Rais Samia: Kauli yangu haina athari kwenye maamuzi ya mahakama

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,016
9,885
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyowahi kuitoa BBC Swahili kuhusu Freeman Mbowe haina athari kwa mahakama na mwendesha mashtaka.

Rais alisema Mbowe alifanya hesabu za kisiasa kwani alijua ana kesi ndiyo alianzisha maandamano ya Katiba Mpya

Akihojiwa na BBC Swahili amesema kauli aliyowahi kuitoa haikuwapa wakati mgumu mahakama na muendesha mashtaka kwa kuwa wao ni chombo huru na chombo pekee

Amesema awamu yake inafuata Utawala wa Sheria, na kesi hiyo haijampa dosari katika utawala wake. Hakuna aliyemuomba radhi mwenzake bali kulikuwa na makubaliano ya kuendesha siasa
 
Kama kauli yake haina athari vipi matendo yake (teuzi) za majaji katikati ya kesi?

Samia sasa ameshakuwa mwanasiasa.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyowahi kuitoa BBC Swahili kuhusu Freeman Mbowe haina athari kwa mahakama na mwendesha mashtaka. Rais alisema Mbowe alifanya hesabu za kisiasa kwani alijua ana kesi ndiyo alianzisha maandamano ya Katiba Mpya

Akihojiwa na BBC Swahili amesema kauli aliyowahi kuitoa haikuwapa wakati mgumu mahakama na muendesha mashtaka kwa kuwa wao ni chombo huru na chombo pekee

Amesema awamu yake inafuata Utawala wa Sheria, na kesi hiyo haijampa dosari katika utawala wake. Hakuna aliyemuomba radhi mwenzake bali kulikuwa na makubaliano ya kuendesha siasa
Kauli au kitendo chochote anachokifanya rais wa nchi hasa Tanzania kuhusu suala lolote linaloendelea katika chombo chochote cha maamuzi ikiwa pamoja na mahakama ina 'ATHARI' kubwa sana na tangu aingie madarakani kauli zake na vitendo vimepindua mambo mengi na kufanya 'compromise' ya mwenendo wa mashitaka hadi hukumu.

1. Mfanyabiashara aliuwawa huko Mtwara wakakamatwa watu na jeshi la polisi; raisi alitoka hadharani bila kutaja ni nani akisema polisi mnaua kauli ikapindua hata timu iliyoundwa na polisi kuchunguza tuhuma dhidi ya polisi kuua, RPC hadi polisi walioshiriki operesheni husika wakawekwa pembeni waziri mkuu akaunda kamati ya kuchunguza mauaji hayo

2. Masheikh wa uamsho waliowekwa korokoroni kwenye gereza la Keko kutoka bara ba Zanzibar kwa tuhuma ya ugaidi tangu 2014 kauli yake ilitosha kuwachomoa masheikh wa Zanzibar bula kesi kusikilizwa

3. Spika Job Yustino Ndugai alijitokeza hadharani kutoa maoni yake kama kama mbunge wa Kongwa na mkuu wa mhimili wa bunge akikosoa mwenendo wa kukopa nje ya nchi akidai kuna siku nchi mnaweza kujikuta nchi imeuzwa kutokana na madeni; rais kajitokeza hadharani tena kwa hasira akisema "..huwezi kuamini mtu mliyemwamini kuongoza mhimili ajitokeze kusema yale aliyoyasema.......kukopa tutaendelea kukopa..." mwisho wa siku kwa kuwa yeye ndiye mwenyekiti wa chama kilichowadhamini kupata madaraka hayo likazuka shinikizo kutoka kwa makada wa chama chao lakini wengine wale waliowahi kuumizwa kutokana na utekelezaji wa sheria na kanuni walizojiwekea bungeni....hamadi umma ukatangaziwa mwenye mhimili wa kutunga sheria ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake huo....ni kwa sababu ya kauli ya rais

4. Baadhi ya vijana machachari wanaokosoa na kuonesha dira za kiuongozi iwanaminywa kusikika na kufikia hatua ya kunyamazishwa kijanja ambapo mbunge wa kuteuliwa aliyekuwa akikosoa serikali yake anatenguliwa ubunge na kupelekwa nje ya nchi kuwa balozi!!!!

