Zitto Kabwe, Nyota kubwa ya kisiasa inayoelekea njia ya Augustino Lyatonga Mrema

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,565
46,111
Zitto Kabwe ni mojawapo ya majina makubwa yaliyowahi kuwika katika siasa za Tanzania katika umri mdogo. Katika kipindi cha miaka kumi kuanzia 2005 hadi 2015 Zitto akitumia zaidi jukwaa la bunge, CHADEMA na kamati ya PAC alikuwa ni kijana aliyewavutia watu wengi waliopenda siasa kujenga hoja na uchambuzi mahiri katika kuiwajibisha serikali.

Mafanikio yake kisiasa katika umri mdogo yalimfanya aamini anafaa na anaweza kuwa mwenyekiti wa CHADEMA akaanzisha harakati za mafichoni na wenzake kutwaa uongozi wa chama jambo liloleta mtafaruku na kuishiwa kufukuzwa katika chama mwaka 2013 na akabaki mbunge wa mahakama.

Alianzisha chama chake ambacho japo kilianzishwa muda mfupi kuelekea uchaguzi kilionekana kuwa na pesa nyingi kumudu kampeni kubwa za uchaguzi na alishinda nacho ubunge peke yake mwaka 2015.

Katika kipindi cha ubunge 2015-2020 alikuwa mmojawapo wa wakosoaji wakubwa wa serikali ya JPM ila jambo la kushangaza tofauti na wakosoaji wengine yeye hakukumbana na mkono mzito wa dola, hakulazwa mahabusu muda mrefu. Hata hivyo uchaguzi wa 2020 ulimweka nje ya jukwaa la bunge na tangu hapo hajakaa sawa tena, yeye na chama chake wamekuwa ni watu wasioelewaka wanasimamia nini na wapi katika mambo makubwa ya nchi.

Tangu kushindwa ubunge wa 2020 ajenda za Zitto zimekuwa ni mambo yaliyo mbali kabisa na maisha ya Watanzania wengi wa kawaida. Mtanzania gani mvuja jashi anayejali mambo ya vita vya Tigray dhidi ya serikali Ethiopia? Mtanzania yupi anaelewa masuala ya mgogoro wa Sahrawi na Morocco? Sasa hivi ameshikia bango suala uraia wa Mzanzibar Muingereza Abdularazak Gurnah aliyeshinda tuzo ya Nobel akisisitiza ni Mtanzania!

Zitto Kabwe anaenda mbali zaidi akisifia mambo mengi yanayofanywa na chama tawala. Alipoteuliwa January Makamba aliandika pele limepata mkunaji, akaisifia sana bodi mpya ya Tanesco wakati wengi wakiikosoa. Anachosahu Zitto ni kwamba chama cha upinzani kinachokosa ajenda mbadala kwa jambo lolote la serikali ni upinzani mfu, hauna tofauti na upinzani wa Mrema alipounga mkono kampeni za JPM.
Zitto anapaswa kufahamu upinzani wake unaelekea huko.
 
Hata Tundu,Mbowe,Mnyika wameshazama...na Chadema inakarikiba ilipo TLP

Zitto ni sehemu ya serikali Zanzibar, usijipe vidonda vya tumbo bure.
 
Ni mawazo mazuri ila ukweli anaujua yeye mwenyewe.
 
Duh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom