Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Awamu ya tano sherehe za muungano zilikuwa zikiadhimishwa kwa kufanya usafi bila ukaguzi wa gwaride uwanjani. Safari hii sherehe zinafanyikia ukumbini kana kwamba ni shughuli ya wanaccm pekee...
2 Reactions
6 Replies
686 Views
Mimefanikiwa kuisoma ripoti yote ya CAG aliyoitoa hivi karibuni na kumkabidhi mh Rais. Ripoti nimeielewa. Ukiitafakari hii ripoti hutakuwa na hamu ya kuishabikia CCM kwa sababu kama chama dola...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
✳️NAOMBA NISAIDIENI KUMWAMBIA MAMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, TATIZO LA NCHI HII NI NINI❓ 🔵Na:Shujaa Charles Richard Mwaisemba(©️®️Ⓜ️) Kama ningelipata nafasi ya kukutana na Rais wangu Samia...
0 Reactions
1 Replies
886 Views
Ipo hoja kwamba kuna upendeleo au kuna uamuzi mbaya kuhusiana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Chato. Naona ukosoaji mwingi unalenga kwenye hoja ya Rais kujipendelea kwa kuwa anatoka chato...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
DAKTARI SLAA;NILIJIONA NDANI YA MOYO WA RAIS MAGUFULI. Hayati Rais Magufuli aliwapenda na kuwapigania watu wa hali ya chini,mfano sasa hivi vitu vinapanda bei na gharama ya kupanda bei haimuumizi...
27 Reactions
73 Replies
7K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Ndg Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi waliojitokeza kumlaki Mkata, wilayani Handeni leo, Jukapili 24 Aprili, 2022 alipowasili mkoani Tanga kwa...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Hii video inatrend sana kwenye magrupu ya FB, telegram, TikTok, WhatsApp nk Cha ajabu, the so called "CHAWA" wameshatinga huko kutishia ma - admin kuzuia kusambaa kwa video hii eti...
15 Reactions
26 Replies
3K Views
SHAKA: MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA ILANI NI MTAJI UNAOIUZA CCM "Kazi kubwa inayofanywa na serikali ya CCM awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mtaji mkubwa unaokiuza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Matamko ya mara kwa mara Ukitaka uonekane kiongozi mchapa kazi wewe toa matamko tu hata kama hayatekelezeki au yanakinzana na sheria. Ukitoa tamko wakati huu wafanyabiashara wasipandishe bei na...
4 Reactions
6 Replies
572 Views
Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais. Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau. Lione li Mwigulu...
79 Reactions
212 Replies
15K Views
Uhuni na upuuzi sio Afrika na Tanzania pekee.. Huko Ufaransa wafuasi wa upinzani wameandamana kupinga matokeo yaliyompa ushindi Rais Emanuel Macron.. Kikubwa nilichofurahi ni kwamba hao wahuni...
2 Reactions
2 Replies
534 Views
Kwema Wakuu! Mzee mmoja akasema; Ingechukua miaka 100 Magufuli kukomboa watu wengi katika nchi hii; sasa Itachukua miaka 1000 kukomboa taifa hili. Akaendelea kusema, ingawaje alikuwa akiumiza...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Baada ya Mh Kibajaji kumshutumu Zitto Kabwe kwa kauli yake kwa wale wafuasi wa Magufuli , kwamba kama wanampenda sana Hayati Magufuli basi ni vema wakachagua kuzikwa pembeni ya kaburi lake ili...
32 Reactions
105 Replies
7K Views
Matukio katika picha. Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Alhaj Abdulrahman Kinana, amejumuika na wananchi mbali mbali, viongozi, mabalozi, viongozi wa dini na wazee wa mkoa wa Tanga katika...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Chama chenye nembo ya hayati JPM kimeanza mchaka mchaka wa kutafuta wanachama wake wapya kabisa, kikijitangaza kusimamia falsafa za hayati JPM. Chama HIKI kimeanza harakati zake katika kipindi...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Tanzania tunatabia ya kupuuza viongozi wetu ila Ulaya wanawahitaji sana viongozi wetu! Ilikuwa Kwa JPM nchi kadhaa wananchi wake walisikika kumtaka akaongoze nchi zao hadi huko Ulaya na American...
3 Reactions
9 Replies
901 Views
Leo bungeni mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amemvaa vikali kiongozi mkuu wa ACT, Zitto Kabwe kwa kumsema Hayati Magufuli. Kibajaji amemuita Zitto muoga kupitiliza kwani wakati Magufuli yupo...
44 Reactions
240 Replies
14K Views
Mambo mengine kwa kweli unaweza kusema ni ndoto. Ilikuwa kawaida watumishi wa umma kuanzisha nyuzi za kuuliza mishahara kama imetoka, nyuzi hizo hapa JF zimekufa kifo Cha asili (natural death)...
6 Reactions
82 Replies
8K Views
Baada ya miaka 16 wiki ijayo tutashiriki sherehe za Mei Mosi bila mgeni rasmi kuulizwa na walimu " shemeji unatuachaje?" Labda kama kipenzi cha walimu Dkt. Paul Makonda atakuwa ameandamana na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Siku ya tarehe 23 Aprili, 2022 Rais Samia alishiriki utiaji saini wa makubaliano ya kibiashara baina ya kampuni ya Taifa Group na kampuni ya Northern feed co. Mkataba huo wenye thamani ya Dola...
8 Reactions
78 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…