Mwinjilisti Joh 94
Member
- Nov 28, 2021
- 21
- 31
Yanayoendelea ndani ya chama changu pendwa cha CCM yanahuzunisha na naweza kutabiri keamba huko mbeleni inaenda kuwanufaisha wananchi kwa nini nasema hivi;
Kwanza hoja ya Tozo inaenda kuwanufaisha wapinzani 2025 kwa sababu kwanza wananchi wanaumizwa nayo halafu pili kazi iliyokusudiwa ya kuendeleza miradi na kujenga barabara siyo kweli kwasababu bado tunakopa kwa ajili ya miradi n barabara.
Pili ni kupanda kwa bei ya bidhaa kila kukicha ambayo inasababisha kupanda kwa gharama za maisha nayo ni ajenda nzuri 2025.
Tatu ni kudorora kwa umoja wa kitaifa ,hii nyo ni joja maana mama alipoingi ikulu mra ya kwanza aliahidi kusimamia umoja wa kitaifa ambapo aliahidi demokrasia na hki lakini yanayotendeka ni kinyume chake maana wengine wanabambikiwa kesi kisa tu kudai katiba na wengine wanapotoa hoj ndani ya cham hata kma ni nzuri wanaonekana ni maadui zake.
Nne ni kwamba amezungukwa na wanafiki wasiompenda, hii nayo inaenda kuiangusha chama changu 2025 maana wengi wanaomzunguka wapo bize kumpamba kila kukicha hata kwa mambo siyo mfno badala wamsaidie kutatua kero za wananchi wao wanamdanganya eti anafaa tena 2025 kwa sababu zipi? Ni selfishness tu wanatetea.
Tano ni Usaliti, hii nayo inaenda kuitesa chama changu 2025,hii ni kwa sababu viongozi wengi waliotokana na chama changu ni wasaliti mfano, ni vigumu sana kujua alivyo kiongozi na anachoamini mfano viongozi waliokuwa wanaongoza wakati wa JPM imwamebdilika kitabia hata imani yao kwa wananchi hvyo hawaaminiki tena kwa wananchi.
Naomba niishie hapa kwa leo.