Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana tarehe 16/03/2022

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,651
218,131
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho , Mh John Mnyika , ambapo pamoja na Mambo mengine ndani ya kikao cha Kamati Kuu hiyo ajenda mbalimbali zitajadiliwa.

Kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Mh Freeman Mbowe.

FB_IMG_1647090366013.jpg
 
Usiwe mkutano wa kumvua Lisu uanachama kwa sababu ya kuonesha kutomuunga mkono mwenyekiti. Mtakuwa mmefanya kosa la mwaka.
 
Naamini hapo ndipo majibu ya maswali mengi yatakapopatikana, maazimio ya hicho kikao yatakuja kuonesha ni njia ipi Chadema wameamua kwenda nayo na nini kitafanyika endapo hoja zao hazitajibiwa kwa vitendo.
 
Na hatimae uhuru wa Covid19 unaenda kupatikana,chonde chonde sisi wafuasi wachadema tuwe tunachunga midomo yetu
 
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho , Mh John Mnyika , ambapo pamoja na Mambo mengine ndani ya kikao cha Kamati Kuu hiyo ajenda mbalimbali zitajadiliwa...
Issue ya wale Covid-19 ni moja ya agenda?
 
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho , Mh John Mnyika , ambapo pamoja na Mambo mengine ndani ya kikao cha Kamati Kuu hiyo ajenda mbalimbali zitajadiliwa...
Ukiniuliza mimi, hata nikiwa natoka usingizini, hakuna ajenda kuu isiyozungumzia KATIBA, TUME HURU.
Hivi vi-COVID-19, ni rasharasha tu.
 
Siku tutakapoachana na hizi siasa za porojo ndio siku tutakapopata maendeleo kama Taifa.
 
Back
Top Bottom