Ni bora mtu mkali anayesimamia sheria, kanuni na taratibu akaitwa dikteta kuliko mtu anayedai kuongoza kidemokrasia lakini kwa nguvuanazimisha wengine kutoa maoni yake, kukosoa huyo anapeleka kwenye maangamizi
 
Mahakama wanajua hayo ?

Kwahio his Views then and Now hazijabadilika au zimebadilika ?

Na waliokwenda kumuomba / kumshauri Serikali iachane na hii Kesi hawakujua hayo ?,

Na kama anaweza kuamua chochote ataamua vipi tofauti na anachofikiri ?

, Au Fikra zake ni tofauti na matendo yake ?
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyowahi kuitoa BBC Swahili kuhusu Freeman Mbowe haina athari kwa mahakama na mwendesha mashtaka. Rais alisema Mbowe alifanya hesabu za kisiasa kwani alijua ana kesi ndiyo alianzisha maandamano ya Katiba Mpya

Akihojiwa na BBC Swahili amesema kauli aliyowahi kuitoa haikuwapa wakati mgumu mahakama na muendesha mashtaka kwa kuwa wao ni chombo huru na chombo pekee

Amesema awamu yake inafuata Utawala wa Sheria, na kesi hiyo haijampa dosari katika utawala wake. Hakuna aliyemuomba radhi mwenzake bali kulikuwa na makubaliano ya kuendesha siasa
Mama Samia, mimi nakuunga mkono to some extent, lkn kwa hili umekosea au chawa wamekupotosha!

Ibrahim Juma unaweza kumfukuza U CJ at your own leisure, kweli huyo ukimpa amri kuwa mfunge Mbowe atakaidi?
 
Kwa katiba yetu hii 'mbovu' ni uongo ulio uchi kwa mtu mzima na mwenye mamlaka kusema eti KAULI ZAKO HAZIATHIRI jambo katika kuendesha serikali.

Mama unazidi kujidiscredit katika utawala its better ubadilishe washauri wako.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyowahi kuitoa BBC Swahili kuhusu Freeman Mbowe haina athari kwa mahakama na mwendesha mashtaka. Rais alisema Mbowe alifanya hesabu za kisiasa kwani alijua ana kesi ndiyo alianzisha maandamano ya Katiba Mpya

Akihojiwa na BBC Swahili amesema kauli aliyowahi kuitoa haikuwapa wakati mgumu mahakama na muendesha mashtaka kwa kuwa wao ni chombo huru na chombo pekee

Amesema awamu yake inafuata Utawala wa Sheria, na kesi hiyo haijampa dosari katika utawala wake. Hakuna aliyemuomba radhi mwenzake bali kulikuwa na makubaliano ya kuendesha siasa
Ukimsikiliza kwa makini huyu bibi hana umakini, mtu wa mipasho na mswahili mwenye kauli zisizoaminika
 
Kauli au kitendo chochote anachokifanya rais wa nchi hasa Tanzania kuhusu suala lolote linaloendelea katika chombo chochote cha maamuzi ikiwa pamoja na mahakama ina 'ATHARI' kubwa sana na tangu aingie madarakani kauli zake na vitendo vimepindua mambo mengi na kufanya 'compromise' ya mwenendo wa mashitaka hadi hukumu.

1. Mfanyabiashara aliuwawa huko Mtwara wakakamatwa watu na jeshi la polisi; raisi alitoka hadharani bila kutaja ni nani akisema polisi mnaua kauli ikapindua hata timu iliyoundwa na polisi kuchunguza tuhuma dhidi ya polisi kuua, RPC hadi polisi walioshiriki operesheni husika wakawekwa pembeni waziri mkuu akaunda kamati ya kuchunguza mauaji hayo
2. Masheikh wa uamsho waliowekwa korokoroni kwenye gereza la Keko kutoka bara ba Zanzibar kwa tuhuma ya ugaidi tangu 2014 kauli yake ilitosha kuwachomoa masheikh wa Zanzibar bula kesi kusikilizwa
3. Spika Job Yustino Ndugai alijitokeza hadharani kutoa maoni yake kama kama mbunge wa Kongwa na mkuu wa mhimili wa bunge akikosoa mwenendo wa kukopa nje ya nchi akidai kuna siku nchi mnaweza kujikuta nchi imeuzwa kutokana na madeni; rais kajitokeza hadharani tena kwa hasira akisema "..huwezi kuamini mtu mliyemwamini kuongoza mhimili ajitokeze kusema yale aliyoyasema.......kukopa tutaendelea kukopa..." mwisho wa siku kwa kuwa yeye ndiye mwenyekiti wa chama kilichowadhamini kupata madaraka hayo likazuka shinikizo kutoka kwa makada wa chama chao lakini wengine wale waliowahi kuumizwa kutokana na utekelezaji wa sheria na kanuni walizojiwekea bungeni....hamadi umma ukatangaziwa mwenye mhimili wa kutunga sheria ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake huo....ni kwa sababu ya kauli ya rais
4. Baadhi ya vijana machachari wanaokosoa na kuonesha dira za kiuongozi iwanaminywa kusikika na kufikia hatua ya kunyamazishwa kijanja ambapo mbunge wa kuteuliwa aliyekuwa akikosoa serikali yake anatenguliwa ubunge na kupelekwa nje ya nchi kuwa balozi!!!!

