Zitto Kabwe: ACT-Wazalendo itaunga mkono juhudi za Serikali

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho, kuendelea kufuatilia kwa kina iliyotekelezwa ili kukamilika kwa wakati
Hii ni mara ya sita anaongea kuhusu kuiunga mkono serikali hii nyizi na onevu kwa wananchi wake ,nikwamba anatafuta huruma ya mama apewe teuzi au?? Maana haeleweki.
 
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho, kuendelea kufuatilia kwa kina iliyotekelezwa ili kukamilika kwa wakati
Vipi kuhusu katiba mpya, vipi kuhusu uhuru wamaoni na vipi kuhusu kuheshimu Sheria na katiba yetu, ni yapi maoni japo mepesi ya Zito Zuber
 
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho, kuendelea kufuatilia kwa kina iliyotekelezwa ili kukamilika kwa wakati

Hahahaha Zitto bhana yani mpaka aseme kila siku yeye hakuna baya kwenye serikali maana inaongozwa na muislam mwenzetu
 
Sasa unategemea nini kwa mtu aliye_post ile katuni ya mama kakanyaga zulia wakati iliopovumishwa JPM huenda kafa mara ya kwanza kabisa kabla hajaibuka? Mtu anayeitwa mwanangu na huyo bibi anayeongoza serikali, atampinga kweli?
 
Mhe. Zito Kabwe ni Mzalendo wa kweli mwenye uchungu na kuipenda nchi yake kwa dhati ya moyo wake.

ACT ni chama ambacho nakikubali, chama cha siasa kinacho nadi sera mbadala kwa hoja sio matusi wala dhihaka kama walivyo Chadema na Nccr.

Siasa sio ugomvi wala uadui bali siasa ni kushawishi kwa hoja madhubuti.
vyama vingine vya upinzani viige mfano mzuri kutoka ACT
 
Hivyo na sisi tuendelee kuunga mkono juhudi za serikali?

Licha ya tozo juu, bizaa kupanda bei, ukosefu wa ajira na mengine mengi?

Kama ndio ngoja tuendelee kuunga mkono juhudi za serikali
 
sasa bila kulipa tozo ulitegemea msaada kutoka kwa nani?
Lipa tozo kwa maendeleo yako mwenyewe na kizazi chako, punguza deko!!
 
Asante vipi mikopo mbona inaongezeka je, tozo zinafanya kazi gani?

Anyway tuwe wazalendo kuijenga nchi yetu
 
Vipi kuhusu katiba mpya, vipi kihusu uhuru wamaoni na vipi kuhusu kiheshimu Sheria na katiba yetu, ni yapi maoni japo mepesi ya Zito Zuber
Tatizo ni nyie wenzetu mnataka agenda zenu ndio ziwe agenda za kitaifa, sasa yeye amesema ataunga mkono serikali wew unamuuliza mambo ya katiba, yanahusiana vipi hapo?
 
Back
Top Bottom