Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, Mohamed Maje kuanzia leo Ijumaa Aprili 6, 2018 kwa kilichoelezwa kushindwa kutimiza majukumu yake. Taarifa...
4 Reactions
76 Replies
13K Views
Kudoda kwa zoezi la chaguzi zinazoendelea ndani ya ccm licha ya mzee Kinana kurejeshwa ni ishara mbaya kwa chama hicho, kauli za kina Nape kwamba ccm kina wenyewe kimeiharibia vibaya mno ccm. Ni...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Nianze kwa kuseema, Madhara yaliyotokana na sumu kali ndani ya mto Mara ni makubwa sana. Yataathiri kizazi hiki na kijacho. Tutegeme kuona kesi za kansa zikizidi kushamiri kanda ya ziwa siku za...
0 Reactions
1 Replies
953 Views
Ukiangalia timu ya Mama anayo fanya nayo kazi naona kabisa kupigania ufisadi sio kazi rahisi sana kwake. Mama ana timu ya watu ambao record zao zina utata mtupu, Tukubali tukatae Record za...
0 Reactions
1 Replies
481 Views
Ni kwa sababu wengi tuliokerwa na kauli ile tunapenda na yeye aje atujibu humu. #Zittokabwe Swali rahisi kwa kauli yako Zitto Zuberi Kabwe, uliyoitoa kule Club House [emoji536]. Je! wewe...
12 Reactions
54 Replies
5K Views
Nini kinaendelea hapa? Ni madili makubwa kwa ajili ya wanaCCM wajanja na wapigaji. Kwani haya makubaliano binafsi ya Rostam Azizi na wafanyabiashara wa Usa mpaka rais wa JMT awepo? Kuna kitu hapa...
1 Reactions
8 Replies
675 Views
Kwamba kumbe Hayati Magufuli alikuwa anakubalika na wengi. The majority ya wananchi wanyonge ambao hata mumchafue vipi kwao yeye hachafuki maana wanajua kazi aliyoifanya kwa taifa lake. Umoja...
41 Reactions
273 Replies
15K Views
MAANDAMANO YA WATANZANIA NCHINI MAREKANI;JE SUALA LA KATIBA MPYA NI MUHIMU KWA TAIFA LETU LA TANZANIA!? Leo 12:15pm 24/04/2022 Leo tumeamka na video,picha za maandamano ya Watanzania...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Katiba ni muongozo wa kitaifa wa namna maisha ya raia na wanachi wanapaswa kujitawala. Inakuwaje rais Samia anataka kuwa ndiyo msemaji wetu na mtu mwenye kutaka kuamua katiba yetu iwe vipi na...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Chadema wamesema hawatashiriki uchaguzi wa 2025 katu bila katiba mpya, na hakuna tume huru itakayopatiokana bila katiba mpya Utabiri wangu ni 2025 hakuna katiba mpya itakayokuwepo, na hii tume ya...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya EDO kuamia UKAWA na zile ziara za kwenda kuchukua fomu ya uraisi niliamini mwaka huu CCM kwisha kazi lakini adi kufikia leo naona ni ndoto za bunuazi kwa UKAWA kushika dola Tofauti...
3 Reactions
136 Replies
16K Views
Huyu alikuwa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote. Ameutumikia Mfuko kwa takribani miaka kumi lakini baada ya kuondoka tu yeye ndiyo Mfuko ukaanza kujulikana. Yule dada aliyempokea...
13 Reactions
38 Replies
6K Views
Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya. Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango...
30 Reactions
105 Replies
9K Views
Hawa ni rahisi sana kutumika na mamlaka za nchi wanakoishi. Diaspora wanaomba wawe na uraia wa nchi mbili, yaani wawe marekani na ulaya, sijui Asia na pia wawe watanzania, wale huku na kule...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Awali napenda kumpongeza Ndg. Kinana kwa kazi nzuri anayoifanya ya kukiimarisha chama, ni kazi anayoimudu tangu akiwa katibu mkuu wa CCM. Na zaidi ya yote nampongeza kwa juhudi zake za kusimia...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Naona sasa viongozi wa chama dume CCM mmesahau kilichotokea mwaka 2011 ambapo CCM ilijinasibu kujivua gamba. Ccm ilijinasibu kujivua gamba kwa kuwa ilikuwa imechafuka kwa ufisadi na mafisadi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kati ya mabalozi wote,Huyu wa china anaupiga mwingi.najua ntaambiwa namsifia kwa sababu baba yake alikuwa Dr wangu.kwani alikuwa ananitibu Bure SI alikuwa anaupiga mwingi kisa namlipa? Aise Huyu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nchi ya Tanzania imekuwa ikiongozwa na chama cha CCM katika kipindi kisichopungua miaka 50,Tanzania hii imepiga hatua za kimaendeleo kwa vipindi kutofauti kutoka kwa rais mmoja kwenda kwa rais...
0 Reactions
1 Replies
833 Views
Damu Ya Nani,ndugu Jamaa,rafiki Au Mzazi Wa Nani?Maana Kuna Wanasiasa Ambao Hawawezi Kuongea Maneno Kumi Bila Kusema Damu Itamwagika!!Naomba Tu Ufafanuzi.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBA MPYA (SEHEMU YA PILI) Mwendelezo......... 🔵 KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️) Tabata,Dar,Tanzania...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom