Rais Samia kajisafisha, kaonesha dhamira njema, Majaji waliosigina sheria na Katiba wanajisafishaje?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,276
73,820
Najaribu kuwaza tu in deep thinking

Rais kamaliza yake kwenye sakata la Mbowe et al. Kaonyesha dhamira dhabiti ya "kutubu".

Nawaza, Majaji wa kesi hiyo walikiuka sheria wazi wazi bila kificho. Je, wao wanajisafishaje? Historia itawahukumu vipi? Majaji wanafutaje historia ya Jaji wa mchongo? Idara ya Mahakama inajisafishaje? Maana Kuna vitu vya ajabu waliviandika majaji wakijua fika wanakiuka haki ambayo waliapa kunilinda.

Mh. Jaji Mkuu, tafàkari chukua hatua!
 
Siyo kila jaji ni mpuuzi. Wako majaji majadiri na wazalendo kama Jaji Rumanyika au Ndika wote hawa wako Mahakama ya Rufani.
Nakubali bila shaka. Ndika nasoma judgements zake sana. He is good! Ndika ni kutoka mkoa gani?
 
Najaribu kuwaza tu in deep thinking

Rais kamaliza yake kwenye sakata la Mbowe et al. Kaonyesha dhamira dhabiti ya "kutubu".

Nawaza, Majaji wa kesi hiyo walikiuka sheria wazi wazi bila kificho. Je, wao wanajisafishaje? Historia itawahukumu vipi? Majaji wanafutaje historia ya Jaji wa mchongo? Idara ya Mahakama inajisafishaje? Maana Kuna vitu vya ajabu waliviandika majaji wakijua fika wanakiuka haki ambayo waliapa kunilinda.

Mh. Jaji Mkuu, tafàkari chukua hatua!
Hao wanawaza namna bora ya kupiga pesa za wananchi
 
Hebu jiulize,
Waliokua wanawapa wale majaji na mawakili per diem za kufa mtu ni Nani?
Ushawahi kuona mtu analipwa posho ya laki tano kwa siku na mshahara uko pale pale.
 
Najibu kichwa cha uzi.

Majaji hawajasigina sheria, Huyu unayedai kajisafisha ndio alikuwa kiongozi wa maelekezo.

Hapa kawaingiza majaji chaka.
Kwa namna nyingine, imebidi majaji wachafuke ili mkuu aweze kusafishwa. Kama baada ya jamhuri kufunga ushahidi, jaji Tiganga angetoa ruling kwamba watuhumiwa hawana kesi ya kujibu (ambalo ndilo lilikua wazi na jaji alikua nalo Hilo), ingepeleka moja kwa moja kuchafuka kwa mkuu kutokana na mahojiano ya BBC siku za nyuma. Hatua ya DPP imepunguza kuchafuka kwa ofisi kubwa.
 
Najaribu kuwaza tu in deep thinking

Rais kamaliza yake kwenye sakata la Mbowe et al. Kaonyesha dhamira dhabiti ya "kutubu".

Nawaza, Majaji wa kesi hiyo walikiuka sheria wazi wazi bila kificho. Je, wao wanajisafishaje? Historia itawahukumu vipi? Majaji wanafutaje historia ya Jaji wa mchongo? Idara ya Mahakama inajisafishaje? Maana Kuna vitu vya ajabu waliviandika majaji wakijua fika wanakiuka haki ambayo waliapa kunilinda.

Mh. Jaji Mkuu, tafàkari chukua hatua!
Jaji Mkuu Ibrahim Juma huko alipo anawasalimia🤣🤣
 
Back
Top Bottom