Kama ibara ya kwanza ya katiba ya JMT inavyotanabaisha ni kuwa Tanzania ni dola huru ambayo ni jamhuri ya muungano.
Jamhuri ya muungano wa Tanzania ilizaliwa mwaka 1964 siku ya tarehe 26 mwezi wa...
Wadau naomba kufahamishwa kwa upana kuhusu michezo ya kubahatisha; ambayo kwa siku za hivi karibu imeshika kasi kila mahali.
Baadhi ya wananchi huamua kucheza kutokana na matarajio ya kupata...
Ni ajabu kwamba viongozi wawili wa vyama vikuu vya Upinzani ambavyo ni Chadema kwa Tanganyika na ACT wazalendo kwa Zanzibar hawajaonekana kwenye sherehe za Muungano katika ukumbi wa Jakaya Kikwete...
Leo ni maadhimisho ya miaka 58 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar na sherehe zimeshaanza kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma na anaeongoza ni makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango.
Rais...
Katika uchambuzi mwingi wa leo kwenye kumbukizi Muungano unakumbusha kuwa kiini cha muungano ni mapinduzi ya Zanzibar 1964 baada ya "Kupokwa" uchaguzi wa Dec 1963 na kumpatia ushindi Sultani...
Miradi yote mikubwa hupitishwa na Baraza la mawaziri kisha kuidhinishwa na bunge kabla haijaanza kutekelezwa anasema Dr Akandunduma
Miradi yote ikiwemo uuzwaji nyumba za serikali, ujenzi wa...
Jambo ambalo mabeberu huwa wanapigia kelele kwa muda mrefu ni kushirikiana na mataifa yenye tawala zenye demokrasia.
Mkiwa kwao mabeberu tayari mmetoa ujumbe kuwa kumbe demokrasia yetu hapa...
Acha mvua ya maneno inyeshe na hata radi acha inyeshe zaidi ili ikawe fundisho kwa wengine Katika kuandika hadithi zao hapa duniani
Hoja hazipigwi Lungu bali hujibiwa kwa hoja"Hii ni nukuu ya...
Mazungumzo yanayohusu ukosefu wa usawa wa kijinsia katika sehemu kubwa ya dunia ni ngumu kuepukika. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni wanawake wamekuwa wakipambana zaidi kuliko hapo awali...
Na Mwandishi Wetu,
Moshi, Kilimanjaro.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amepongeza ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini...
Kusherehekea Muungano bila kuyaenzi madhumuni ya TANU yaliyozaa Chama Cha Mapinduzi ni sawa na kufurahia Matokeo ya kuuacha Mchakato
Miongoni mwa masuala ambayo yaliyofanya chama cha TANU kuwa...
Wapendwa habari ya mapumziko. TANROADS nawasalimia sana kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naiomba wizara ya mali asili na utalii iziweke barabara za TANROADS mkoa wa Dar es Salaam...
~Amtaka waziri wa TAMISEMI kufika Moshi kumaliza migogoro
~Ataka ubunifu urahisishaji shughuli za wananchi
~Ampongeza Rais Samia kuimarisha uhusiano na Kenya
Mapema mwezi Mei, 2021 Rais wa...
Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang.
Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang.
Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma.
Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi...
January ana mipango mingi inayohitaji fedha, lakini mmiliki wa fedha Ni asimu wake ambaye ni Mwigulu Nchemba, pesa ikichelewa kuidhinishwa miradi inachelewa na miradi isipopitishwa hazina na...
Tumeshachoka 24/7 Kudhihakiwa tu kwa Mipasho, Ngonjera huku tukidharauliwa na 'Dereva Deiwaka' wa Gari aina ya 'Tanzania' japo hapo awali kwakuwa alikuwa chini ya 'Dereva Mahiri' tuliamini...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi wa taasisi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na HIV hasa kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ya...
Rasmi Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jumanne ya Machi 25, 2022 waliidhinisha na kuikaribisha rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye uanachama mpya wa jumuiya hiyo inayokuwa...
Hiyo ni kauli alioitoa jana rais wakati anaongea na wamarekani wenye asili ya Tanzania mi najaribu kujiuliza ivi kuwa kimya ndo dalili ya shida na kulalamika ndo dalili ya RAHA mbona rais...
"Wenyeviti wa mashina na wajumbe wake ni watu muhimu sana kwa sababu wanakaa na wananchi, ndiyo wanaopokea changamoto na kutupa sisi taarifa kama viongozi wao hivyo tuendelee kushirikiana ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.