Mh Rais popote ulipo, nina tumahi majira haya ya saa kumi utakuwa umelala, basi nikupongeze, maana wewe ulishakili hadharani yakuwa hulali na mafaili kitandani kwako, unayasogeza kwa wasaidizi...
Katika umri wake wa miaka 30 Chadema imefanya mengi ya kulisaidia taifa lakini pia imekuwa kikwazo kwa baadhi ya mambo ya kimaendeleo nyakati zingine.
Je, unaipongeza Chadema kwa lipi?
Je...
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho , Mh John Mnyika , ambapo pamoja na Mambo mengine ndani ya kikao cha Kamati Kuu hiyo ajenda mbalimbali zitajadiliwa.
Kikao hicho...
Godbless Lema mbunge aliyefeli Arusha mjini amemshukia vikali Zitto Kabwe mbunge aliyefeli Kigoma mjini aliyedai ni yeye ndio alimuingiza Lema Chadema.
Lema amesema waliomshawishi kujiunga...
Miaka 55 sasa tangu uhuru bado tunaendesha siasa za nipe nikupe? Eti nipe kura yako nitakujaza mapesa! Huku kama siyo kuvaa nepi ni nini? Hivi zama hizi kweli ni za kudanganyika?
Imefika wakati...
Tundu Lisu kupitia mahojiano yake na Star tv amesema alipokutana na Rais Samia alimuomba amsaidie kulipwa Mafao yake ya ubunge na kwamba Rais analishughulikia swala hilo na kwa jinsi...
Rais Samia Suluhu amemteua Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.
Sambamba na hilo Rais Samia Suluhu amemteua Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Rais Samia kaeleza mengi lakini yaliyonikosha ni Ile serikali kurudisha Imani na ushirikiano kwa sekta binafsi wawekezaji
Yupo tayari kuingia ubia kwenye miradi na taasisi za serikali Kama...
Badala ya kukaa kuisubiri large scale LNG nakuomba waziri wa nishati na serikali tujikite kwenye small scale LNG na Mobile CNG station, miradi midogo ambayo inaweza kufanywa nasisi wenyewe bila...
Tume Huru ya Uchaguzi duniani kote ina majukumu mengi sana, chaguzi za kisiasa ni sehemu ndogo tu ya majukumu yake.
Huko duniani Tume Huru huombwa kusimamia hata chaguzi za viongozi wa dini na...
Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera
Taarifa zilizofichwa zinaeleza kwamba kabla hajanunuliwa aliahidiwa kupewa mil 50 , lakini...
Msimu wa kilimo wa mwaka 2021/2022 tumeshuhudia kupaa kwa bei za mbolea hali hii ilianza mnamo mwezi Juni na Julai mwaka jana ambapo bei zilianza kupanda kwa wastani wa asilimi 20 hadi asilimia...
Pamoja na mapungufu yake Waziri Kalemani bado ana vision sahihi ya umeme nafuu Kwa Watanzania.
Kampeni ya kumchafua na kumshambulia ikemewe kwa nguvu zote.
Kuna madadali wa kununua umeme wa gesi...
Athari za vita ya Urusi na Ukraine haitatukosa na inaweza kudumu kwa muda mrefu sana.
Tanzania tumejaliwa kuwa na gesi asilia inayoweza kutumika kwenye magari, machine, na kutoa nishati ya...
Huyu Sabaya japo siujui uovu wake kiundani sana, lakini ninachofahamu ni kuwa alikuwa akiwapigania watawala sana.
Huenda ilikuwa ni ajira yake, lakini alikuwa hodari sana wa kuitetea serikali na...
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa...
BUNGE LARIDHISHWA NA JITIHADA ZA SERIKALI ZA KUPELEKA MAWASILIANO KWA WANANCHI
Shilingi Bilioni 5.4 Zatumika Kujenga Minara 40 Mwanza
Zaidi ya Wananchi 6,000 wa Kata ya Nyampande...
Zitto Kabwe ni mojawapo ya majina makubwa yaliyowahi kuwika katika siasa za Tanzania katika umri mdogo. Katika kipindi cha miaka kumi kuanzia 2005 hadi 2015 Zitto akitumia zaidi jukwaa la bunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.