Zoezi la kuwaondoa Wamachinga kwenye njia za Watembea kwa miguu Dar es Salaam, sijaona dalili yoyote ya wao kuondoka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,666
218,155
Kwa Mujibu wa Maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kuanzia leo Septemba 13 wamachinga wote wanaofanya biashara zao kwenye njia za watembea kwa miguu wanatakiwa kuwa wameondoka wao wenyewe pamoja na mabanda yao.

Nimepita Mbagala sijaona dalili yoyote ya wamachinga kuondoka, na sasa naelekea Kariakoo kujionea hali halisi.

Popote ulipo ndani ya Dar es Salaam tuletee taarifa ya wamachinga kuhusiana na zoezi hili muhimu
 
Kwa Mujibu wa Maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Amos Makalla , kuanzia leo Septemba 13 wamachinga wote wanaofanya biashara zao kwenye njia za watembea kwa miguu wanatakiwa kuwa wameondoka wao wenyewe pamoja na mabanda yao .

Nimepita Mbagala sijaona dalili yoyote ya wamachinga kuondoka, na sasa naelekea Kariakoo kujionea hali halisi .

Mnataka wafukuzwe ili mpate mtaji wa kisiasa chagadema
 
Wawatengee mazingira rafiki sio kuwatimua km mbwa mjini kugumu jamani
Mazingira rafiki yapi...??? Maneno hayo ndio kichaka cha mwendazake na genge lake la wahuni walitumia kuhadaa wananchi//...

Huwezi fanya bishara barabarani, CBD ambako kunatakiwa muda wote kuwe safi halafu uanaangalia watu wnakaanga mihogo na vitumbua....Wakati kuna sheria za Upangaji miji zipo.. kwanini hazisimamiwi..?? mkiambiwa ukweli mnakimbilia watengenezewe mazingira.. Stupid
 
😆😆😆
 
Kwenye nguvu ya kiuongozi makonda na ujinga wake amemwacha makalla mbali sana, huyu makala ashatoa matamko 1000 yote chali hakuna hata moja lililofanikiwa
Sio yeye tu mwenye matamko butu, we fuatilia kwa makini, utagundua matamko pekee yaliyotiliwa mkazo ni teuzi na tozo, na nadhani ni ndugu, na binamu yao tour.
 
Kwa Mujibu wa Maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Amos Makalla , kuanzia leo Septemba 13 wamachinga wote wanaofanya biashara zao kwenye njia za watembea kwa miguu wanatakiwa kuwa wameondoka wao wenyewe pamoja na mabanda yao .

Nimepita Mbagala sijaona dalili yoyote ya wamachinga kuondoka, na sasa naelekea Kariakoo kujionea hali halisi .

Popote ulipo ndani ya Dar es Salaam tuletee taarifa ya wamachinga kuhusiana na zoezi hili muhimu
INGESAIDIA KAMA UNGETOA MAONI YAKO KWANZA KUWA ZOEZI HILO NI ZURI AU HALIFAI ILI TUWEZE KU COMMET VIZURI TUONE MWELEKEO WAKO
 
Back
Top Bottom