Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chato: Constructive criticism

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,473
Reaction score
31,966
Ipo hoja kwamba kuna upendeleo au kuna uamuzi mbaya kuhusiana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Chato.

Naona ukosoaji mwingi unalenga kwenye hoja ya Rais kujipendelea kwa kuwa anatoka chato.

Ieleweke kuwa Chato ni sehemu muhimu ya Tanzania kama zilivyo sehemu nyingine regardless kwamba anatoka Rais wa JMT au la.

Chato inahitaji maendeleo kama vile sehemu nyingi nyinginezo nchini Tanzania tena kwa umuhimu ule ule kama zilivyo sehemu nyingi nchini.

Chato haiwezi kutengwa kwenye miradi ya maendeleo kisa tu kuogopa maneno ya wanasiasa juu yake hasa hasa kipindi hiki ambacho Rais anatokea huko.

Sasa ili tuwe honest ni vyema tukajadili gharama za mradi wa kunoresha airport ya Chato ukilinganisha na manufaa yake au athari zake kiuchumi.

mjadala huu usilenge sana maswala ya kisiasa bali ulenge athari na faida za kiuchumi kwa uwazi kabisa.

Je mradi wa Chato umegharimu kiasi gani?ninavyofahamu mradi utagharimu bilioni 39 na ushee.

Je gharama hizi zimeathiri huduma gani za nchi?

Je baada ya kukamilika mradi huu utazalisha kiasi gani kulinganisha na sasa?

Ningependa kuona maoni ya wachumi waliomo humu.
 
Baada ya kipindi cha urais cha huyo mkazi wa Chato, huu uwanja wenu unaogharimu billion 41 utatumika kama malisho ya punda wanaotumia traffic lights hapo Chato.
ongelea kiuchumi zaidi huku ukitoa data ...nitakuelewa
 
Hauna manufaa yoyote kwa taifa zaidi ya hasara tu. Kama ungekuwa uwanja wa jiji la Mwanza ndiyo unafanyiwa ukarabati wala usingesikia kelele zozote.

Hili jambo limefanywa bila kushirikisha ubongo, hata km ndo mkuu anatoka huko. Na je watu wa chato wanafaidika nini na uwepo wa uwanja huo zaidi ya vibarua wakati wa ujenzi.

Ni bora hata angewajengea hospitali tungemuona wa maana.....
 
nakuomba to apply some logic kido go chato hawana clean and safe @ running water, hawana hospitari kumbwa ya rufaa, hawana any public university or college chato hawana umeme wawakika wana mgawo na biharamuro. sasa swali nikwamba uwanja wandege ni priority ya chato as per now? or misalocation of public funds?
 
Ipo hoja kwamba kuna upendeleo au kuna uamuzi mbaya kuhusiana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Chato.

Naona ukosoaji mwingi unalenga kwenye hoja ya Rais kujipendelea kwa kuwa anatoka chato.

Ieleweke kuwa Chato ni sehemu muhimu ya Tanzania kama zilivyo sehemu nyingine regardless kwamba anatoka Rais wa JMT au la.

Chato inahitaji maendeleo kama vile sehemu nyingi nyinginezo nchini Tanzania tena kwa umuhimu ule ule kama zilivyo sehemu nyingi nchini.

Chato haiwezi kutengwa kwenye miradi ya maendeleo kisa tu kuogopa maneno ya wanasiasa juu yake hasa hasa kipindi hiki ambacho Rais anatokea huko.

Sasa ili tuwe honest ni vyema tukajadili gharama za mradi wa kunoresha airport ya Chato ukilinganisha na manufaa yake au athari zake kiuchumi.

mjadala huu usilenge sana maswala ya kisiasa bali ulenge athari na faida za kiuchumi kwa uwazi kabisa.

Je mradi wa Chato umegharimu kiasi gani?ninavyofahamu mradi utagharimu bilioni 39 na ushee.

Je gharama hizi zimeathiri huduma gani za nchi?

Je baada ya kukamilika mradi huu utazalisha kiasi gani kulinganisha na sasa?

Ningependa kuona maoni ya wachumi waliomo humu.
Unapopeleka maendeleo sehemu flani ya nchi, lazima uangalie shughuli kuu za kiuchumi kwenye eneo husika!

Unapeleka shughuli ambayo ni complementary. Kwa maana kwamba unapeleka mradi utakaoboresha zaidi shughuli kuu za uchumi kwenye eneo husika.

Siyo yale yale ya “a bridge to nowhere”, unajenga daraja kubwa kabisa la kifahari ambalo halikufikishi mahali popote. Neno hilo huwa linatumika kwenye miradi ambayo haina manufaa muhimu ya kiuchumi kwenye eneo husika.

Airport inaweza kuwa “maendeleo”, lakini siyo complementary kwa watu na shughuli za eneo husika, ambapo wengi ni wakulima na Wafugaji...kwahiyo labda usafiri wa kusafirisha bidhaa na mali ghafi ie ngozi na nyama/samaki nk, kama kuboresha au kujenga railways, boti za usafirishaji perishables nk.

Huo ni mfano tu wa mradi ama shughuli ambayo ni complementary kwa maendeleo ya watu na ya kiuchumi kwenye eneo husika.

Btw juzi hapa tuliona barabara nzuri sana huko na taa zikiongoza msafara wa punda wenye mizigo. Sasa hapo ni kuhusu priorities.
 
Hauna manufaa yoyote kwa taifa zaidi ya hasara tu. Kama ungekuwa uwanja wa jiji la Mwanza ndiyo unafanyiwa ukarabati wala usingesikia kelele zozote.
Hili jambo limefanywa bila kushirikisha ubongo, hata km ndo mkuu anatoka huko. Na je watu wa chato wanafaidika nini na uwepo wa uwanja huo zaidi ya vibarua wakati wa ujenzi.
Ni bora hata angewajengea hospitali tungemuona wa maana.....
Wewe unapendekeza kujengwa hospitality badala ya airport! Ni hatari iwapo hata hufahamu kuwa polisi, magereza, mahakama na hospitali ni negative development.

Inatakiwa kuwa na wagonjwa wengi kuamua kujenga hospitality pahali. Likewise, kuwe na wahalifu/uhalifu mwingi ili kujenga/kupanua vituo vya polisi, mahakama au magereza.

Ni kuishiwa fikra kwa kiwango cha hali ya just iwapo Kuna kiongozi au mwananchi wa kawaida asiyeweza kuona umuhimu (efficiency) wa kuwa na usafiri wa ndege kwa kila wilaya. Baada ya kumaliza Chato inatakiwa kupanuliwa airdrome ya pale Biharamulo (Katoke), Ngara (Kabanga), Karagwe (Ihembe) na hata kila wilaya.

Watanzania wasiendelee kupoteza muda kwenye kusafiria badala ya kufanya kazi. Fikra za wapinzani kwa sasa Ni mufilisi kabisa, delivering non-content shouts. Who cares!
 
Sophist,

Tutakuwa li nchi la ajabu kama tutaanza kujenga viwanja vya ndege katika maeneo ambayo hata mashirika ya ndege hayawezi kuwa na route. Yaani unapongeza kujengwa uwanja wa ndege Chato wakati makao makuu ya nchi hakuna uwanja wa ndege wenye hadhi hiyo!

Uwanja wa ndege wa Chato utageuka kuwa vichaka kama vile vilivyoachwa na Mabutu Seseko. Ni kutapanya fedha kujenga uwanja wa ndege pamoja na kuweka taa za barabarani Chato.

Huo ndio ukweli!
 
Huu ni mradi wa kipuuzi kuwahi kutokea hapa Tz. Kila mwaka bajet ya serikali huwa haitoshi hadi kwa asilimia zaidi ya 50, halafu leo mlevi mmoja wa madaraka anaibuka na ujenzi wa kiwanja cha ndege.

Vipaumbele vya watanzania na hata wana chato si kupanda ndege, au kuona ndege ikipaa au kutua.. kama kuna mtu anafikiria hivyo basi ni ki/aza wa kiwango cha standard gauge! Watanzania tunahitaji uwekezaji mkubwa tena wa kimkakati katika elimu, afya na kilimo.. hayo mengine ya Chato ni utepetevu wa akili.

Nashauri aliye sanction ujenzi wa mradi wa chato ashitakiwe chini ya sheria ya uhujumu uchumi. Mie ndo ninachokiona kwa sababu mradi huo hauna sifa nyingine zaidi ya uhujumu..

Tz sijui viazi wataisha lini?
 
Wewe unapendekeza kujengwa hospitality badala ya airport! Ni hatari iwapo hata hufahamu kuwa polisi, magereza, mahakama na hospitali ni negative development.

Inatakiwa kuwa na wagonjwa wengi kuamua kujenga hospitality pahali. Likewise, kuwe na wahalifu/uhalifu mwingi ili kujenga/kupanua vituo vya polisi, mahakama au magereza.

Ni kuishiwa fikra kwa kiwango cha hali ya just iwapo Kuna kiongozi au mwananchi wa kawaida asiyeweza kuona umuhimu (efficiency) wa kuwa na usafiri wa ndege kwa kila wilaya. Baada ya kumaliza Chato inatakiwa kupanuliwa airdrome ya pale Biharamulo (Katoke), Ngara (Kabanga), Karagwe (Ihembe) na hata kila wilaya.

