kumaliza mazungumzo na Rais akiwa Ubelgiji Tundu Kama kawaida yake akili mingi mingi alimuwahi Mama na kuweka hadharani mada walizozungumzia. Kwa...
Tanzania imezungukwa na maadui wengi kuliko marafiki, Tanzania imezungukwa na nchi zisizo na amani kama taifa letu. Ulinzi wa Tanzania upo mikononi mwetu Watanzania. Tusiposema hakuna atakayesema...
Watu 12 wakiwamo Watendaji wa Serikali za Mtaa, wamekamatwa wakidaiwa kuiba chupa 434 za dawa za kuua wadudu wa pamba, zilizotolewa na Serikali kwa wakulima wa zao hilo katika Kata ya Nyakabindi...
Najaribu kuwaza tu in deep thinking
Rais kamaliza yake kwenye sakata la Mbowe et al. Kaonyesha dhamira dhabiti ya "kutubu".
Nawaza, Majaji wa kesi hiyo walikiuka sheria wazi wazi bila kificho...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo ametoa msamaha kwa vijana 853 kati ya 854 (mmoja alifariki) waliofukuzwa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Aprili 2021 kwa makosa ya kinidhamu...
"Ilikuwa haisemwi kwa sauti kubwa lakini ni ukweli usiofichika kwamba mabenki yetu mengi yalikuwa yameishiwa pumzi. Ulikuwa ukienda kwenye counter zao unahesabu wateja wawili watatu na wateja...
Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.
Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.