Kuna vikundi vitatu vikubwa nchi za Ulaya na Marekani, ambavyo vimekuwa vikibweka sana kuzuia miradi mikubwa ya uzalishaji nishati mbadala kwa Ulaya na Marekani ambavyo vimesababisha uzalishaji wa...
NJAA INAWEZA KUTUFUNDISHA KULIKO WALIMU.
Na Elius Ndabila
0768239284
Kumekuwa na mjadala mkubwa juu ya pembejeo za kilimo kupanda bei mara dufu. Bahati mbaya toka mijadala hii imeanza hakujawa...
MWAKA MMOJA BILA JPM;FALSAFA YA UTIMILIFU WA NYAKATI.
Leo 23:15pm 13/03/2022
Hayati Rais wa Tanzania John Magufuli alitoa ujumbe wa shukrani kwa viongozi wa dini na watanzania wote kwa kuitika...
Aliye na ushaidi juu ya wizi wa Jakaya Mrisho Kikwete auweke hapa. Jk alikuwa mwasiasa mbobezi, alijua nchi inahitaji nini iendelee, aliujua uchumi vizuri.
Hana Mali au miradi binafsi, aliyoiacha...
Kupitia mahojiano maalumu na DW Rais Samia amesema kwamba Serikali imefuta kesi zote za Tundu lissu zilizokuwa mahakamani hivyo kama tatizo ni kesi arudi Tanzania.
Pia Rais Samia amesema yeye na...
HABARINI NDUGU...
Natumaini niwazima wa Afya.
Nchi yetu imeshuhudia miparangano mingi Sana vita ya maneno chuki na mikwaruzano mbalimbali hasa ndani ya chama tawala (CCM) katika kipindi hiki...
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache...
Wanasiasa wa nchi hii wengi wanaonesha hawana MENTAL STRENGTH na MATURITY.
Alianza na yule wa TANESCO, badala ya kutuletea solution ya matatizo ya mgao wa umeme , alisikika akisema matatizo ya...
Mosi, je twende na Chadema katika kudai Katiba mpya ya JMT?
Au tuwaunge mkono ACT wazalendo wanaoamini Tume huru ya Uchaguzi ndio muhimu kwa sasa kama ilivyo nchini Zanzibar.
Ama twende na CCM...
Tusizuiliwe kuhoji, pesa za kuendelea miradi mathalani bwawa la Nyerere, ujenzi wa reli na miradi mingine Raisi Mwendazake aliwai kusema sio mara moja au mara mbili, kuwa pesa zipooooooo!nasema...
Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao.
Wote wawili waliuawa bila hata huruma.
Kiongozi...
Mzungu aligeuza Ngorongoro kuwa Hifadhi mwaka 1959 kabla ya hapo mbona Wamasai hawakuiharibu? Kama Wamasai ni waharibifu wa mazingira kwa nini Mzungu aliikuta ikiwa intact?
Kwa wasiojua Mkoloni...
Nyerere kafariki miaka zaidi ya 20 iliyopita ila kutokana na Nyerere day kuwa ni siku ya mapumziko Leo hii mwanafunzi wa darasa la tatu anajua Nyerere alikuwa nani, hii ni kutokana na Nyerere day...
Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.
Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa.
Magufuli ametufunza na...
Mama ni muungwana na anafwata ushauri wa kikwete na jk alikuwa ni mtu muungwana.
MFANO WA MWANDOSYA
Wakati wa utawala wa jk MWANDOSYA alikuwa tishio sana na infact MWANDOSYA na JK walishazinguana...
Habari wanajamvii! Salam
Je, mmewaona wasakatonge na mnasadiki mu'miongoni mwao
Basi anayewatazama kwa juu ama kwa chini ama katikati akiwa amejichanganya miongoni mwao wasakatonge anayo maoni na...
Nikiwa kama mwanasiasa huru na raia mwenye ushabiki binafsi kwa mwanasiasa mkongwe Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani, CHADEMA nina maoni yangu binafsi juu ya mwelekeo...
Waziri wa Habari, Nape Nnauye, leo Jumatatu, amesema muswada wa Sheria ya Ulinzi Binafsi, uko katika hatua za mwisho “hii ni sheria muhimu sababu vinginevyo uwekezaji utakuwa mgumu. Sio kwa sababu...
Hivi karibuni nilimtahadharisha Humphrey Polepole kutokana na mwenendo wake usiofaa wa kumpinga Rais Samia pamoja na Serikali yake kutokana na kinyongo chake cha "kupigwa chini " kwenye nafasi ya...
Najaribu kufuatilia hizi teuzi za viongozi naona watu wanatolewa na kurudishwa hadi najiuliza kwani nchi yetu haina kabisa sura mpya?
Yani inteligensia ya taifa imezunguka nchi nzima kutafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.