Mgawanyo wa Afrika Mashariki ya awali ulikuwa Tanzania Siasa, Kenya Viwanda na Uganda Elimu

Hakuna kilichobadilika na kama kuna mabadiliko basi ni kidogo sana.Ebu fikiri kidogo Msukuma ni mbunge tegemeo,Kibajaji bila yeye mambo hayaendi.
Nimekuelewa bwashee.

Yaani Sugu ni tegemeo la Ufipa, nakubaliana nawe kabisa!

Au Babu Tale.
 
Hapo nchi ni Kenya tuu, kwa sababu ya mfumo thabiti wa utawala wenye kufuata sheria na haki za raia.

Uganda ipo taabani kwa sababu ya vita kadhaa za miaka ya nyuma, sambamba na udikteta.

Tanzania ipo na inaelekea pabaya kwa sababu tulianza kupata viongozi wa hovyo, wazandiki, wabinafsi na wasio na maono tangu Uhuru mpaka leo.

Rwanda angalau wanajua nini wanafanya.

Burundi & S. Sudani ni bora ziuzwe kwa USA ziwe military bases.
 
Inauma sana mkuu!..

Imagine Gwajima anakuwa mshenga wa kumleta lowasa chadema alafu mambo yanakuwa kichwa chini miguu juu!
Mwenyekiti wa chama kimoja cha siasa alitamka mara tatu, “nileteeni Gwajima “. Siasa Tanzania.
 
Mwenyekiti wa chama kimoja cha siasa alitamka mara tatu, “nileteeni Gwajima “. Siasa Tanzania.
Saana,

Mwingine alishangaza sana. Eti amemuweka Amsterdam awe anampigania na awe mwanamikakati wa kumpeleka ikulu!
Vituko havijawahi kuisha hapa tz.
 
Hapo nchi ni Kenya tuu, kwa sababu ya mfumo thabiti wa utawala wenye kufuata sheria na haki za raia.
Uganda ipo taabani kwa sababu ya vita kadhaa za miaka ya nyuma, sambamba na udikteta.
Tanzania ipo na inaelekea pabaya kwa sababu tulianza kupata viongozi wa hovyo, wazandiki, wabinafsi na wasio na maono tangu Uhuru mpaka leo.
Rwanda angalau wanajua nini wanafanya.
Burundi & S. Sudani ni bora ziuzwe kwa USA ziwe military bases.
Dah! Nchi ngumu hii
 
Ni ile Jumuiya ya Afrika mashariki iliyokufa mwaka 1977.

Tanzania tuliaminiwa katika mambo ya siasa na porojo baada ya kupata Uhuru mezani bila ya mapambano.

Kenya iliaminiwa katika eneo la uzalishaji na viwanda

Uganda iliaminiwa katika eneo la Elimu

Je, tumebadilika?

Jumaa kareem!
Ni kweli kabisa. Walijua wakishatupa makao makuu ya Jumwia tutafurahi sana na kuridhika sana. Viwanda viende kwao Kenya na elimu Uganda. Hili jambo limeacha legacy mbaya sana mpaka leo. Hata jumuia iliporudi mara ya pili, wakajua sisi tutakomaa na makao makuu na wakatupa ostensibly kwa kuwa tayari tulikuwa na advantage ya miundo mbinu ya kiofisi. Ila, tufunguke watanzania, wenzetu wana advantages kwenye manufacturing, skills, exposure, na negotiation skills- world class. Sisi tuna advantages za ardhi, natural resources, good climate, na a big hinterland. Lazima tujue tunapambana na kitu gani na tusiende kichwa kichwa tu.
 
Ni ile Jumuiya ya Afrika mashariki iliyokufa mwaka 1977.

Tanzania tuliaminiwa katika mambo ya siasa na porojo baada ya kupata Uhuru mezani bila ya mapambano.

Kenya iliaminiwa katika eneo la uzalishaji na viwanda

Uganda iliaminiwa katika eneo la Elimu

Je, tumebadilika?

Jumaa kareem!
Hovyo sana.. Uganda elimu iko wapi njoo ujionee...
 
Back
Top Bottom