Al-Hajj Kinana ajumuika na Wanatanga katika futari ya pamoja

UGANDA

Member
Jul 24, 2017
71
75
Matukio katika picha.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Alhaj Abdulrahman Kinana, amejumuika na wananchi mbali mbali, viongozi, mabalozi, viongozi wa dini na wazee wa mkoa wa Tanga katika futari ya pamoja (leo) Jumapili 24 April 2022, iliyofanyika wilaya ya Korogwe.

Makamu Mwenyekiti amewasili mkoani humo akiwa katika ziara ya kukutana na kuzungumza na viongozi wa ngazi mbali mbali wa Chama Cha Mapinduzi pamoja na kukagua uhai wa Chama.

#ChamaImara
#KaziIendelee

IMG_20220424_215055_625.jpg
IMG-20220424-WA0116.jpg
IMG-20220424-WA0125.jpg
 
Matukio katika picha.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Alhaj Abdulrahman Kinana, amejumuika na wananchi mbali mbali, viongozi, mabalozi, viongozi wa dini na wazee wa mkoa wa Tanga katika futari ya pamoja (leo) Jumapili 24 April 2022, iliyofanyika wilaya ya Korogwe.

Makamu Mwenyekiti amewasili mkoani humo akiwa katika ziara ya kukutana na kuzungumza na viongozi wa ngazi mbali mbali wa Chama Cha Mapinduzi pamoja na kukagua uhai wa Chama.

#ChamaImara
#KaziIendelee

View attachment 2199332View attachment 2199333View attachment 2199334
Tumeliwa tena
 
Naona wadada wa kigalatia ndo wanawahudumia. Hivi hii inaendana na imekubalika kwenye maandiko ya Quran, sunna na hadit?
 
Utafikiri mtu vile kumbe JIZI LA TEMBO! Gwiji la Majangili.

Na huyo mwenzie Shaka Hamdu si nilisikia ni Bwabwa mashuhuri huko Zenji?

Hapo wamekutana wote pipa na mfuniko. Genge la washenzi.
 
Matukio katika picha.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Alhaj Abdulrahman Kinana, amejumuika na wananchi mbali mbali, viongozi, mabalozi, viongozi wa dini na wazee wa mkoa wa Tanga katika futari ya pamoja (leo) Jumapili 24 April 2022, iliyofanyika wilaya ya Korogwe.

Makamu Mwenyekiti amewasili mkoani humo akiwa katika ziara ya kukutana na kuzungumza na viongozi wa ngazi mbali mbali wa Chama Cha Mapinduzi pamoja na kukagua uhai wa Chama.

#ChamaImara
#KaziIendelee

View attachment 2199332View attachment 2199333View attachment 2199334
Mzee wa meno ya tembo kashazoeleka hana jipya
 
Back
Top Bottom