Kwanini miaka ya hivi karibuni sherehe za Muungano zimekuwa hazitiliwi maanani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,874
Awamu ya tano sherehe za muungano zilikuwa zikiadhimishwa kwa kufanya usafi bila ukaguzi wa gwaride uwanjani.

Safari hii sherehe zinafanyikia ukumbini kana kwamba ni shughuli ya wanaccm pekee ilhali hata Chadema na ACT wazalendo wanashiriki!

Kwanini lakini?!!
 
Watu wanayo madai muhimu ambayo hayasikilizwi sasa pole pole hata ile hamu ya kushiriki hafla za kitaifa pengine zinaanza kuonekana ni mitaji ya viongozi kuhubiri uzalendo ili kuendelea kuwafanya wajinga
 
Watanganyika turudi kwenye mstaari huu usanii unaoitwa muungano umepoteza validity
 
... sherehe za muungnao mwaka huu zinafanyikia chumba gani?
 
Awamu ya tano sherehe za muungano zilikuwa zikiadhimishwa kwa kufanya usafi bila ukaguzi wa gwaride uwanjani.

Safari hii sherehe zinafanyikia ukumbini kana kwamba ni shughuli ya wanaccm pekee ilhali hata Chadema na ACT wazalendo wanashiriki!

Kwanini lakini?!!
Kwani wewe shida yako ni nini hasa? Hata zikifanyikia chumbani, wewe kama wewe! utapungukiwa nini?
 
Back
Top Bottom