Watanzania wasiendelee kupoteza muda kwenye kusafiria badala ya kufanya kazi. Fikra za wapinzani kwa sasa Ni mufilisi kabisa, delivering non-content shouts. Who cares!

Tulifundishwa kwamba mkoloni hakujenga infrastructure “kwa nia nzuri”, kwasababu barabara na railways zote hazikutengenezwa kusaidia wananchi kusafiri, bali zilitengenezwa ili kuwasaidia wakoloni kwenye usafirishaji wa malighafi. Kwa hiyo reli na barabara vilikuwa vinakuwa directed towards ports.

Sasa badala ya kulalamika, tulitakiwa tuhangaike kwenye knowledge ya ku convert hizo raw materials ziwe finished goods, ili tuweze kuzisafirisha kwenda sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kupitia barabara na reli hizo hizo. Sanasana ni uboreshaji na uongezaji ndivyo vya muhimu zaidi.

Lakini wewe unasema pesa zikajenge airport “ili wananchi waweze kusafiri na wasipoteze muda”, what a reasoning in a country where time is barely any buck?!

Halafu pia hospital umesema siyo kitu cha maana. What a great thinking!

Unasema hospital siyo kitu cha maana, na wakati huohuo unataka uchumi ujengwe na wenye afya njema.

Mwekezaji wa nje ama ndani, vitu kama hivyo vinakuwa considered before making any decision on investment in a particular area or country. Usalama ni jambo la msingi kabisa pamoja na nguvu kazi.
 
Hapa ndipo utaona Tanzania Bado tuko nyuma kwa kila kitu..ona Sasa wabunge wanalalama tu wakati hata bajeti tu ya huo uwanja hawakuipitisha bungeni...Joseph conrard ktk kitabu chake "heart of darkness" anatuita waafrika Kama watu amabao ni barbaric ...uncivilized ..people with no order....

japo alijibiwa na chinua achebe ktk kitabu chake" things fall apart " kuwa hatupo hivyo na kuaonyesha utamaduni wa mwafrika ulivyo nzr Bado alishindwa kuvumilia kukosoa Mira zetu mbovu za kuuwa vichanga kisa eti ni mkosi mwanamke kuzaa mapacha ..hii ilionyesha udhifu wa mtu mweusi...

mfano mzr ni huyu mkuu wetu asieshaulika na kushtuka na lawama lukuki zinazomwandama akizani wote ni wapiga dili...sis Bado ni barbaric and uncivilized as Trump noted.
 
Ipo hoja kwamba kuna upendeleo au kuna uamuzi mbaya kuhusiana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Chato.

Naona ukosoaji mwingi unalenga kwenye hoja ya Rais kujipendelea kwa kuwa anatoka chato.

Ieleweke kuwa Chato ni sehemu muhimu ya Tanzania kama zilivyo sehemu nyingine regardless kwamba anatoka Rais wa JMT au la.

Chato inahitaji maendeleo kama vile sehemu nyingi nyinginezo nchini Tanzania tena kwa umuhimu ule ule kama zilivyo sehemu nyingi nchini.

Chato haiwezi kutengwa kwenye miradi ya maendeleo kisa tu kuogopa maneno ya wanasiasa juu yake hasa hasa kipindi hiki ambacho Rais anatokea huko.

Sasa ili tuwe honest ni vyema tukajadili gharama za mradi wa kunoresha airport ya Chato ukilinganisha na manufaa yake au athari zake kiuchumi.

mjadala huu usilenge sana maswala ya kisiasa bali ulenge athari na faida za kiuchumi kwa uwazi kabisa.

Je mradi wa Chato umegharimu kiasi gani?ninavyofahamu mradi utagharimu bilioni 39 na ushee.

Je gharama hizi zimeathiri huduma gani za nchi?

Je baada ya kukamilika mradi huu utazalisha kiasi gani kulinganisha na sasa?

Ningependa kuona maoni ya wachumi waliomo humu.
Duh kweli mnafunguka aisee.. ile kauli ya spika kua fungukeni kweli watu wanafunguka. Safi sana jingalao leo hakuna uchama bali utaifa.
 
Wewe unapendekeza kujengwa hospitality badala ya airport! Ni hatari iwapo hata hufahamu kuwa polisi, magereza, mahakama na hospitali ni negative development.

Inatakiwa kuwa na wagonjwa wengi kuamua kujenga hospitality pahali. Likewise, kuwe na wahalifu/uhalifu mwingi ili kujenga/kupanua vituo vya polisi, mahakama au magereza.

