Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zanguni, hapo nyuma kidogo na sasa kwa uchache baadhi ya watu wamekuwa wakitoa kauli za kubeza kazi nzuri zilizofanywa na JPM kwa kejeli na dhihaka. Nadhani lengo lao kubwa ni kutaka kufuta...
56 Reactions
151 Replies
8K Views
Jamii forum Facebook account pamoja na Habari leo ni baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti hoja ya visa bandia zilizokamatwa zikitokea afrika kusini; Kwa urahisi wa rejea wanajamvi tunaweza...
7 Reactions
7 Replies
2K Views
Mgodi wa Barrick North Mara uliopo mkoani Mara umepigwa faini ya shilingi Bilioni moja na Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kosa la uchafuzi wa mazingira baada ya...
7 Reactions
42 Replies
5K Views
Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye kongamano la kusheherekea urithi wa falsafa ya hayati Magufuli ameongelea mambo kadhaa ikiwemo serikali kuwanyima taarifa na fursa ya kumuombea...
15 Reactions
164 Replies
11K Views
CCM AWAMU ya 5 ilikuwa na MAMBO jamani Mambo yenyewe ni kama WATEULE wa MWENDAZAKE walikuwa WABABE SANA akina MAKONDA POLEPOLE HERI JAMES MNYETI SABAYA na wengine POLISI walikuwa BEGA kwa BEGA na...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Jenelari Ulimwengu amesema CCM imerekebisha katiba yake ili kuongeza ushiriki wa wanachama kama ilivyokuwa kabla hayati Magufuli hajawa mwenyekiti. Kinana ni mtu pekee aliyebaki mwenye uwezo wa...
14 Reactions
109 Replies
9K Views
Naibu waziri wa fedha na Mipango , Hamad Chande amezitaka taasisi za dini hapa nchini kudumisha ushirikiano na serikali ili matendo maovu yakiwemo mauaji yanayoendelea hapa nchini yakomeshwe...
0 Reactions
1 Replies
698 Views
Na Dotto Bulendu Mwaka 2009 ndiyo mwaka niliyokutana rasmi na wakili Tundu Lissu,wote tulikuwa katika kazi zinazofanana,yeye alikuwa anafanya utafiti chini ya Norwegian Church kuhusu athari za...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Waasalam! Hili ni ombi muhimu sana kwa Rais wetu mpendwa, anairudisha nchi katika muelekeo sahihi basi na sie vijana tulio sekta binafsi ambao tunatamani kujiajiri tunatamani sana fao la kujitoa...
40 Reactions
116 Replies
7K Views
"Siko Jela kwa Kuwa nampigania Mke Wangu, niko Jela kwa kuwa napigania maslahi ya Nchi napigania maslahi ya wanyonge" 2. "Humu ndani 90% ni watoto wa wanyonge hawana makosa wengine wamekosa tu...
64 Reactions
153 Replies
21K Views
UVCCM_TAIFA APRIL 24,2022 IRINGA, KUMEKUWA NA TABIA YA BAADHI YA VIONGOZI KUPANGA SAFU,MAANA YAKE WANACHAGUA WATU AMBAO WANAWAWEKA MADARAKANI (KUWAPA UONGOZI) ILI WATU HAO WAWE WANAITIKA KWAO NA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya Leo ni wito kwa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira NEMC, Kuwapiga Faini Mgodi Kuhusu Uchafuzi wa Mazingira kwa...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amelazimika kuahirisha shughuli za Bunge hadi Jumatano ya April 27 kutokana na kifo cha Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa (CCM), Irene Alex...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna sitofahamu inaendelea wilaya ya Tunduru-Ruvuma. Akina mama wakiwapeleka watoto kliniki wanazuiwa kupewa kadi za kliniki mpaka wachanjwe wanapata usumbufu kupata huduma za msingi. Hapa...
0 Reactions
5 Replies
604 Views
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali...
23 Reactions
376 Replies
28K Views
Yasemekana mama Samia alitokea mlango wa nyuma hotelini na ubalozini kuutoroka ujumbe wake: Kwa kuwa yaliyoandikwa ni ukweli mtupu, itapendeza akaribishwe hivi hivi nyumbani atakaporudi...
26 Reactions
96 Replies
7K Views
Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila Mkumbo ametolea ufafanuzi taarifa zinazozagaa mitandaoni kwamba bei za Vifaa vya ujenzi zimepanda. Kitila amesema viwandani ambako ndiko bidhaa...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Nikiri sijaangalia TBC 1 tangu Uchaguzi Mkuu mwaka 2015, lakini sasa nimekaa hapa Chako ni Chako Dodoma nakula kuku wangu mara naona likipindi gani sijui linaendelea hapa...naona mengi...
19 Reactions
50 Replies
5K Views
Kwa nini Raisi John Pombe Magufuli kila anapotoa hotuba zake anapenda kutukemea na kutoa amri na vitisho? Jana akiwa anaawapisha mawaziri alitoa kauli hii = "Hata kasomeni tu leo magazeti ya leo...
38 Reactions
257 Replies
20K Views
TANZANIA: A DICTATORSHIP UNBOUND Tundu AM Lissu (MP) Yesterday, 23rd November, 2018, was yet another dark and sad day in Tanzania. The National Chairman of the largest opposition party in the...
30 Reactions
88 Replies
11K Views
Back
Top Bottom