Hapa Kazi Tu

Hapa Kazi Tu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,556
Kiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele

1. SGR

2. Bwawa la Nyerere

3. Treni ya Moshi

4. Meli

5. Ndege

6. Barabara

7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi

8. Uwanja wa ndege Chato

9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa

10. Soko la Ndugai

11. Stendi ya Magufuli mbezi

12. Nk....nk

RIP JPM
 
Kiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele

1. SGR

2. Bwawa la Nyerere

3. Treni ya Moshi

4. Meli

5. Ndege

6. Barabara

7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi

8. Uwanja wa ndege Chato

9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa

10. Soko la Ndugai

11. Stendi ya Magufuli mbezi

12. Nk....nk

RIP JPM
Naunga mkono hoja
P
 
Kiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele

1. SGR

2. Bwawa la Nyerere

3. Treni ya Moshi

4. Meli

5. Ndege

6. Barabara

7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi

8. Uwanja wa ndege Chato

9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa

10. Soko la Ndugai

11. Stendi ya Magufuli mbezi

12. Nk....nk

RIP JPM
Ongeza na Tundu lissu
Akwilina
Mo
Azory
Ben saanane
UGAIDI KESI ya Mbowe
 
Hivi tukiondoa shule zilizojengwa kwa msaada wa fedha za kovidi..awamu ya 6 ina lipi la kujidai?mbele za watanzania.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele

1. SGR

2. Bwawa la Nyerere

3. Treni ya Moshi

4. Meli

5. Ndege

6. Barabara

7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi

8. Uwanja wa ndege Chato

9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa

10. Soko la Ndugai

11. Stendi ya Magufuli mbezi

12. Nk....nk

RIP JPM
13.Control number. 14.Soko la Njombe.
 
13. Dar terminal 3
14. Tanzanite bridge
15. JPM bridge
Nk, nk, nk
RIP JPM, shujaa wetu tutakukumbuka daima 💪💪
Mwendokasi Kariakoo to Mbagala

Mfugale Flyover

Kijazi Interchange

Hospitali ya Uhuru - Dodoma

Hospitali ya Kumbukumbu ya Mwl. JKN - Mara

Hospitali ya Kanda ya Kusini - Mtwara

Machinjio ya Vingunguti - Dar

Kota za Magereza Ukonga - Dar

Soko la Magomeni - Dar

Magorofa ya Magomeni Kota - Dar

Soko la Chief Kingalu - Morogolo
 
Hivi tukiondoa shule zilizojengwa kwa msaada wa fedha za kovidi..awamu ya 6 ina lipi la kujidai?mbele za watanzania.

#MaendeleoHayanaChama
Kuwatengua wachapa kazi Kalemani, Lukuvi, Kabudi, Chamurimo, etc.

Na kulipa fadhila kwa familia flani flani za pwani na visiwani
 
13.Control number. 14.Soko la Njombe.
Kufufua MSCL

Kuanzisha TASAC & LATRA

Kufufua TTCL

Kufuatilia hisa za serikali Airtel

Usimikaji wa rada

Kufufua ATCL

Kubadilisha mikataba ya madini

Upanuzi wa barabara ya Morocco Mwenge & Kimara Kibaha

Stendi ya Nyegezi & Nyamuhongolo - Mwanza

Uanzishaji wa mbuga ya Chato Burigi

Hakukuwa na ujangili

Ujenzi wa gati na panuzi wa bandari katika bandari za Dar, Tanga, Mtwara, Mafia, na nk

Ujenzi wa meli

Daraja jipya la mto wami
 
Kiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele

1. SGR

2. Bwawa la Nyerere

3. Treni ya Moshi

4. Meli

5. Ndege

6. Barabara

7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi

8. Uwanja wa ndege Chato

9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa

10. Soko la Ndugai

11. Stendi ya Magufuli mbezi

12. Nk....nk

RIP JPM
Hapo no 3 hiyo treni ya Moshi aliifanyaje maana hata treni yenyewe jina lake kwa kiswahili sanifu ni Gari Moshi. Treni ya kwanza nchini ilijengwa na Mjerumani toka Tanga kwenda Moshi
 
Back
Top Bottom