Ni kuishiwa fikra kwa kiwango cha hali ya just iwapo Kuna kiongozi au mwananchi wa kawaida asiyeweza kuona umuhimu (efficiency) wa kuwa na usafiri wa ndege kwa kila wilaya. Baada ya kumaliza Chato inatakiwa kupanuliwa airdrome ya pale Biharamulo (Katoke), Ngara (Kabanga), Karagwe (Ihembe) na hata kila wilaya.

Watanzania wasiendelee kupoteza muda kwenye kusafiria badala ya kufanya kazi. Fikra za wapinzani kwa sasa Ni mufilisi kabisa, delivering non-content shouts. Who cares!

duh!!!!! kila wilaya iwe na airstrip/airport hatari sasa in five years to come tutakua tumeipita china kwa kua naviwanja vya ndege. first of all wantanzania wanasafiri kwenda wapi? kufanya nini? kwa kipato chetu less >one dallor a day tunaishi maisha kati ya kifo na uhai (abject poverty ) not sure for the next meal we feed on what we get not what we want........ unaongelea viwaja vyande kila wilaya it a disaster argument duh!!!!!!
 
Hiyo fedha ya ujenzi ilikuwepo kwenye mpango wa 2017/2018? au 2016/2017?
 
Screenshot_20171109-134945.png
 
Wewe unapendekeza kujengwa hospitality badala ya airport! Ni hatari iwapo hata hufahamu kuwa polisi, magereza, mahakama na hospitali ni negative development.

Inatakiwa kuwa na wagonjwa wengi kuamua kujenga hospitality pahali. Likewise, kuwe na wahalifu/uhalifu mwingi ili kujenga/kupanua vituo vya polisi, mahakama au magereza.

Ni kuishiwa fikra kwa kiwango cha hali ya just iwapo Kuna kiongozi au mwananchi wa kawaida asiyeweza kuona umuhimu (efficiency) wa kuwa na usafiri wa ndege kwa kila wilaya. Baada ya kumaliza Chato inatakiwa kupanuliwa airdrome ya pale Biharamulo (Katoke), Ngara (Kabanga), Karagwe (Ihembe) na hata kila wilaya.

Watanzania wasiendelee kupoteza muda kwenye kusafiria badala ya kufanya kazi. Fikra za wapinzani kwa sasa Ni mufilisi kabisa, delivering non-content shouts. Who cares!

Siwezi kukuita great thinker, labda mlamba viatu moja mwenye mahusiano na jamaa wa Lumumba..

Kwanza unaonekana dhahiri kuwa kiwango chako cha kisomo ni duni mno. Mtu mwenye uelewa lazima afahamu mahitaji ya uendeshaji wa uchumi wenye msingi imara.. Biashara ya ndege si kwa Tz yenye kiwango kikubwa cha watu wapuuzi puuzi.. hamchelewi kuua watu kutokana na ajali.

Kwa faida yako na wengine wenye mawazo kama yako, katika Watz 50M, watu wenye uwezo wa kujilipia nauli ya ndege hawafiki hata elfu 50.. ndo maana kuwekeza kwenye usafiri wa anga bila kuwajengea misingi thabiti ya uchumi ili wengi waweze kumudu kujilipia nauli ya ndege ni jambo la msingi sana.

Haya mambo ya chato haina tofauti na ile ya Bagdolite kule kwa Seseseko

Haya.. mtajiju na ushamba wenyu
 
Wewe unapendekeza kujengwa hospitality badala ya airport! Ni hatari iwapo hata hufahamu kuwa polisi, magereza, mahakama na hospitali ni negative development.

Inatakiwa kuwa na wagonjwa wengi kuamua kujenga hospitality pahali. Likewise, kuwe na wahalifu/uhalifu mwingi ili kujenga/kupanua vituo vya polisi, mahakama au magereza.

Ni kuishiwa fikra kwa kiwango cha hali ya just iwapo Kuna kiongozi au mwananchi wa kawaida asiyeweza kuona umuhimu (efficiency) wa kuwa na usafiri wa ndege kwa kila wilaya. Baada ya kumaliza Chato inatakiwa kupanuliwa airdrome ya pale Biharamulo (Katoke), Ngara (Kabanga), Karagwe (Ihembe) na hata kila wilaya.

Watanzania wasiendelee kupoteza muda kwenye kusafiria badala ya kufanya kazi. Fikra za wapinzani kwa sasa Ni mufilisi kabisa, delivering non-content shouts. Who cares!
Kwa mawazo yako ni watanzania wangapi wenye uwezo wa kupanda ndege, mpaka kila wilaya iwe na uwanja wa ndege?

Inawezekana hata ww huna uwezo huo.
 
Back
Top Bottom