Ni bora mtu mkali anayesimamia sheria, kanuni na taratibu akaitwa dikteta kuliko mtu anayedai kuongoza kidemokrasia lakini kwa nguvuanazimisha wengine kutoa maoni yake, kukosoa huyo anapeleka kwenye maangamizi
1. Rais hakusema kwamba jeshi lako limeaua alisema "JESHI LINATUHUMIWA KWA MAUAJI"
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyowahi kuitoa BBC Swahili kuhusu Freeman Mbowe haina athari kwa mahakama na mwendesha mashtaka. Rais alisema Mbowe alifanya hesabu za kisiasa kwani alijua ana kesi ndiyo alianzisha maandamano ya Katiba Mpya

Akihojiwa na BBC Swahili amesema kauli aliyowahi kuitoa haikuwapa wakati mgumu mahakama na muendesha mashtaka kwa kuwa wao ni chombo huru na chombo pekee

Amesema awamu yake inafuata Utawala wa Sheria, na kesi hiyo haijampa dosari katika utawala wake. Hakuna aliyemuomba radhi mwenzake bali kulikuwa na makubaliano ya kuendesha siasa
Rais hakosei!

Kama ambavyo hakujua athari ya kauli yake kwa shauri lililopo mahakamani vivyo hivyo hakujua athari ya kauli yake ya hiyo kauli kwa waendesha mashtaka na majaji.

It was one more feather in the cap of katiba mpya movement!
 
Mama Samia, mimi nakuunga mkono to some extent, lkn kwa hili umekosea au chawa wamekupotosha! Ibrahim Juma unaweza kumfukuza U CJ at your own leisure, kweli huyo ukimpa amri kuwa mfunge Mbowe atakaidi?
Siyo kila jambo kiongozi anastahili kushauriwa.

Kwa hili la kuzungumzia shauri kubwa la ugaidi lililopo mahakamani tena kwa kuthibitisha kuwa ushahidi wa kutosha upo rais alipaswa kujua bila kushuriwa hata kama kweli aliridhika kuwa ushahidi upo!

Vipi wale waliokwishahukumiawa; hapo pia alishauriwa?

Rais was simply not informed at all!
 
Mahakama wanajua hayo ?

Kwahio his Views then and Now hazijabadilika au zimebadilika ?

Na waliokwenda kumuomba / kumshauri Serikali iachane na hii Kesi hawakujua hayo ?, Na kama anaweza kuamua chochote ataamua vipi tofauti na anachofikiri ?, Au Fikra zake ni tofauti na matendo yake ?
Kauli ya rais hata kama ni ya maslhara vyombo husika vinavyotafsiri tabia, matendo na utashi wa kiongozi mkuu ndio hushughulika kutenda alivyosema, alivyotenda na alivyoonesha hisia.

Kama kauli ingekuwa haina athari basi ombi la katiba mpya na tume huru vingekuwa vimepatikana muda mrefu lakini kila alipoulizwa kuhusiana nalo alijibu kwa sasa bado kwanza ndio maana hakuna chochote kinachoshughulikiwa na vyombo husika..

Lakini akiamuka leo na kuamua iwe kwa njia ya hadharani, sirini au kimya kimya kwamba kitu fulani kifanyike au kisifanyika huwezi kuona kikitotokea au kushuindikana kuwepo-chukua hilo uelewe
 
Back
Top Bottom