Ufaransa-Waandamana kupinga matokeo ya kuchaguliwa Macron

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,589
14,135
Uhuni na upuuzi sio Afrika na Tanzania pekee..

Huko Ufaransa wafuasi wa upinzani wameandamana kupinga matokeo yaliyompa ushindi Rais Emanuel Macron..

Kikubwa nilichofurahi ni kwamba hao wahuni wa upinzani wamechezea kichapo cha kutosha kutoka kwa police ya Ufaransa..

Tunavyokaribia uchaguzi 2025 , Serikali iwaandae Police kisawasawa Ili kuja kuwashughulikia watakaoingia kwenye uchaguzi na matokeo yao kwenye sanduku la kura.👇

Screenshot_20220425-204011.png
 
Hizo ndio Civil Rights. Angekuwa Magufuli huko wangekuwa wamejaa ng'eu na wengine wangeitwa magaidi.
 
Back
Top Bottom