Kuna tetesi kadhaa zimeanza kusambaa mitaa ya Chato tangu leo asubuhi kuwa, ujio wa Rais Samia katika Wilaya ya Chato katika kuadhimisha kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa rais...
Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba amesema mfumuko wa bei unaolalamikiwa hausababishwi na sera zetu wala uzembe.
Kadhalika, fedha ya mkopo wa COVID 19 kutoka IMF imesaidia kuongeza mzunguko wa...
Maana siyo kawaida taasisi kubwa na ya kimataifa kama Chadema kufanya kikao muhimu cha Kamati kuu na wananchi wasijuzwe kilichojiri ama kujadiliwa.
Ndio nauliza, Chadema mna afisa habari?
Kama...
Wanabodi,
Natanguliza Heri ya sikukuu ya Pasaka, leo naendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, na bado hoja kuhusu udikiteta Tanzania, zitaendelea, lakini kwa vile hoja ya...
Wanabodi,
Mie nashangaa sana kwanini huyu anayejiita Pasco hapendi chochote kinachofanywa na serikali ya Magufuli. Mbona sijahawi kuona akikosoa matendo mabaya ya watendaji serikalini na...
Nimesoma utaratibu wa malipo ya serikali Kwa Mtumishi anayefanya kazi nje kituo chake cha kazi, utaratibu unaeleza kwamba Mwisho wa malipo ni miezi sita baada ya muda huo utafutwe mfumo mwingine...
Msitarajie watu walioshinda uchaguzi na wengine kupata vyeo serikalini kwa msaada wa mtu ambae alikuwa adui wa demokrasia, watu hao waache kumtukuza mtu wa aina hiyo, na inawezekana pia wanafanya...
Ukiwa kama mkurugenzi mkuu nimeona ndani ya mwezi mmoja ukifungua vituo vya TBC Dodoma na Morogoro ni jambo zuri sana.
Nasikitika kuwa unasimamia fake news badala Yakuwalisha wananchi habari...
Kikao cha Kamati Kuu ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea muda huu, ikiongozwa na Mh. Freeman Mbowe muda huu.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama wakiwa ukumbini wakifuatilia...
Bei ya mafuta ya petroli na diseal imeshuka tena na kuwa chini ya USD 100 kutoka 130 wiki iliyopita. Wiki iliyopita serikali ilitoa tozo ambalo ni mahususi kwa jambo maalumu. Mimi nadhani...
Unaweza ukadhani niko ndotoni lakini huo ndio ukweli, 2025 Chama kikuu Cha upinzani Chadema kina nafasi nzuri zaidi ya kushinda uchaguzi, kuliko chaguzi zote zilizopita,
Sababu kubwa...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema anapenda kuiona #Tanzania yenye watanzania wanaojielewa katika kuilinda na kuitetea nchi
Sio Watanzania wanaoambiwa waingie barabarani na kuharibu mali za watu...
Baada ya vyama vingi 1995 mpaka 2005 Mkapa alipondwa sana,ooh katili, fisadi n.k akatoka. Watu wakasema bora Mwinyi tu mzee wa ruksa.
2005-2015 Kikwete kasi mpya nguvu mpya ari mpya, rais...
Siku za karibuni watanzania wamekuwa wakishangazwa na yanayoendelea, ni kama walikuwa kwenye usingizi mzito wasijue ni nini kinachoendelea lakini kadiri usingizi unavyoisha ndivyo wanabaki...
Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Flavian Kasala amewataka Watanzania kusimamia ukweli na haki katika kumuenzi Rais wa awamu ya tano, hayati John Magufuli.
Askofu Kasala...
Polisi waua majambazi 6 -MOROGORO
Eline Shaidi, Morogoro
Daily News; Sunday,July 20, 2008 @00:01
Polisi wamewaua watu sita wanaotuhumiwa kuwa majambazi waliovunja na kuingia kwenye chumba...
Tanzania ni moja ya soko linalokuwa zaidi barani Afrika kwenye nyanja ya dijitali, takwimu ya mwaka 2020 ikionyesha watumiaji wa internet wamefika milioni 28.5 kutoka milioni 25.8 mwaka 2019 huku...
Tangu jana nimekuwa nikifuatilia mitandaoni hasa humu JF katika uchunguzi wangu mdogo sana nimegundua vijana wengi sana ambao ni "Pro-CCM wamekuwa wakianzisha nyuzi za kuponda, kukashifu na hata...
WAZIRI MKUU-MAJALIWA KASIM MAJALIWA.
KATIKA kipindi cha mwaka mmoja kilichoanzia Novemba mwaka jana mpaka Oktoba mwaka huu ambacho kimeongozwa na Serikali ya Awamu ya Tano chini Rais John...
Kuelekea uchumi wa viwanda nchini, serikali imefanikiwa kufufua na kuanzisha viwanda ambapo kwa sasa vinavyofanya kazi vipo zaidi ya 52,000. Sekta hiyo pia imetajwa kuwa inatarajia kukuza uchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.