Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza. Inasemekana wabunge...
25 Reactions
271 Replies
16K Views
Sikutolewa gerezani kwasababu kuna mtu ananipenda, nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi sana. ======== Freeman Mbowe: Tulianza kama chama kidogo, leo ni chama kikubwa...
13 Reactions
107 Replies
7K Views
Hakika mh Mbowe ni kiongozi anayependwa kwa kutoka mioyoni mwa watanzania. Tazama wapemba wanavyo furahia kuwachiliwa kwa mh Mbowe kutoka jela. Hakika cdm ina viongozi wanao kubalika hapa nchini...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Chama cha sauti ya umma(SAU) kinawatakia heri watanzania wote katika siku ya kimataifa ya wanawake tarehe 8 march, ikiwa na ujumbe GENDER EQUALITY TODAY FOR A SUSTAINABLE TOMORROW
0 Reactions
2 Replies
578 Views
Wanabodi, Kwa ufupi nikiri kuwa kesi ya Mbowe nilitegemea itafika at least mwezi wa tisa na hii ndio ilikuwa forecast yangu na wengine wengi tu Sikuwahi andika habari za hii kesi sana kwani mara...
2 Reactions
4 Replies
806 Views
Tar 8 Desemba 2020.Aliyekuwa Rais wa JMT hayati John Pombe Joseph Magufuli alipokutana na vijana wa JKT hao 2400 ambao walipewa kazi ya kujenga Ikulu Chamwino-Dodoma.Akawaahidi kupewa ajira...
27 Reactions
112 Replies
14K Views
Kweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda. Kwa Furaha kubwa niliyoiona...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
RIDHIWANI: SERIKALI YA RAIS SAMIA UKIIBIPU KWENYE MAENDELEO INAKUPIGIA, TUTEKELEZE MAJUKUMU YETU NA KUTOA TAARIFA. Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe...
1 Reactions
3 Replies
901 Views
Kwa sasa katiba mpya itatuchukua muda mrefu na gharama kuikamilisha na hakuna uhakika wa kufika mwisho wa zoezi hasa tukizingatia uzoefu uliopatikana kwa UKAWA Kwahiyo, bunge la JMT linaweza...
2 Reactions
9 Replies
924 Views
==== Pamoja na kuwa Jimbo la Singida Mashariki lilisalia mikononi Mwachadema kwa zaidi ya mwongo mmoja ajabu ni kwamba baadhi ya maeneo ya jimbo hilo kwenye karne hii ya Sayansi na tekinologia...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Kiongozi wa makanisa ya Efatha Ministries Tanzania Nabii, Mtume na Askofu Josephat Mwingira amezua taharuki na mjadala mkubwa katika vyombo vya habari TV, redio na social media kwa sababu ya...
31 Reactions
154 Replies
15K Views
Mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba ameishauri Serikali kuacha kutangaza visa vipya vya wagonjwa wanaogundulika kuwa na corona, badala yake itangaze kama ugonjwa bado upo ama la, idadi ya watu...
12 Reactions
302 Replies
40K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani humo kuwasaka na kuwakamata watu zaidi ya 100 ambao wanadaiwa kupotea na kutowasilisha fedha benki zilizokusanywa kupitia Mashine...
3 Reactions
9 Replies
983 Views
Chuki huzaa chuki, heri huzaa heri na kicheko huzaa kicheko. Kwenye sakata hili la Mbowe kuachiwa huru wa kushukuriwa hapa ni Rais Samia full stop. Kama Rais JPM angekuwa bado Yuko kwenye kiti...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Upo ni mfumo mzur wa utawala kati ya ubepari na ujamaa. Kwenye nchi za ubepari wanainch wengi wanaongoza kua na maisha mazur. Wanakula Bata sana ushindani wa kibiashara na uzalishaji uko juu sana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Majenelari wa jeshi waliostaafu wameagwa rasmi kwa kusukumwa wakiiwa ndani ya gari maalumu na miongoni mwao ni aliyekuwa mkuu wa jeshi la anga Meja Jenelari George William Mkuu wa majeshi General...
4 Reactions
24 Replies
6K Views
Jana Jumamosi Februari 19, 2022 Wilayani Iramba Mkoani Singida pamefanyika Kongamano kubwa sana la Madini lililoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Suleiman Mwenda na kuhudhuriwa na Wadau...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Historia bado itamkumbuka Rais Kikwete kwa kuishi ki laghai na wapinzani wake muda wote wa uongozi wake. Rais kikwete alifahamu vyema mdundo wa kina Mbowe na Lisu na hakika aliucheza vyema kwa...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna viongozi wengi walikuwa wanategemea mgawanyiko na ugomvi wa Magufuli na upinzani. Hawa ni machawa wa usalama, Polisi na wanasiasa wanaotafuta nafasi. Hawa ni wale watu ambao kiundani...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom