Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,035
- 144,387
Pamoja na mapungufu yake yote, Mzee wa Upako ni mmoja wa viongozi wachache wa dini waliojitokeza hadharani kukemea kitendo cha wewe kuwekwa ndani bila kujali gharama anayoweza kulipa kwa uamuzi wake huo.
Hivyo, Mheshimiwa Mbowe, katika kuonyesha shukrani zako kwa vitendo, nakushauri Jumapili ya kwanza baada tu ya wewe kutoka jela(kama watakufunga na kukupa msamaha wa Raisi) au kama watakufutia kesi, uitumie siku hiyo kushiriki Ibada katika kanisa la Mzee wa Upako.
Mbali na kushiriki Ibada, ikiwezekana wakupe nafasi siku hiyo usimame madhabahuni na utoe neno kwa waumini na kwa watanzania wote kwa ujumla.
Wewe kama seasoned politician, sihitaji kukushauri nini cha kusema siku hiyo, bali nakuachia mwenyewe na zaidi nakuombea uzima na afya njema.
Mbowe sio gaidi.