Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ndugu Ridhiwani Kikwete ameshiriki Uzinduzi wa Wiki ya Maji huko Simanjiro Mkoani Manyara iliyozinduliwa na Makamu wa Rais wa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkiitegemea serikali kwenye kila jambo matokeo yake ndio haya mtaililia na lisipatikane jibu Zaidi mtaletewa siasa mpaka kwenye uhai wenu hao mnao wategemea hawana uchungu na nyinyi Kwa sababu...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Lindi Zainabu Telack akiwa kwenye kikao cha utekelezaji wa mpango wa kuboresha usimamizi wa huduma za ugani kwa wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Pwani...
3 Reactions
68 Replies
6K Views
Kwenye video hii, Tundu Lissu anazungumzia suala la katiba mpya na kudai kwamba Rais [kwa sasa ni Samia Suluhu Hassan] ndiye mwenye uwezo wa kuamua tupate katiba mpya au la! Anzia dakika ya 6:00...
16 Reactions
130 Replies
6K Views
Tuliwaambia humu, jikiteni kumalizia ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere, mkaanza kuleta siasa uchwara!!! Oooh tunataka gesi! Vizungu uchwara viiingiiii, oohhh gesi is cheap sijui nini nini...
4 Reactions
4 Replies
450 Views
Mgogoro wa kuwani eneo uliopo kati ya Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabishara maarufu Ghalib Said Muhamed (GSM) unaendelea na hadi sasa kila upande unavuta upande...
5 Reactions
69 Replies
9K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watanzania washughulike na masuala ya unyanyasaji kuanzia ngazi za familia ili linapokwenda kitaifa iwe rahisi kulikabili. Ametaja changamoto kubwa iliyopo...
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Salaam, Mauritius ndo nchi ya kidemokrasia na mfano wa kuigwa katika bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hadi kufikia 2020, demokrasia ya Mauritania ilipewa pointi 8.14, ikiorodheshwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo chama kikuu cha upinzani CHADEMA kitakuwa na Kikao cha Kamati kuu ambacho kimeitishwa kwa mujibu wa Katiba. Tunategemea kusikia mambo mengi mazuri kutoka ndani ya kikao hicho na tunaamini...
9 Reactions
42 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa...
7 Reactions
116 Replies
13K Views
Waziri wa Habari, Harrison Mwakyembe amesema suala la ving'amuzi lisingefika hapa lilipo kama watu wa sekta binafsi ya habari wangekuwa wanakiri makosa ili kurekebishana Azam, DSTV na Zuku...
18 Reactions
198 Replies
33K Views
Nyama na mchicha zote ni mboga, tofauti yao ni utamu na gharama! Nyama iko juu ya mchicha! Cha kushangaza vyote vikioza nyama inanuka na kutia kinyaa sana kuliko mchicha. Maana yake ni kwamba...
2 Reactions
11 Replies
783 Views
Kupitia Twitter pia, Abdul Nondo Kaandika; Police wetu @tanpol wamekuwa wanyama.Jana Kigoma Uwanja wa mpira wameua Raia anaitwa Bw.Juma Ramadhani Bichuka kwa kumpiga Risasi mbili ya paja na tumbo...
8 Reactions
101 Replies
9K Views
KAMATI YA BUNGE YAKOSHWA NA KASI YA UJENZI NA UBORA MAABARA CHANGAMANI TAEC Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu kuongoza kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha hayati Magufuli itakayofanyika kwenye uwanja vya Magufuli uliopo Chato, March 17 mwaka huu. Naona ndugu kmbwembwe sasa atashiriki...
13 Reactions
76 Replies
7K Views
Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome...
22 Reactions
167 Replies
9K Views
Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi...
33 Reactions
133 Replies
10K Views
Akihutubia maelfu ya wananchi wa Misenyi, Rais Magufuli amesema yeye maisha yake ataishi Karagwe na ndivyo alivyopendekeza na sio Chato Akiwa na tabasamu na furaha kubwa kuhusu Karagwe sina shaka...
22 Reactions
168 Replies
30K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa NHC Nehemiah Mchechu na ameiagiza Bodi ya Shirika hilo kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Huduma...
15 Reactions
668 Replies
132K Views
Habari! Kwakuwa jf ni huru sidhani kama uzi huu uliojaa mawazo huru usio na kejeli wala matusi sitarajii kwamba utafutwa. Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kwa Watanzania, pasi kupapasa nitajibu...
43 Reactions
148 Replies
13K Views
Back
Top Bottom