Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati wa mahojiano na DW Waziri ndumbaro amekaririwa akisema Wamasai washio Ngorongoro siyo wenyeji halisi wa ngorongoro. Imeibua mjadala mingi baada ya wananchi wasomi kutoka jamii ya kimasai...
6 Reactions
66 Replies
6K Views
Leo Mhe. Rais amesema ana mpango wa kugawa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ili kuanzisha wizara mahsusi kwa ajili ya mambo ya jinsia(ilikiwepo kabla ya 2015)...
7 Reactions
46 Replies
4K Views
Alifukuzwa nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar akiwa Bunge la Katiba Mjini Dodoma kutokana msimamo wake juu ya aina ya Katiba mpya itakayofaa Wazanzibar. Alilazimishwa kusema asiyoyaamini...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Taarifa ya Kamati ya Jaffo inakinzana na taarifa ya awali ya Mamlaka ya Bonde la Mali la Ziwa Victoria. Mamlaka ya Bonde walidai utafiti wa awali wa kimaabara unaonyesha uwepo wa mafuta kwenye...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Serikali bila kujua imesaidia sana Chadema kukomaa kama chama 1. Magufuli kuzuia mikutano sasa wamekuja na kampeni za mitandao kama space na whatapp 2. Chadema digital imesajili watu 7M 3...
2 Reactions
4 Replies
587 Views
"Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili...
8 Reactions
85 Replies
7K Views
Hatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea. Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke...
13 Reactions
48 Replies
4K Views
NIWAKUMBUSHE KUFUFUKA KWA CHADEMA MWAKA 2008. Leo 11:02am 19/03/2022 Mwaka 2008,Katibu Mkuu akiwa Daktari Wilbroad Slaa,Chadema ilifufuka baada ya kutokea kashfa ya "Richmond" na kuendesha...
2 Reactions
3 Replies
737 Views
Miongoni mwa mambo ambayo raia wengi huogopa kuyazungumzia kiundani ni mfumo wa saisa yetu. Wengi wao hudhani siasa ni kwa ajili ya watu fulani walio maalumu na inawahusu hao tu. Ndio maana...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Watanzania sasa wamemuelewa Mama na kukubali kulipa Tozo na kodi kwa moyo mmoja. Katika mitandao malalamiko hayo yamepungua, na leo kulikuwa na Thread moja tu ya kulalamikia kuchelewa kwa muamala...
8 Reactions
77 Replies
6K Views
Mama Samia kwa nini mnafanya hivi, mbona hii sio fair? Ni wapi tumekukosea? Kabla nilitegemea ulipoingia ungepunguza ukali wa maisha Ila ukali ndio unazidi. Mama Samia mbona hakuna aliyekataa...
11 Reactions
43 Replies
5K Views
Namnukuu Rais Samia: "Tozo za miamala tuliweka kwa nia njema, zitaendelea ila tutarekebisha baada ya kilio chenu" NOTE: Kuna watu walikuwa wanamtukana Mwigulu kuhusu hizi tozo na kusema kuna...
17 Reactions
41 Replies
5K Views
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia kutoka kwenye Chama Chake , unachotakiwa kufanya ni kuunga bando kwenye Device yako in order to Stay in touch . Juhudi za kupata kituo cha TV kitakachorusha...
11 Reactions
62 Replies
5K Views
NB :Hii itabaki kumbukumbu ya vizazi na vizazi. Baada ya PM Majaliwa kuingilia na kuunda kamati ya jinsi gani kuwaondoa jamii ya Kimaasai katika eneo la Ngorongoro, watanzania na dunia...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya...
11 Reactions
41 Replies
5K Views
Kwa sasa Kuna mjadala wa kipi kianze Kati ya katiba ya wananchi na Tume huru ya Uchaguzi. Mvutano mkubwa unaonekana katika vyama viwili vya ACT Wazalendo na Chadema. ACT Wazalendo wanataka ianze...
7 Reactions
114 Replies
7K Views
Habari Serikali imeanza rasmi ujenzi wa hospitali KUU ya jeshi la wananchi wa Tanzania ( JWTZ) inayoendelea kujengwa katika eneo la msalato jijini dodoma. Izingatiwe pia msalato International...
6 Reactions
45 Replies
8K Views
Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa...
8 Reactions
90 Replies
5K Views
=== Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Freeman Mbowe akisaini kitabu katika ofisi yake aliyokuwa akiitumia kuwahudumia wananchi wa Jimbo la Hai akiwa mbunge wa jimbo hilo. Chanzo...
23 Reactions
218 Replies
15K Views
Kubali kataa, kesi Mbowe ilimuweka pabaya Sana Samia. Sema CCM walikuwa wanajikosha kana kwamba hakuna shida. Samia alipokuwa anapost kitu Tweeter, kwenye comments 200, comments 150, zilikuwa...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…