Kwa miezi takribani 4 sasa umeme umekuwa unakatwa kwa makusudi na watu wa Tanesco kwa kile kinachoitwa upungufu wa umeme nchini.
Tanzania inazalisha umeme toka vyanzo mbali mbali na moja ya...
Kwa kweli kaka yangu ninakuaminia sana kwa kufanya uchambuzi. Hata hivyo ukimya wako kuhusu kufanya uchambuzi na utabiri wa nini itakuwa athari kisiasa kuhusu uamuzi wowote utakaohusisha kesi ya...
Mh. Mbowe yuko huru kama ilivyosemwa kwenye hukumu, "bila ya masharti yoyote."
Iwe ni kwa uamuzi huru wa mahakama au kuna mkono wa mama ndani yake, pana watu wamechanganyikiwa wasijue kulikoni...
This is absolutely strange indeed.
Ni wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameona mwezi, macho ya kuuona ukweli yamefumbuka.
Hebu jaribu kufikiri vizuri kidogo. Kwamba, Rais Samia Suluhu all the...
Leo sheikh wa Dar es Salaam, Mussa Alhadi kabla hajaomba dua kwenye hafla iliyomjumuisha Rais Samia, alitoa salamu za kamati ya amani kumshukuru kwa kutimiza maombi yao ya kumuachilia huru Mbowe...
Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro amesema hakuna mtu anaweza kufanya mauaji na asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kamanda Sirro alikuwa anazungumza na wadau wa sekta ya usafirishaji.
Sirro...
Ndugu zangu,
Huwa ninasema na nitaendelea kusema kuwa CHADEMA ni tawi tiifu la CCM. Hata sasa mijadala ya kisiasa inayoendelea wafuasia wa Chadema ni "follower" wa makada wa CCM. utasikia "Samia...
"Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa...
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mkubwa mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu. Nafuatilia kwa kwenda mwenyewe Mahakamani. Hata sasa nipo...
Asilimia kubwa ya waliopo humu JF ni watu wenye IQ kubwa sana. Nilichokiona suala la kuachiwa Mbowe ni suala kubwa na halikwepeki kuchukuwa nafasi kubwa katika media hasa za ndani including hapa...
Japo havijaanza leo lakini vitendo vya rushwa, kubambikia kesi na uonevu kwa raia chini ya IGP sirro vimekithiri ukilinganisha na miaka ya nyuma
Kukithiri kwa vitendo hivi ni kiashiria kwamba IGP...
Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA,
Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga...
Agenda ya US$100B kwa nchi masikini baada ya Rais Samia kurejea nchini tutarajie chochote kutoka COP26?
"Hakuna kama Samia "
Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwawajumbe 197...
Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo...
Tanzania Law Professor Scoops World’s Environmental Rights Award
Tanzania’s Dr. Elifuraha Laltaika has won a World’s environmental rights award becoming the first African Scholar to win the...
Ili maridhiano ya jambo lolote yawepo ni lazima kuwe na misingi iliyokiukwa(katiba), nyie mnataka msridhiano badala ya kuitaka mahakama ihakikishe yote yaliyomo kwenye katiba yanafuatwa. CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.